Kenya waanza kusema kuwa Simba ni yao....

Kenya waanza kusema kuwa Simba ni yao....

Hakuna Simba bila Yanga
Hakuna Yanga bila Simba
Zamani hiyo ... Kwa sasa Simba ilishatoka huko. Inaongea hbr za Kazier Chiefs,Al Ahly, Zamarek, TP Mazembe, Rs Berkane n.k haiongelei tena habari za Yanga. Nenda page ya CAF insta, Tweeter na Facebook utaelewa. Hiyo ya Hakuna Simba bila Yanga. That was then. And This is Now. Ni Yanga tunatumia kujifariji tu.
 
Majirani hua wanatamaa sana na mambo yetu...
 
Hakuna Simba bila Yanga
Hakuna Yanga bila Simba
Simba bila Yanga ipo na ndiyo wao wanaotupa raha kimataifa...mbona hatuisikii Yanga kimataifa ikituwakilisha? Wao wako bize tu kutupa stress wakicheza kimataifa maana kufungwa na kunyanyaswa kwao ni jadi.
 
Back
Top Bottom