Kenya vs Tanzania: Mbona Kuna Chuki?

Kenya vs Tanzania: Mbona Kuna Chuki?

Nacheza bao kijiweni apa.akili yangu, mitazamo, na research yangu ndogo bado inaonyesha wew ni hamnazo.unajifanya unabeba jina la kenya kwenye thread za mihemko yako mwenyew.unaonekana una misukosuko ya maisha inakusumbua.wakenya hawako kama wewe nasema never.unajifanya akili kubwa kila kitu unajua kumbe hamna kitu.sisi wengine tukikosa vya kuchangia tunasoma thread (sio kwamba we unajua).ila ni mkurupukaji sikutofautishi na akina mwajuma ndala ndefu [emoji35][emoji35][emoji34][emoji34]

Hehehe full povu, ndio huo uhuru wa maoni, yaani unaruhusiwa kuwaka moto ilmradi humtusi mtu, safi sana nimeipenda hii.
 
Kwa sababu ninyi ni malaghai, you are always taking advantage of Tanzania. Everything good from Tanzania is yours, ie mount Kilimanjaro, Kiswahili, Serengeti, etc. This rivalry will only end, when you'L denounce Tanzania resources to be yours. Full Stop.
 
Kwa sababu ninyi ni malaghai, you are always taking advantage of Tanzania. Everything good from Tanzania is yours, ie mount Kilimanjaro, Kiswahili, Serengeti, etc. This rivalry will only end, when you'L denounce Tanzania resources to be yours. Full Stop.

Kwani Kiswahili sii chetu? Nyinyi ndio walaghai. Lugha yetu sote mnajifanyia kuwa yenu pekee
 
Huyu ndiye mmoja kati ya watzed wanaongozwa na chuki kali sana dhidi ya Kenya.This guy is like a Tanzanian Hitler and Idi Amin rolled into one.He's a psychopath and a sociopath.
Hahahaha, hahahaha, hahahaha.
 
mleta mada usipoteze muda wako na hao limbukeni.
Mimi ninavyo jua humu jf ni UTANI tu. Wewe ndiye unayeleta chuki. Kama upendi utani jitowe. Unataka kujilinganishe na Uganda? Uganda ni Watoto wetu TANZANIA. Tuliwakomboa toka kwa nduli. Rwanda nayo pia. Kagame alipokuwa Uganda na M7 . Alikuja Arusha kusoma Mambo ya kijeshi 2Lt toka UPDF int 15/16 CTU . kwa hivyo NI watoto wa bongo. KENYA na BONGO ni watani
 
Bro ubaguzi na chuki upo sana Tanzania ishawahi kutokea Miss Tanzania alichaguliwa lakini ikatokea huyo mshindi ana asili ya India, Bro hizo chuki zilikuwa ni kupitia kiasi na pitia kwenye mada za dini hapo ndio utaona jinsi chuki zilivyokithiri dhizi ya Uislamu na Waislamu ni hatari sana. Wanawachukia waKenya kwa sababu nyingi la zaidi ni hiyo lugha ya malkia mnavyo ijua sanaa kwa hilo ndio wanatafuta pa kutokea wengi wao ni illiteracy ni shida kubwa
Mimi ni mkenya, na nimejiunga na hii forum kwa sababu hivi karibuni nitahamia kuishi TZ kwa miezi 5 hivi. Ila nimehuzunishwa na ushindani kati ya +255 na +254 niliouona hapa. Nina swali kwa ndugu zangu waTZ, mbona mnachuki dhidi ya Kenya hivi? Hii sehemu inaitwa; Kenya News and Politics. Ila mada zilizojaa hapa nyingi ni za kuonesha maendeleo ya Tanzania (ili kuonyesha mko juu ya kenya) na mada za kuiponda Kenya tu.

Explain to me what you gain from comparing the two countries? Kama mnaona Tanzania imeshinda Kenya kimaendeleo, mbona poa tu! Mbona hamjilinganishi na UG, RW ama Malawi? Kenya tu ndio wayaumisha kichwa! Ina inawafaidi nini kuiponda Kenya? Mnafurahia Kenya ikianguka ama ni vipi? Mara ooh SGR haitafika malaba, mara ohh tumewapokonya pipeline ya UG, RW SGR itapitia Tz, mara ohh lapset project itaanguka! Mara ohh wakenya wanaishi kwa slums, mnasahau dar ina Mbagala na tandale slums. Hata S.A most developed country in Africa ina slum; Soweto.

