kilam
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 2,092
- 2,128
Ujiulize nyie mmefanyia nini pesa zenu.Mmefanyia nini hizo pesa. Si shamba la bibi hilo. Nchi yenyewe masikini kutupwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujiulize nyie mmefanyia nini pesa zenu.Mmefanyia nini hizo pesa. Si shamba la bibi hilo. Nchi yenyewe masikini kutupwa
Ujiulize nyie mmefanyia nini pesa zenu.
Safi sana.
Hongereni sana, ni hatua kubwa na njema.
Songeni mbele kwa mbele.
Msipoteze tena muda kuibembeleza Tanzania ambayo kwa sasa sekta ya utalii inazidi kididimia kuelekea kufa kabisa. Tanzania kwa sasa kiuchumi haijijui ipo wapi wala inaelekea wapi. Iko busy kukamata mateja na kuwasumbua wapinzani huku ikiendesha kampeni ya kumwabudu yule mungu-mtu wao.
ALBINO DEVOURERS!! 😀😀😀😀The usual puke. Anything else.???Documented 8/10Dan
ganyikans are mad, 9/10 Danganyikans are cannibals (Albino devourers), 8/10 Danganyikans are sorcerers.
Acha upnguani wewe. Idadi ya watalii Tanzania kwa 2016 imeongezeka na mapato yameongezeka.Kwa taarifa yako, Tanzania inapata pesa nyingi kwenye utalii kuliko Kenya.Safi sana.
Hongereni sana, ni hatua kubwa na njema.
Songeni mbele kwa mbele.
Msipoteze tena muda kuibembeleza Tanzania ambayo kwa sasa sekta ya utalii inazidi kididimia kuelekea kufa kabisa. Tanzania kwa sasa kiuchumi haijijui ipo wapi wala inaelekea wapi. Iko busy kukamata mateja na kuwasumbua wapinzani huku ikiendesha kampeni ya kumwabudu yule mungu-mtu wao.
Acha upnguani wewe. Idadi ya watalii Tanzania kwa 2016 imeongezeka na mapato yameongezeka.Kwa taarifa yako, Tanzania inapata pesa nyingi kwenye utalii kuliko Kenya.
Peleka umbumbumbu wako Jukwaa la siasa kwa wajinga wenzako wasio na takwimu zozote. Kama huna takwimu bora unyamaze kuliko kuleta utoto humu.
Huyo mpinzani mfuata mkumbo tu, hajui lolote zaidi ya kuponda kila kitu. Huwa wanajaza upuuzi wao jukwaa la siasa, wengine wanachambua recession wakati hata hawaelewi GDP ni kitu gani.Tehehehee.... Mtanzania mwenzako huyo.Usibishane na cooked figures hapo
Labda Wewe sio mtanzania, na huna data, hapa unajiaibisha bure.Watanzania tuache kujidanganya kuwa tunaweza sisi wenyewe bila kushirikiana na wenzetu.
Kwenye sekta ya Utalii, bila Uwepo wa Kenya kamwe Tanzania hatuwezi kusimama wenyewe.
Utalii hapa Tz tunabahatisha mno.
Which moment was that?I remember that moment tulizuia kuleta mahindi huko mlipiga mayowe kama wehu.
Sababu ni ujinga wenu wa kuona mnaheshimika kuliko wengine.Wale madogo wa msumbiji wamevuta bangi ya Malawi, hata raisi wao Felipe nyusi amelelewa bongo tangu utoto wake,
Tumewasaidia kwa mengi hata kuikomboa nchi yao mikononi mwa wakoloni,
Leo tunaskia wanafukuza ndugu zetu huko hata wenye vibali halali, wananyang'anya Mali zao na kubaka Dada zetu,
They are trying to lower our tolerance threshold.
But I am sure this will be resolved soon.
Source? Evidence?Unajua kuwa Kenya inapata Usd 800m na Tanzania Usd 2.5b kwa mwaka kutokana na utalii? Kenya wanazidiwa kwa utalii hadi na Mauritius.
Source? Evidence?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]let em agree hatuwezi kushirikiana kwenye ushirika wa kinyonyaji....hivi kenya kuna wanyama??? au watalii wanaenda kucheki nguruwe
In fact tunaheshimika, kuliko wengine mkiwemo nyie. Can you tell me how many countries in Africa do Kenyans travel visa free?Sababu ni ujinga wenu wa kuona mnaheshimika kuliko wengine.
In fact tunaheshimika, kuliko wengine mkiwemo nyie. Can you tell me how many countries in Africa do Kenyans travel visa free?
Tafuta mtu akutafsirie ulichoandika.Kenya can not be given free visa as it is a middle income economy, it doesn't get favors like least developed countries do!! Not only visas, many developed countries does not see Kenya as a country that needs grants and Aid but a business partner! Business only!!
That's true Mr wanjalaKenya can not be given free visa as it is a middle income economy, it doesn't get favors like least developed countries do!! Not only visas, many developed countries does not see Kenya as a country that needs grants and Aid but a business partner! Business only!!