mashey mash
Member
- Feb 12, 2017
- 32
- 7
Kenyan we don't need Tanzania to advance, tatizo la wa bongo ni kuiogopa kenya kwa mikataba wanajua kenya ina uwezo wa kutake overHaijalishi kama alikuwa yeye ama Mkapa, lakini hoja ni, Raisi wenu mmoja alikaa na Kina Kibaki, Museveni na Kagame wakakubaliana, ndio maana bunge la EAC likaja Tanzania, mbona unajifanya huelewi haya mambo??