Binafsi nimekuwa impressed sana na miradi ya ujenzi wa makazi na majumba ya kisasa pale kenya, hawa jamaa once wanapo amua kujenga kama ni apartments za maghorofa, jamaa wana jenga kitu ambacho kinavutia, room zina spaces yaan safiii + stendi zao za SGR yaan ni safi zinaweza ku service ata baada ya 20 yrs ata kama population itaongezeka ..ukitazama ivi vituo vya SGR vya Bongo yaan ni vichekesho
Sasa ukitazama kenya wana jenga Museum yao ya Uhuru yaan ni kitu kinacho vutia na kupendezesha mji
Hakika tuna chakujifunza toka kwa hawa jamaa