Kenya, Uganda and Rwanda agree on Joint Tourism

Kenya, Uganda and Rwanda agree on Joint Tourism

Haijalishi kama alikuwa yeye ama Mkapa, lakini hoja ni, Raisi wenu mmoja alikaa na Kina Kibaki, Museveni na Kagame wakakubaliana, ndio maana bunge la EAC likaja Tanzania, mbona unajifanya huelewi haya mambo??
Kenyan we don't need Tanzania to advance, tatizo la wa bongo ni kuiogopa kenya kwa mikataba wanajua kenya ina uwezo wa kutake over
 
Jamani watanzania msiwangilie wenzenu kwani wao wanaona mbali kwa sisi tanzania kila jambo wakipanga kama jumuiya ss tunakuwa wazito sana sasa waacheni wenzenu waendelee tukiwa tayari tutawafuata,tusubili wamalize Reli yao ss ndo tuanze ya kwetu!
 
Kenyan we don't need Tanzania to advance, tatizo la wa bongo ni kuiogopa kenya kwa mikataba wanajua kenya ina uwezo wa kutake over
Take over nini? Mbona hujaeleza hicho mtakacho take over?
 
Haya makubaliano yaligonga mwamba hadi wakaja kuyafufua juzi kibaki na Kikwete juzi, Ile ya kina Moi haikufanya kazi kabisa baada tu ya miaka kama mitano hivi
Mwinyi na Moi walikutana Zimbabwe na ndiyo maana hii ya sasa ikazaliwa..... They did actually set the base.
 
Kenyan we don't need Tanzania to advance, tatizo la wa bongo ni kuiogopa kenya kwa mikataba wanajua kenya ina uwezo wa kutake over
The thing is 8/10 Kenyans are potential thieves, none will cooperate with thieves. And you know it.
 
They have agreed to market tourism together as shown in the link above, they are also looking forward to a joint visa agreement on tourism. This is basically indicating how Tanzania is alienating itself from The East Africa Community
Good for you. All the best. We are proud of our own, we have enough resources that your tour reserves COMBINED cannot reach us. Ultimately they'll visit us to get the amazing sceneries that we offer. Huree Tanzania
 
Tz wanazo rasili mali nyingi tu mbuga wanazo nzuri na kubwa pamoja na rasli mali zingine, but upande wa marketing kenya inawazidi wabongo,,
 
Mkishindwa kubali wacha ubishi, na nyinyi mko nyuma kimaendeleo kisa nini?
Sasa wewe sijui umetoka wapi? Kenya mpo na maendeleo gani? 63 GDP?? Hata tatizo la njaa mmeshindwa kulimaliza, em nipe break kidogo.
 
Tz wanazo rasili mali nyingi tu mbuga wanazo nzuri na kubwa pamoja na rasli mali zingine, but upande wa marketing kenya inawazidi wabongo,,
Hapo ni sawa, I agree. Mpo aggressive .
Hapo Kenya mko [emoji817] [emoji817]
But Tz tunapata pesa kwenye utali than ke+ug+rw combined.
 
Sasa wewe sijui umetoka wapi? Kenya mpo na maendeleo gani? 63 GDP?? Hata tatizo la njaa mmeshindwa kulimaliza, em nipe break kidogo.
Njaa tz ndio zaidi mpaka raisi wenu anaamua kuwaambia kila mtu aubebe msalaba wake mwenyewe, hehehe
 
The usual puke. Anything else.???Documented 8/10Dan
ganyikans are mad, 9/10 Danganyikans are cannibals (Albino devourers), 8/10 Danganyikans are sorcerers.
...tayari povu mdomoni. Huo utafiti ni wakenya wenzenu wamefanya, not me or any of my countrymen.
 
Njaa tz ndio zaidi mpaka raisi wenu anaamua kuwaambia kila mtu aubebe msalaba wake mwenyewe, hehehe
You don't know my dear, (I guess you are a woman), I love women [emoji8]

Intact for dacades now Tz feeds you (you know it, nah???)
 
You don't have enough food for yourselves mpaka mnakula Albino unakuja kutuambia nini wewe.
I remember that moment tulizuia kuleta mahindi huko mlipiga mayowe kama wehu.
 
Back
Top Bottom