Kenya v Tanzania: Mchezo wa marudiano kufuzu kushiriki michuano ya CHAN

Kenya v Tanzania: Mchezo wa marudiano kufuzu kushiriki michuano ya CHAN

Ngapi huko! Injinia soma hiyoo(in Mwanris'voice)
 
Taifa Stars wametoboa kwa penalty 4 kwa 1
 

Attachments

  • Screenshot_20190804-180540.png
    Screenshot_20190804-180540.png
    86.6 KB · Views: 20
Penalty Tz 04 -Kenya 01..
Tz tumefuzu tusubir kupambana na sudan
 
Kongore kwa timu yetu ya taifa, Taifa star hongereni mashujaa wetu, mnarudi nyumbani kishujaa. Nawapongeza pia watanzania wachache nikiwepo mimi tuliosafiri kuja kuunga mkono timu yetu ya Taifa. Niseme ukweli Yanga mlitakiwa kuwa wazalendo wa kitaifa, mmefanya wachezaji wetu wacheze kiunyonge maana hawakupata hamasa kabisa, Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki taifa Stars
 
Back
Top Bottom