Kenya, Uganda and Rwanda to launch one common network

Kwanza I don't see the president in CoW...to take a lead for the good of EAC. wote ni criminals..... wait for 2 or 3 yrs and see....
Again... no material thing can learn from cow......
 
COW ni shida.

Alafu naona kila wanachofanya wanataka kututamanisha ili sisi tuone kuwa wanafaidi alafu to join.....
Mi najua tu wataanza kutofautiana baadaye pale watakapo gundua mmoja anafaidika kuliko mwingine lawmaina78
 
Last edited by a moderator:
Alafu naona kila wanachofanya wanataka kututamanisha ili sisi tuone kuwa wanafaidi alafu to join.....
Mi najua tu wataanza kutofautiana baadaye pale watakapo gundua mmoja anafaidika kuliko mwingine lawmaina78

Hamna uhusiano wowote dunia bila changamoto, I've said this before, the conglomeration is more like a business merger between companies. Makampuni huwa yanaungana ili kuboresha huduma zao na kuongeza faida inapotokea kwamba ushindani baina yao ndio unawaangusha.
Tanzania imekataa kuungana na wengine eti kwa sababu wanaogopa Wakenya watanufaika. Huo ni ulimbukeni, kwani mbona tusinufaike, Wabongo wanachofaa kujiuliza ni vipi hata nao watanufaika na sio kupoteza muda wakiwaza tu kuhusu Kenya.

Nchi ya Tanzania sasa hivi ndio inayo vivutio bora vya kiutalii Afrika yote, lakini wapo wapo tu, hamna jipya takwimu ni zile zile tu zimeongezeka kwa asilimia kidogo. Afrika Kusini vivutio vyao duni lakini wanashinda EAC yote hata ikiunganishwa. Watanzania waache uoga wa biashara na kufungua milango, wakubali hii ni karne mpya ambayo huwezi endelea kujifungia kwako halafu utarajia matunda. Waruhusu tupigie debe vivutio vyote vya EAC kama kifurushi kimoja na kupigana na Wa-south Afrika, wao kama Tanzania bora wahakikishe mapato yao yanaingia freshi bila vinginevyo.
 
Hatuna haja ya kujiachia bure bure bila kuelewa mkuu. Mi natumaini tanzania kuna wanauchumi wazuri na wataalamu wa biashara, hivyo kama wamekataa lazima kutakuwa na sababu za msingi. Ukizingatia sisi tuna ardhi kubwa kuliko EAC na madini, ardhi nzuri ya kulima, mbuga za wanyama, GAS etc. kwa hiyo lazima tu balancing the equation. South Africa ni watu wetu, na tuna economic ties nao tayari. Tukisema tuungane EAC against South Africa tutakuwa tumevunja makubaliano tuliyowekeana nao.
So, from that point utaona kwamba we do not need to hurry............
 
Can you try to be concise, instead of using too many words to say so little. You must understand these posts are read by others too.
It's a known fact Tz have been way too timid on just about anything and everything concerning EAC endeavours.
It is not always about land and tourism. There is quite a lot of other things that can be ratified and leave out contentious ones, that's what CoW are doing.
Anyway, I must commend your administration as it seems to have woken up abruptly, they are catching up and willing to participate albeit with one leg out.
forget about our land for it will never be among EAC issues,never.
 
The problem with you guys are way too slow to ingest anything. At CoW we agreed to only integrate on agreeable features and leave out any contentious issues, but Tz opted out and promised to join the train later. The modern world requires quick decisions on ideas that are developed by great thinkers. The more you procrastinate the longer your people will be left in the dark and they will turn their anger to the leadership.

CoW is pegged on what blends us more than divide, observe the developed countries, they got so far after opening their doors to the world. You can't sulk in introversion and hope things to just work.

dont generalize issues, we will always agree for issues that we see are of mutual benefit and chances of win win situation are high, the issue of calling charges is a win win situation we don't see any objection to it but issues like land, tourist visa and political federation are way off the mark as far as tanzania is concern thus y we agree for u guys to move ahead without any hard feelings!!!

i remember we have agree even for single currency still no issue as it is a win win situation!!!
 
Yaani na ujanja wako hivyo unagombana na keyboard mpaka asubuhi? we bwe.ge kweli. unapumuliwa kisogoni wewe. Yaani uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana. Alafu itakuwa mtihani wa hesabu/physics ilikuwa inakusumbua sana. Sema kweli.

