Kenya waanzisha chama cha siasa kiitwacho " CCM-Kenya"

Kenya waanzisha chama cha siasa kiitwacho " CCM-Kenya"

mleta thread must be a tanzanian...habari haina msingi wowote...kesho tu atakuja hapa kusema kuna mtu anayeitwa John kule Kenya kama rais wa Tanzania ilhali John wako wengi kote duniani...upumbavu mtupu...kuna NASA (National Aeronautics and Space Administration) ya Marekani....kuna NASA (National Super Alliance) chama cha kisiasa Kenya....tena kuna NASA (National Association of State Agencies)....sasa hii pia itakua habari?
 
It's a party that has styled itself as a grassroot movement, yani wanajichukulia kama watetezi wa haki za watu walio mashinani. Kwa kizungu wanajiita The Grassroots Party, ambalo limetafsiriwa kwa Kiswahili.

It's just a coincidence of initials there.
 
No it is not a new part, kilikuwepo long time but unpopular, Niko huko BOMET
 
Back
Top Bottom