Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Hawa jamaa sijui wanavuta bhangi au nini? Nilikuwa naongea na mkenya mmoja kuhusiana na mpira .... Hasa kwa nchi za East Africa hakujua kama natokea Tanzania. Yeye anajua mimi ni Black American.
Nikamuuliza kwa East Africa kwa sasa ni team gani zinafanya vizuri kimpira. Akajibu bila aibu kuwa kwa wao Kenya wana team inaitwa simba Sports Club imetinga robo fainali shirikisho... Hiyo ndo team inayobeba East Africa kwa kiasi kikubwa sana. Nikamuuliza tena ni ya nchi gani. Akaseama "Nimekwambia inatokea hapa kenya ina wachezaji kama akina onyango n.K" nikamwambia tu haya.
Watanzania ni kuwa makini sana Kenya hawachelewi kuichukua hii team na kuitangaza kama yao halafu sisi tukakosa mapato ya Utalii. msilale maana hali ninavyoiona kwa hawa jamaa kila kitu kizuri wanapenda kiwe chao.