Interahamwe umepewa za uso na Lawmaina78 sasa unajifanya chizi eti physics/math...nyie washamba mnajificha nyuma ya Utanzania kumbe ni interahamwe,na hakuna wabongo wenye akili mbovu na chuki kama wewe na yule mwehu mwenzako Jmali.
 
South Africa ni watu wetu, na tuna economic ties nao tayari. Tukisema tuungane EAC against South Africa tutakuwa tumevunja makubaliano tuliyowekeana nao.
So, from that point utaona kwamba we do not need to hurry............

Eti South Afrika wetu tu? some people wanafikiria kama akili za mbuzi.
 
Tanzania decided to join the bus late, you either put up or shut up. Next thing you guys will join is travel using i.ds only, cow ndio kiboko ya TZ, its forcing our dear ndugus to stop the delay tactics.
 
Example: USA, Canada, and Puerto Rico share the same Telephone system. A call from USA to Canada et al is local and vice versa, if the big fish knows the deal why not E Africa? Tanzania wake up.
 
Eti South Afrika wetu tu? some people wanafikiria kama akili za mbuzi.

We mnyamulenge mbona povu? Unapokuwa unakunywa viroba vingi hakikisha unakunywa maji ya kutosha alafu husikurukuke na kuharisha harisha hapa JF. Kick your a.s.s
 
Interahamwe umepewa za uso na Lawmaina78 sasa unajifanya chizi eti physics/math...nyie washamba mnajificha nyuma ya Utanzania kumbe ni interahamwe,na hakuna wabongo wenye akili mbovu na chuki kama wewe na yule mwehu mwenzako Jmali.

Na bado tunakuja kuwabaka huko. Mpaka mtakumbuka mlikotoka mi ndo kiongozi mwenyewe. Nafikiri ukisikia interahamwe muharisho unakujaa. Mende wewe!
 
Hamna uhusiano wowote dunia bila changamoto, I've said this before, the conglomeration is more like a business merger between companies. Makampuni huwa yanaungana ili kuboresha huduma zao na kuongeza faida inapotokea kwamba ushindani baina yao ndio unawaangusha.
Tanzania imekataa kuungana na wengine eti kwa sababu wanaogopa Wakenya watanufaika. Huo ni ulimbukeni, kwani mbona tusinufaike, Wabongo wanachofaa kujiuliza ni vipi hata nao watanufaika na sio kupoteza muda wakiwaza tu kuhusu Kenya.

Nchi ya Tanzania sasa hivi ndio inayo vivutio bora vya kiutalii Afrika yote, lakini wapo wapo tu, hamna jipya takwimu ni zile zile tu zimeongezeka kwa asilimia kidogo. Afrika Kusini vivutio vyao duni lakini wanashinda EAC yote hata ikiunganishwa. Watanzania waache uoga wa biashara na kufungua milango, wakubali hii ni karne mpya ambayo huwezi endelea kujifungia kwako halafu utarajia matunda. Waruhusu tupigie debe vivutio vyote vya EAC kama kifurushi kimoja na kupigana na Wa-south Afrika, wao kama Tanzania bora wahakikishe mapato yao yanaingia freshi bila vinginevyo.

Kwahito unatakaje? \tujiunge single visa wakati tunajua wazi nyie ni matapeli?

Hii ni nchi, sio familia yako ambayo unajiamulia vyovyote, kuna misingi ya kuendesha nchi. Kwahyo kaa chini na utulize kelele, tunafanya yetu in our own way
 
Example: USA, Canada, and Puerto Rico share the same Telephone system. A call from USA to Canada et al is local and vice versa, if the big fish knows the deal why not E Africa? Tanzania wake up.

Kwahyo kila anachofanya USA na sisi tufanye?? Kwanini??
 
The problem with you Tanzanians, you approach everything from Kenya's perspective as opposed to what is in stake for Tz. To you is always about how Kenya will benefit. you must understand this is like a business merger negotiations. You don't run away like a coward, but have your best brains engage on the table.
That mind trick wont work. Trying to make it seem backward and out of fashion to say no to the EAC....as if the EAC is some modern fashionable trend that everyone should be blindly copying. Our smart minds ARE on the table, negotiating on our behalf. When tbey say NO, respect that!
 
Back
Top Bottom