Mimi sina kinyongo nikiona Tz ikiendelea, na wakenya wenzangu 40 million hakuna atakaepandwa na presha Tz ikipita kenya. Sasa mbona nyinyi inaonekana ni kama mnataka Kenya ianguke. Sijui neno la kiswahili ila wazungu watasema you have inferiority complex. Tembeleeni Forums za Kenya kama; *********, Wazua Forum. Hutaona hata mada moja inayoongelea TZ. Hata hakuna sehemu ya "Tanzania News and Politics

Nchi EAC zina watu jumla zaidi 170 million, tukiungana kufanya biashara na maendeleo itafaidi Nchi zote tufike kiwango cha Nigeria, SA na Egypt. Ila waTz nyie mnaona kushindana na kenya tu. Niambieni mnafadi nini kulinganisha Kenya na Tz, wakati hata kenya hatujali?

Kwa hayo mengi nangoja kwa hamu kuja TZ.

Poleni kwa waliopata wakati mgumu kuelewa kiswahili changu.
 
Kuna muda kichwa yako ina akili kuna muda inapungukiwa githeri unakuwa hamnazo...
Natamani tuandae mtoko wa wanaafrika mashariki tuliokutana humu tusosholaizi zaidi na kupeana michongo mingi nje ya Jf.. Naipenda Africa mashariki, hizi mizozo ni humu ndani tu,ukitukuta kitaa hatuna haya mambo yakina pingli nywe na Nairobi walker wala mk254 tuko peace and love sana sisi.huwezi tulinganisha na vichaa wa msumbiji wala kule south Africa, tuendelee kubishana humu ndio sosho midia style.
Aisei humu tungekua tunakuja kutafuta kupendwa basi hii JF haingekua na umaarufu wowote, ila ndio chombo mahsusi cha watu kukubali kutokubaliana kwa hoja, humu wapo Watzed ambao hukesha wakitiririka chuki dhidi ya Kenya, ila sisi Wakenya tulishawazoea na kuwavumilia maana kiaina huwawezesha kupata kaunafuu, ni kama vile raha ya nyeto.
Mitandao ya kijamii huwafaidi watu kuwa na sehemu ya kusema, hususan kwa nchi yenu ambayo mumeminywa hamna uhuru wa kusema. Nakumbuka kipindi fulani mkulu wenu aliomba malaika waje na kufunga mitandao yote.

Kama ukishindwa kuvumilia maoni ya watu humu, log off kabisa nenda kacheze bao kijiweni.
 
Acha uwehu wako na wewe!
Mambo ya social media na uhalisia wa mtaani ni tofauti kabisa unless una mihemko yako tu.
Huku kitaa tunaishi na waafrika wenzetu kiamani sana na wengine tunawaficha hata waishi bila vibali.
Humu utani na kuzinguana ambako kimsing na matambo tu na ni kati ya wakenya na watz huwezi mkuta mganda hapa hata sekunde anabishana na mkenya au mtz.

Yapo mambo yakidhaifu yanafanywa na serikali hizi au wananchi wake lakini sio katika rate ya kutoishi pamoja..
Bro ubaguzi na chuki upo sana Tanzania ishawahi kutokea Miss Tanzania alichaguliwa lakini ikatokea huyo mshindi ana asili ya India, Bro hizo chuki zilikuwa ni kupitia kiasi na pitia kwenye mada za dini hapo ndio utaona jinsi chuki zilivyokithiri dhizi ya Uislamu na Waislamu ni hatari sana. Wanawachukia waKenya kwa sababu nyingi la zaidi ni hiyo lugha ya malkia mnavyo ijua sanaa kwa hilo ndio wanatafuta pa kutokea wengi wao ni illiteracy ni shida kubwa
 
Tanzania nimepaishi miaka kadhaa, na nimekatiza mikoa mingi na wilaya nyingi, nimeingia maeneo mengi sana huko na kuhititmisha kwamba kuna aina tofauti tofauti za Watanzania.
- Kunao ambao walikaririshwa mambo fulani fulani dhidi ya Wakenya tangu enzi za ujamaa, hawa hata ufungue nyuzi ngapi humu hawatabadilisha mawazo na mitazamo yao, ni wazee wazee na cha kuhuzunisha walipokeza mitazamo ya kihivyo kwa watoto wao. Hawa walikaririshwa kwamba Kenya ilijengwa na mzungu na ndio sababu imewashinda kiuchumi hadi leo.

