Kenya v Tanzania: Mchezo wa marudiano kufuzu kushiriki michuano ya CHAN

Kenya v Tanzania: Mchezo wa marudiano kufuzu kushiriki michuano ya CHAN

Yanga sasa ...kwikwikwi ...masai kavamia disko ...[emoji41][emoji41]

Huu mwaka lazima unyonge kwa watani wetu ubakie kuwa historia. Akirudi na mkongwe Kelvin Yondani, huenda tusilie lie kama msimu uliopita. Huyu Sadney wetu tu ndiye anaye onekana kuwa mzito kidogo, lakini ni suala la muda tu.
 
Hivi mechi ya preliminary WC kati ya TZ vs Burundi kocha atakuwa huyu huyu Ettienne?Anaweza kuiondoa nchi aliyozaliwa?Au atatuhujumu??
Penalty Tz 04 -Kenya 01..
Tz tumefuzu tusubir kupambana na sudan
 
Back
Top Bottom