Kenya vs Tanzania military

Ukumbuke urusi na Syria wanampa mawazo Hugo capitalist wetu pia Trump kama anawazingua moans germany sembuse Kenya pia Saudis pamoja na madila yake anazinguliwa pia jiongeze USA Hana rafiki wa kudum ni maslai tu
 
Ukumbuke USA aliwai kupayuka kuwa Tz ananunua weapon kwa bwana kiduku pia urusi na China hawatoi data za wajamaa wenzie kijeshi
 
Kipindi cha mauji ya kimbali Rwanda france Alikuwa na makeshi humo pia Africa ya Kati ni vilevile tu
 
Vijana, hii ligi ni ya muda mrefu, kila mmoja huwa anavutia kwake bila ya kujua mwenzake amejiimarisha vipi.

Traditionally, manunuzi ya zana za kivita huwa ni siri sana, propaganda hutumika lakini uhalisia hua mbali na yale unayoona mitandaoni.

Toka zamani, doctrine ya JWTZ ni kua na strong defence kwanza ndipo offensive capabilities zinafuata. Ndio maana military intelligence na air defense network ya JWTZ ni nzito sana ukilinganisha na majeshi ya nchi inazopakana nazo.

On the other hand, doctrine ya KDF ni kua na strong offensive capability kwanza halafu defensive capabilities ndio zinafuata.

Sasa tofauti ya haya majeshi yetu mawili ni kwenye uzoefu wa medani:

JWTZ ina uzoefu wa miaka mingi sana. Imechapana na Portuguese Mozambique na Angola, imepambana na Kaburu South Africa na Namibia, Imeondoa Ian Smith Zimbabwe, Imerudisha madarakani serikali ya Seychelles ilipopinduliwa na mercenary army ikiongozwa na Kaburu, Imerudisha madarakani serikali ya Commoro ilipopinduliwa na mercenary army hadi kiongozi wao akakimbilia France, Imeondoa madarakani Nduli Idd Amin Dada wa Uganda, Imerudisha madarakani Pierre Nkurunzinza wa Burundi, pale alipotangazwa kupinduliwa, Inalinda Amani DRC, South Sudan, Liberia, Lebanon, Car etc, etc the list is long
Some sources:

Soldiers From Tanzania Help Defend Seychelles, Aide Says

https://allafrica.com/stories/200803180148.html

Uzoefu wa KDF nadhani ni vita ya Alshabaab labda na few peace keeping missions abroad. Mwenye kufahamu Zaidi atufahamishe hapa...
 
Wambie hao wakenya maan m nashndwa nianzie wap!!
Kama mnafaham moto wa hii kitu JF-17 Xiaolong/Thunder kutoka China basi faham kuwa zpo kadhaa znakuja Tz from any moment now
Huyu anko magu mtamwelewa tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nendeni mkajaribu tena kuchokoza Uganda Muone! These guys have SU-30 fighter Jets!!![emoji50][emoji50] Mtafagiliwa kama takataka nyinyi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 890723
Mind you! Uganda will never fight with tz bcoz Uganda army ilianzishwa na jwtz baada ya kumtoa iddi amin madarakani
Hata maafisa wapya wa jeshi la Uganda wanasoma na kupga koz zote za kijeshi hapa tz
Na kama hujui hata museveni alipga kozi zote za kijeshi hapa tz!!!!!
 
Vita ingekuwa ni budget na vifaa vya jeshi tu basi tusingewapiga Uganda. Mvietnam asingempiga Mmarekani. Iran asingemsulubu Miraq. Mchina na DRPK wasingechapana na Mmarekani na South Korea hadi waamue vita iishe bila mshindi. Jeshi zuri ni zaidi ya vifaa na budget na ukiangalia vizuri Kenya budget yenu ipo juu kwasababu ya Somalia sisi hatuna jirani anatusumbua na majeshi yetu yaliopo DRC yanalipiwa na UN kwa maana nyingine yapo kwenye mission na kuongeza uzoefu wa vita at the expense of UN hapa kuna uwezekano hata michango yenu mnayotoa UN yanalipia Jeshi letu bila kujua.
 
Huko mbali Westgate tu ilionesha akili ndogo za jeshi lao na vyombo vyote vya usalama vya Kenya na hadi leo hawana uwakika na kilichotokea. Ukiona nchi majambazi wanawazidi polisi akili ujue hamna cha intellegence wala ethics kwenye majeshi yao.
 
Hahaha.... Unajua hao wapuuzi wasiokuwa na shukrani walikuwa hadi na makambi huku TZ na ushahidi upo kama tulikuwa pathetic kwanini walikaa muda mrefu for training. Unajua nani alipewa heshima ya kuhutubia bunge la kwanza la SA after Aparthed ? Unajua kwanini alipewa hiyo heshima na Mandela? Upo very uninformed.
 
Kiukweli hizo ni blabla tu manake jwtz zana zao ni siri mno na najua hili wabishi tutabisha Ila kuna mengi sana na jeshi letu alipo vizur zaid ndo mana jw wnahusihwa SNA kwenye mission nying kuliko makenya
Tumeongoza operations nying zaid yao na zenye mafanikio
 
"Mwamba ngoma, ngozi huvutia kwake"

Everyone is patriotic and wants to talk well of his country but facts and numbers don't lie.
Kenya has a bigger budget and has more money to spend on training and equipment.

But winning a war is not a very straight-forward issue in our case where Kenya,even though has a stronger army and more equipment not by a very very big margin..maybe 30%-40% stronger

So in case of a war circumstances will matter much.
In a case of a short term war where Tz declares war and is the aggressor,Kenya will find itself on the defensive side and the TZ army will be fighting on Kenyan soil..how well Kenya is able to organize themselves in the shortest time to defend their territory will matter much, also if TZ is able to quickly subdue Kenya completely and conclude the issues at hand will be key, otherwise if the war drags on longer than necessary for more than 4 months issues start to change gradually.
And the vice versa is true in the case where KE is the aggressor and the first to declare war and invade TZ

leading to the second scenario.

A long protracted war, In a war lasting for more than 6 months other issues come into play that are not military related,
An army matches on its stomach, ie the economy, this will determine how long and well the country can sustain a war..
In this regard i don't see Tanzania going far, no offense, you can beat Kenyans in a surprise attack but in the long term, we will strangle you to your death.

However, winning a war and occupying another nation is a different issue altogether. In my opinion, i don't think any of the 2 nations have the capability to conquer and occupy the other.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…