Kenya wagonjwa wa Coronavirus waongezeka na kufikia 15. Mipaka yafungwa

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Serikali ya Kenya imetangaza wagonjwa wapya 8 na kufikisha idadi ya wagonjwa 15. Katika wagonjwa wapya 8, watano ni wakenya na 3 raia wa kigeni

Abiria 363 wanaodhaniwa kugusana au kukutana nao wanasakwa na Serikali

Aidha, Safari zote za Kimataifa kuingia nchini humo zitafutwa kuanzia Jumatano, Mach 25, 2020

Kila atakayetembelea Kenya atawekwa karantini mara baada ya kuwasili

Baa na Vilabu vyote vya starehe (Clubs) vitafungwa kuanzia usiku wa leo

====

The number of coronavirus cases in Kenya has risen to 15 after eight more patients tested positive for COVID-19.

According to Health CS Mutahi Kagwe, the eight new cases include five Kenyans and three foreigners (two French nationals and a Mexican).

“In the last 72 hours, we have received confirmation of an additional 8 cases who have tested positive for coronavirus. This now brings the total number of those who have tested to 15,” said the Health CS in a press briefing on Sunday.

According to the Health CS, the eight cases are individuals aged between 20 and 57 years who traveled to the country from Europe and the US between March 4 and March 17.

“All the eight came through the Jomo Kenyatta International Airport between March 4 and March 17 and they have all been isolated at various facilities and are being monitored by our teams,” noted the CS.

The Health Cabinet Secretary further announced that the government is tracing 363 persons who are believed to have come into contact with the eight new patients.

He added that three other people are waiting processing at Mbagathi Hospital.

“All the patients except the one who is at the Coast in Msambweni are in stable condition. The government is organizing to have the patient in Msambweni airlifted to Nairobi for further treatment,” said Kagwe.

The Health CS pleaded with Kenyans to remain focused in exercising high levels of hygiene and maintaining social distance as the most effective measures to avoid contracting the coronavirus.

“Our actions continue to be guided by the trends that we have observed in other countries. Evidence from other countries indicates that the number of infected persons increases dramatically in the second week following confirmation of the first case,” said Kagwe.

Source: Citizen
 
Kama zile sabuni zina asilimia 60 ya kilevi inamaana hivyo vi COVID-19 havisavaivu au vinateseka vikikutana na alcohol sasa kwanini wafungie bar na sehemu za starehe?

Watu wataanza kunywa hizo sabuni!!
Kwa sababu kiwango (concentration) ya alcohol kwenye hivyo vilevi haijafikia kiwango kinachoweza kumuua huyo kirusi.

Halafu hiyo alcohol ina athari kama kirusi hakijaingia mwilini, kikishaingia kwenye damu hata unywe pombe zote duniani, hazitasaidia.

Ingekuwa hivyo, tungeambiwa dawa yake ni kunywa tu pombe.
 
Hakuna watu wanakunywa pombe kama Ulaya. Wale walio wengi kila mlo hasa dinner lazima wapige "kitoti" si mdogo si mkubwa. Lakini Ona ugonjwa huu unavyowasumbua. Hata hivyo jibu sahihi kwa hoja yako ni hilo la ndugu, Mkuu, Sang'udi kwenye post namba nne ya uzi huu.
 
Nitajie pombe zente 60% ya alcohol au above.
Kama zile sabuni zina asilimia 60 ya kilevi inamaana hivyo vi COVID-19 havisavaivu au vinateseka vikikutana na alcohol sasa kwanini wafungie bar na sehemu za starehe?

Watu wataanza kunywa hizo sabuni!!
 
Namanga lakini si mtu unapita tu? Duh! Hii hali aisee ni hataree. Natakiwa kusafiri kwenda ughaibuni mwezi ujao mwishoni na natakiwa kuondokea Jomo Kenyatta international airport. Sijui itakuwaje. Nikifikiria nachoka. Kupitia Zurich Switzerland kisha Los angeles, california nichukue basi na treni hadi nyumbani san diego. Yani lazima tu niupate huu ugonjwa ninavyoona kwa jinsi safari ilivyo ndefu. Kuahirisha safari pia ni ngumu sababu kazini nahitajika. Nafanya mambo ya afya. Duh! Mungu atutangulie Africa isiwe vibaya kama ulaya na USA na Asia.
 
Utabaki bongo kwa muda. Na uhakika kazini wataelewa la sivyo telework.
 
Asee.. Mpaka lini hii hali? Hili janga liishe ase tuendelee na maisha yetu. Kweli tujikinge tu hamna namna, Mungu atuokoe.
Mkuu, ulishawahi kusikia, kuona au kupika ugali ukaiva kabla maji hayajachemka? Likiingia ni kulichochea tu maji yachemke ugali upikwe. Haujaanza bado kaka!!
 
Kwa hesabu zilivyo, wanasema utaambukiza asilimia 80 ya population, asilimia 1 watakufa. Hesabu kumkichwa.
 
Namanga lakini si mtu unapita tu? Duh! Hii hali aisee ni hataree. Natakiwa kusafiri kwenda ughaibuni mwezi ujao mwishoni na natakiwa kuondokea Jomo Kenyatta international airport. Sijui itakuwaje. Nikifikiria nachoka. Kupitia Zurich Switzerland kisha Los angeles, california nichukue basi na treni hadi nyumbani san diego. Yani lazima tu niupate huu ugonjwa ninavyoona kwa jinsi safari ilivyo ndefu. Kuahirisha safari pia ni ngumu sababu kazini nahitajika. Nafanya mambo ya afya. Duh! Mungu atutangulie Africa isiwe vibaya kama ulaya na USA na Asia.

Dk.mzima unahofu na corona??! Ah rafiki😅
 
Kwa sababu kiwango (concentration) ya alcohol kwenye hivyo vilevi haijafikia kiwango kinachoweza kumuua huyo kirusi.

Halafu hiyo alcohol ina athari kama kirusi hakijaingia mwilini, kikishaingia kwenye damu hata unywe pombe zote duniani, hazitasaidia.

Ingekuwa hivyo, tungeambiwa dawa yake ni kunywa tu pombe.
Jana umesikia maelekezo ya Baba Nkwande? Nimeshukuru wamefuta ibada za misa kwa watoto, pia wameshauri wazee hasa akiwa anajisikia kumwaumwa asije kanisani n.k
 
Namanga lakini si mtu unapita tu? Duh! Hii hali aisee ni hataree. Natakiwa kusafiri kwenda ughaibuni mwezi ujao mwishoni na natakiwa kuondokea Jomo Kenyatta international airport. Sijui itakuwaje. Nikifikiria nachoka. Kupitia Zurich Switzerland kisha Los angeles, california nichukue basi na treni hadi nyumbani san diego. Yani lazima tu niupate huu ugonjwa ninavyoona kwa jinsi safari ilivyo ndefu. Kuahirisha safari pia ni ngumu sababu kazini nahitajika. Nafanya mambo ya afya. Duh! Mungu atutangulie Africa isiwe vibaya kama ulaya na USA na Asia.
Siuwasiliane na mabosi wako mkuu
 
Back
Top Bottom