Kenya waadhimisha siku ya Uhuru - Tunayo ya Kujifunza

Kenya waadhimisha siku ya Uhuru - Tunayo ya Kujifunza

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Kujifunza ni jambo la kheri kwa waungwana.

Kwa hakika hawakukosea waliotambua elimu haina mwisho.



Kwa umoja wao bila kujali itikadi zao kisiasa, walikuwa na neno la faraja kwa ajili yao.

Ama kweli penye wengi hapaharibiki jambo na ndiyo maana wanachanja mbuga.
 
Huku kuna watu ukiwaalika ukawapa nafasi ya kuongea, utasikia wanadai Katiba mpya hapo hapo... wapanga sherehe nao hata hawajui waweke content gani zitazofanana na shughuli husika...shida tu aisee, kila mahala lack of serious people...
 
Huku kuna watu ukiwaalika ukawapa nafasi ya kuongea, utasikia wanadai Katiba mpya hapo hapo... wapanga sherehe nao hata hawajui waweke content gani zitazofanana na shughuli husika...shida tu aisee, kila mahala lack of serious people...

Itakuwa hata huko Kenya ndiko waliko anzia. Yaani kwenye very primitive stage.

Si unaona wanapongezana wao kwa wao kwa kupigania haki, usawa, demokrasia na uhuru?

Kumbe sisi tuko kwenye ile stage waliyokwisha ipita.

Kwani wadai vipi katiba waliyokwisha ipata na ambayo kama unavyoona wanajivunia?
 
Wanajeshi wamebeba mafurushi makubwa migongoni???

Sina hakika kama gwaride idadi askari ilifika hata 10% yetu.

Achilia mbali fan fare za hadi choir, mazumari kutoka Pemba, halaiki za kichina, nk 😁😁.
 
Mkuu Mimi ni ke

😁😁

IMG_20211212_223059_392.jpg
 
Hayo ndiyo maneno yenu mnaposhindwa na hoja. Kwani kuzungumzia mazuri ya jirani ni vibaya? Ingekuwa Ulaya usingesema ahamie huko. Ovyoooooo...

Hao wasikupe taabu mkuu. Hao tunawamudu sana tu. Ndiyo maana aya ya kwanza tu ilikuwa na angalizo ambalo bado hakuliona:

"Kujifunza ni jambo la kheri kwa waungwana."

Kwa kufeli kuliona hata hilo, yumkini huyu cariha ndiye Masanja mwenyewe.

Angalizo: JF kuna fake ID hadi jinsia 😁😁.
 
Binafsi nimekuwa impressed sana na miradi ya ujenzi wa makazi na majumba ya kisasa pale kenya, hawa jamaa once wanapo amua kujenga kama ni apartments za maghorofa, jamaa wana jenga kitu ambacho kinavutia, room zina spaces yaan safiii + stendi zao za SGR yaan ni safi zinaweza ku service ata baada ya 20 yrs ata kama population itaongezeka ..ukitazama ivi vituo vya SGR vya Bongo yaan ni vichekesho

Sasa ukitazama kenya wana jenga Museum yao ya Uhuru yaan ni kitu kinacho vutia na kupendezesha mji
Hakika tuna chakujifunza toka kwa hawa jamaa
 
Back
Top Bottom