Na kesho wanataka watu waishabikie timu hiyo!
Haya ni matokeo ya ujinga wa television ya taifa, yani team ya Taifa inacheza alafu television ya taifa haina habari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kesho wanataka watu waishabikie timu hiyo!
Haya ni matokeo ya ujinga wa television ya taifa, yani team ya Taifa inacheza alafu television ya taifa haina habari.
Ila Yanga wao wanadundwa huku.
Haya tumesawazisha, mimi ni mzalendo ati.Acha hizo kuwa mzalendo
Yanga sasa ...kwikwikwi ...masai kavamia disko ...[emoji41][emoji41]
No mkuu mashemejiWakenya aka majirani tumewaweka pembeni go tz
Kaseja mmh ni noma
utaona mwakyembe na makonda na vimbelembele vyao
So tumefuzu au bado?Wakenya aka majirani tumewaweka pembeni go tz
Penalty Tz 04 -Kenya 01..
Tz tumefuzu tusubir kupambana na sudan
Hapo ndipo wanakujaga kuharibu sasa na ujinga waoWataanza kujiweka mbele wao ndo kamat ya ushindi
Umesema tumefuzu!?! Then tusubiri Sudan..!??Penalty Tz 04 -Kenya 01..
Tz tumefuzu tusubir kupambana na sudan
Kwani kafanyeje!!!??Kwangu kaseja ni kipa bora kabisa, kwa tz ktk kizaz cha .com hyu ndye kipa bora wengine wanafuata
Na kweli kichwa cha wakenya kimenyolewa.Kama kawaida kinyozi kapata kichwa cha kujifunzia.
Nafikiri mmejifunza sasa ...mkome kabisa husisha misisiem na soka. Si mwaona tumeshinda !!Na kweli kichwa cha wakenya kimenyolewa.
wakati wameshindwa hata kuipambania tu, team ionyeshwe live.Wataanza kujiweka mbele wao ndo kamat ya ushindi