Kenya waadhimisha siku ya Uhuru - Tunayo ya Kujifunza

Kenya waadhimisha siku ya Uhuru - Tunayo ya Kujifunza

Binafsi nimekuwa impressed sana na miradi ya ujenzi wa makazi na majumba ya kisasa pale kenya, hawa jamaa once wanapo amua kujenga kama ni apartments za maghorofa, jamaa wana jenga kitu ambacho kinavutia, room zina spaces yaan safiii + stendi zao za SGR yaan ni safi zinaweza ku service ata baada ya 20 yrs ata kama population itaongezeka ..ukitazama ivi vituo vya SGR vya Bongo yaan ni vichekesho

Sasa ukitazama kenya wana jenga Museum yao ya Uhuru yaan ni kitu kinacho vutia na kupendezesha mji
Hakika tuna chakujifunza toka kwa hawa jamaa

Tatizo sisi vichwa ni vigumu mno (aka magube gube). Kila mtu ni mtalaamu wa kila kitu:

IMG_20211211_115457_124.jpg


IMG_20211211_082805_567.jpg
 
Back
Top Bottom