Kenya v Tanzania: Mchezo wa marudiano kufuzu kushiriki michuano ya CHAN

Azam tv walitangaza kuonesha kuanzia saa 10 lakini muda umefika ni mawaidha tu! Ujinga huu
 
Sheikh mmachame huyo,ameng'ang'ania kwenye screen.
 
Tanzania bado Sana kwenye soka Yani hakina coverege ya kuonyesha mpira wa Kenya na Tanzania halafu Kuna viumbe wanaamini sis ni bora tutasubir sana
 
Sheikh amemaliza,labda wataanza kuonyesha game
 
Azam nao wapuuzi tu.

Sasa kama wanajua hawaoneshi kwa nini wasiwaambie watazamaji wao mapema ukizingatia walijitangaza kuonesha hii wiki nzima.
 
Namkubali sana uyo bwana mdogo Mudathiri Yahya.
Kama kaenda nje itakua njema sana.
Anajua sana mpira ile siku ya mechi na Kenya alipotolewa Ndio wa kenya walituweza pale kati
 
Wamesema hawataonyesha tena. Channel gani inaonyesha,msaada tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…