- Kuna wale japo huiskia Kenya, lakini ukimuuliza iko upande gani kwenye ramani hawana habari, hawa hujifanya wajuzi sana wa masuala ya Kenya, na wapo hata humu JF. Sampuli ya hawa utawakuta vijiweni Tanzania wakiijadili Kenya, nilikua nakaa pembeni kuwaskliza hadi naishia kicheko.

- Kuna ambao kwa kweli wanaipenda Kenya, hawa aidha wamewahi kuishi na kusomea Kenya maana kila nikijadili nao walikua wanaonekana kuwa na habari za Kenya hadi za hivi punde. Unakuta Mtanzania anawajua wabunge wetu hata kunizidi, anaweza akaongea siasa za maeneo kama Nyandarua, Trans Nzoia n.k. yaani maeneo ambayo hata mimi binafsi sina habari nini kinaendelea huko, wa hivi nilikua na urafiki nao sana na mpaka leo huwa tunapigiana simu.

- Kuna wengine japo wamewahi kuishi Kenya, lakini kuna kituko kiliwatendekea wakaishia kulea chuki dhidi ya Kenya, aidha alinyang'anywa bidhaa, au kiwanja au fursa fulani, kuanzia hapo akaanza kuishi full majungu na machungu dhidi ya Kenya, na wapo humu.

- Kuna sampuli ya wengine ambao walizembea kazini kwao huko halafu Wakenya wakaalikwa na kuajiriwa kwenye hizo nafasi, unakuta mwajiri Mtanzania ameamua kumlipia Mkenya au Mhindi gharama zote za usafiri, makazi, vibali vyote ilihali ameacha Watanzania wenzake. Sasa hapa jamaa wanaishia kulea chuki na hawawezi kubadilika hata ufanye nini.

- Kuna wengine ambao hutuchukia kwa ajili ya uwezo wetu wa kuongea kingereza ilhali wao wamehangaika kwa muda mrefu, unakuta tukiingia vikao ambavyo kingereza ndicho kinatumika, inakua rahisi kuwajua Wakenya humo ndani maana wanaonekana kujiamini na waongeaji ilhali Watanzania kimyaaa. Vikao vya namna hii nilivihudhuria sana, Watanzania walikua wanalea chuki japo kimya kimya.

- Lakini pia humu JF kuna wale ambao ni mamluki wa CCM, hawa hukesha humu wakiponda Kenya, wao hawana chuki lakini wapo kikazi zaidi. Awali nilikua najadili nao lakini nilipogundua kwamba ni kama robots, yaani kazi yake haimruhusu kuwa na mtazamo tofauti, hivyo hata kama uko sahihi kivipi hatokubali hata kama uzi utaishia kwenye kurasa ishirini, ikabidi niwe nawakwepa.

Zaidi ya yote, kuna Watanzania wazuri tu, mnahusiana nao vizuri hawana chuki wala nini, tena wachapa kazi nimefanya nao kazi, wana uzalendo wa Kiafrika, yaani wao hupenda kuona maendeleo kwenye nchi yoyote ya Afrika. Na hutawakuta wakichangia kwa chuki, wao hutoa hongera wanapokumbana na hatua zozote chanya zitakazoikomba Afrika kiuchumi. Wapo wa hivi humu lakini wachache sana.
Aaaaaaa sio kweli. Wazee waliwachukia si kwamba eti wazungu na wahindi walijenga Kenya. Sivyo. NI kwamba KENYA mlisusa kukomboa Africa hasa S Africa. Mkawakumbatia makaburu. Wezenu walijitoa na kususia biashara na Makaburu. KENYA alikuwa wakifanya biashara na kushirikiana nao. Ndege zilikuwa zinakwnda na kurudi. Possport ya Kenya ilikuwa inaruhusu kuingia huko.
 
Mimi kabla sijaanza kuona nyuzi za battles humu niliwaona Wakenya wako poa tu, na tumekutana maeneo tofauti kikazi na kimasomo, yaani hakuna shida kabisa. Lakini humu mitandaoni kuna watu wana stress zao, kazi kushambuliana tu. Ni ujinga tu
 
Humu hakuna rivarly yeyote Nina uhakika humu watu ni wanataniana hamna kingne, huyu aloleta huu uzi anajaribu kutibua watu lakin ubishani huu ni wa kupoteza muda [emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Pia inasaidia kujua yanayojiri nchi za jirani kiundani zaidi mana bila huu ubishi mi nisinge jua kama kuna jambo lolote linafanyika KE wala nicngejua kama SGR ya kenya inamilikiwa na china [emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom