Kenya vs Tanzania: Mbona Kuna Chuki?


Hehehe full povu, ndio huo uhuru wa maoni, yaani unaruhusiwa kuwaka moto ilmradi humtusi mtu, safi sana nimeipenda hii.
 
Kwa sababu ninyi ni malaghai, you are always taking advantage of Tanzania. Everything good from Tanzania is yours, ie mount Kilimanjaro, Kiswahili, Serengeti, etc. This rivalry will only end, when you'L denounce Tanzania resources to be yours. Full Stop.
 

Kwani Kiswahili sii chetu? Nyinyi ndio walaghai. Lugha yetu sote mnajifanyia kuwa yenu pekee
 
Huyu ndiye mmoja kati ya watzed wanaongozwa na chuki kali sana dhidi ya Kenya.This guy is like a Tanzanian Hitler and Idi Amin rolled into one.He's a psychopath and a sociopath.
Hahahaha, hahahaha, hahahaha.
 
mleta mada usipoteze muda wako na hao limbukeni.
Mimi ninavyo jua humu jf ni UTANI tu. Wewe ndiye unayeleta chuki. Kama upendi utani jitowe. Unataka kujilinganishe na Uganda? Uganda ni Watoto wetu TANZANIA. Tuliwakomboa toka kwa nduli. Rwanda nayo pia. Kagame alipokuwa Uganda na M7 . Alikuja Arusha kusoma Mambo ya kijeshi 2Lt toka UPDF int 15/16 CTU . kwa hivyo NI watoto wa bongo. KENYA na BONGO ni watani
 
Bro ubaguzi na chuki upo sana Tanzania ishawahi kutokea Miss Tanzania alichaguliwa lakini ikatokea huyo mshindi ana asili ya India, Bro hizo chuki zilikuwa ni kupitia kiasi na pitia kwenye mada za dini hapo ndio utaona jinsi chuki zilivyokithiri dhizi ya Uislamu na Waislamu ni hatari sana. Wanawachukia waKenya kwa sababu nyingi la zaidi ni hiyo lugha ya malkia mnavyo ijua sanaa kwa hilo ndio wanatafuta pa kutokea wengi wao ni illiteracy ni shida kubwa
 
Kuna muda kichwa yako ina akili kuna muda inapungukiwa githeri unakuwa hamnazo...
Natamani tuandae mtoko wa wanaafrika mashariki tuliokutana humu tusosholaizi zaidi na kupeana michongo mingi nje ya Jf.. Naipenda Africa mashariki, hizi mizozo ni humu ndani tu,ukitukuta kitaa hatuna haya mambo yakina pingli nywe na Nairobi walker wala mk254 tuko peace and love sana sisi.huwezi tulinganisha na vichaa wa msumbiji wala kule south Africa, tuendelee kubishana humu ndio sosho midia style.
 
Acha uwehu wako na wewe!
Mambo ya social media na uhalisia wa mtaani ni tofauti kabisa unless una mihemko yako tu.
Huku kitaa tunaishi na waafrika wenzetu kiamani sana na wengine tunawaficha hata waishi bila vibali.
Humu utani na kuzinguana ambako kimsing na matambo tu na ni kati ya wakenya na watz huwezi mkuta mganda hapa hata sekunde anabishana na mkenya au mtz.

Yapo mambo yakidhaifu yanafanywa na serikali hizi au wananchi wake lakini sio katika rate ya kutoishi pamoja..
 
Aaaaaaa sio kweli. Wazee waliwachukia si kwamba eti wazungu na wahindi walijenga Kenya. Sivyo. NI kwamba KENYA mlisusa kukomboa Africa hasa S Africa. Mkawakumbatia makaburu. Wezenu walijitoa na kususia biashara na Makaburu. KENYA alikuwa wakifanya biashara na kushirikiana nao. Ndege zilikuwa zinakwnda na kurudi. Possport ya Kenya ilikuwa inaruhusu kuingia huko.
 
Mimi kabla sijaanza kuona nyuzi za battles humu niliwaona Wakenya wako poa tu, na tumekutana maeneo tofauti kikazi na kimasomo, yaani hakuna shida kabisa. Lakini humu mitandaoni kuna watu wana stress zao, kazi kushambuliana tu. Ni ujinga tu
 
Humu hakuna rivarly yeyote Nina uhakika humu watu ni wanataniana hamna kingne, huyu aloleta huu uzi anajaribu kutibua watu lakin ubishani huu ni wa kupoteza muda [emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Pia inasaidia kujua yanayojiri nchi za jirani kiundani zaidi mana bila huu ubishi mi nisinge jua kama kuna jambo lolote linafanyika KE wala nicngejua kama SGR ya kenya inamilikiwa na china [emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…