Kenya v Tanzania: Mchezo wa marudiano kufuzu kushiriki michuano ya CHAN

Kenya v Tanzania: Mchezo wa marudiano kufuzu kushiriki michuano ya CHAN

Azam tv walitangaza kuonesha kuanzia saa 10 lakini muda umefika ni mawaidha tu! Ujinga huu
 
Sheikh mmachame huyo,ameng'ang'ania kwenye screen.
 
Tanzania bado Sana kwenye soka Yani hakina coverege ya kuonyesha mpira wa Kenya na Tanzania halafu Kuna viumbe wanaamini sis ni bora tutasubir sana
 
Sheikh amemaliza,labda wataanza kuonyesha game
 
Wamesema hawataonyesha tena. Channel gani inaonyesha,msaada tafadhali
 
Back
Top Bottom