Kenya -TZ Trade Wars

Siku ukijua NCHI ambayo wezi wa madini ya tz wanaishi na wamewekeza ndiyo utajua kwanini Ukenyatta kaufyata kwatz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya wakenya naomba mrushe picha za bidhaa za tanzania zilizo huko tuone kama zetu mmeziruhusu, mi naanza na zenu zinazouzwa Tz, kwa haraka haraka tuone nani anazuia biashara, MI NAANZA NA HII

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndio mutaipiku Kenya au tujueje?
Tunahitaji kupunguza kuagiza bidhaa nje Ili watz wapate ajira na kuongeza mapato ya nchi kupitia kodi na kupunguza idadi ya wasomi walioko mtaani.Pia itasaidia kuuza ziada nje tupate fedha zakigeni.Mm sijaona sababu ya kufikiria kama ulivyofikiria wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wakenya ni mwendawazimu, hata kama wanaishi kwenye slums, hawana chakula, hawana ajira, nchi inanuka rushwa, hakuna amani nchini mwao, vyetu hivyo sio muhimu, kwao muhimu ni GDP, tena GDP ya uongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kila la kheri
 
Alaf wanataka ushindani wa biashara ikiwa mambo madogo yanawatoa kamasiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…