Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Juzi tuliKua na mtifuano kuhusu wale walio Rudi kutoka AFRIKA KUSINI, sikua na Nia mbaya hata Mimi napenda kwenda kuishi Dubai na ndio ndoto zangu kuishi hata kufia huko.
Ila tukirudi na uhalisia wadogo zangu kaka zangu, kama vipi Baki bongo na ukiondoka basi walau acha maisha hata kesho kikibuma unarudi KIROHO safi ukiwa imeacha msingi, dunia ya Leo ubinafsi ni mkubwa na roho mbaya dhidi ya wageni ni kubwa hivyo UKIPATA chance kwenda nje kwenye ramani ya kueleweka nenda mzeer usiji ulize Wala, ila kama huna ramani mhhh Bora badili mikoa mambo ya kwenda sehemu inayo kupaswa uwe na passport au visa asee be care mkuu life sio poa.