Kenya wagonjwa wa Coronavirus waongezeka na kufikia 15. Mipaka yafungwa

Kenya wagonjwa wa Coronavirus waongezeka na kufikia 15. Mipaka yafungwa

Amesema sawa kabisa hajakosea kasema kwa wanaotaka kuja Tz wanajiamin hawana maambikiz waje Ila kwa shart 1 atawekwa Kwenye eneo lililotengwa kwa siku 14 tena kwa gharama zake mwenyew awe mtanzaia awe mtu wa nje badaa ya ya hapo akipimwa akiwa safi ataendelea na abari zake Sasa kakosea wapi hapo mpaka awe Rais wa ovyo? Ukitumia akili utamuelewa ila kama unatumia panic lazima uachwe tu
Tz Magu anasema case zimefika 12. na mipaka hafungi. Tuna rais kituko kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amesema sawa kabisa hajakosea kasema kwa wanaotaka kuja Tz wanajiamin hawana maambikiz waje Ila kwa shart 1 atawekwa Kwenye eneo lililotengwa kwa siku 14 tena kwa gharama zake mwenyew awe mtanzaia awe mtu wa nje badaa ya ya hapo akipimwa akiwa safi ataendelea na abari zake Sasa kakosea wapi hapo mpaka awe Rais wa ovyo ? Ukitumia akili utamuelewa ila kama unatumia panic lazima uachwe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Well said!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dk.mzima unahofu na corona??! Ah rafiki😅
😂 mbele ya kirusi hakuna cha udokta wala bibi yake dokta. Pia nikipata manake hata kazi itasua sua. Itachukua mwezi au zaidi kunipa clearance. Hivyo ni muhimi kuwa na hofu nzuri na kuchukua tahadhari
 
Nilikua naangalia aljazeera asubuhi hii nimeona WHO wanaitahadharisha Africa ijiandae na hali mbaya
Marekani mgonjwa wa kwanza alitambulika january 20, miezi miwili baadaye ni taharuki. Sisi sasa ni kama wiki tokea mgonjwa wa kwanza. Baada ya miezi miwili hali inaweza kuwa mbaya kabisa. Mungu atuepushe, lakini zaidi sisi wenyewe tufanye sehemu zetu kwa umakini kabisa.
 
Amesema sawa kabisa hajakosea kasema kwa wanaotaka kuja Tz wanajiamin hawana maambikiz waje Ila kwa shart 1 atawekwa Kwenye eneo lililotengwa kwa siku 14 tena kwa gharama zake mwenyew awe mtanzaia awe mtu wa nje badaa ya ya hapo akipimwa akiwa safi ataendelea na abari zake Sasa kakosea wapi hapo mpaka awe Rais wa ovyo ? Ukitumia akili utamuelewa ila kama unatumia panic lazima uachwe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna sehemu watakayowekwa. Ni mtu tu mwenyewe ndio unatakiwa ujitenge. Kwa bongo hii mtu kweli ataweza kujitenga kwa hiari yake tu kwa siku 14? Je wana mfumo gani wameweka kuhakiki mtu huyo anajitenga na hachangamani na jamii? Ni changamoto kubwa sana hapo. Na kanisa la kenya wameshaambukizana watu kibao. Je tanzania makanisa yatakuwa salama? Sidhani
 
Siuwasiliane na mabosi wako mkuu
Naangalia siku zikikaribia nitasoma ramani. Kama hali tanzania inakuwa mbaya zaidi ya ughaibuni nalala mbele. Kama tanzania hali iko sawa zaidi nitabaki. Bado nina kama mwezi na zaidi wa kufanya maamuzi. Asante sana mkuu kwa mchango wako.
 
Usizungumze hisia zako ngoja waje ndo uone ndo uanze kutoa lawama
H

Hakuna sehemu watakayowekwa. Ni mtu tu mwenyewe ndio unatakiwa ujitenge. Kwa bongo hii mtu kweli ataweza kujitenga kwa hiari yake tu kwa siku 14? Je wana mfumo gani wameweka kuhakiki mtu huyo anajitenga na hachangamani na jamii? Ni changamoto kubwa sana hapo. Na kanisa la kenya wameshaambukizana watu kibao. Je tanzania makanisa yatakuwa salama? Sidhani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kadri cku zinavyozidi sekta ya usafiri inazid kuminywa Sasa cjui utalala mbele on ur feet[emoji1][emoji1][emoji87][emoji87][emoji40][emoji40]
Naangalia siku zikikaribia nitasoma ramani. Kama hali tanzania inakuwa mbaya zaidi ya ughaibuni nalala mbele. Kama tanzania hali iko sawa zaidi nitabaki. Bado nina kama mwezi na zaidi wa kufanya maamuzi. Asante sana mkuu kwa mchango wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kadri cku zinavyozidi sekta ya usafiri inazid kuminywa Sasa cjui utalala mbele on ur feet[emoji1][emoji1][emoji87][emoji87][emoji40][emoji40]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa shirika la ndege ninalosafiri nalo bado ndege zinaruka. Uko sahihi kabisa lakini. Mambo yanabadilika every day. Umenichekesha sana lakini. Asante mkuu 😂😂
 
Marekani mgonjwa wa kwanza alitambulika january 20, miezi miwili baadaye ni taharuki. Sisi sasa ni kama wiki tokea mgonjwa wa kwanza. Baada ya miezi miwili hali inaweza kuwa mbaya kabisa. Mungu atuepushe, lakini zaidi sisi wenyewe tufanye sehemu zetu kwa umakini kabisa.
Uko sahihi kabisa mkuu. Ni muda tu utaeleza.
 
Nitajie pombe zente 60% ya alcohol au above.
9812197212190.png
 
Ni Tanzania peke yake katika dunia hii ambako huu ugonjwa ni ka upepo tu.

Watu wachape kazi. Hapa kazi tu.

Palikuwa na haja WHO wakawa ndiyo wasemaji wakuu wa huu ugonjwa labda na kutoa mwelekeo sahihi wa nini kifanyike.

Hii ni kwa sababu hatujihurumii wala kuwa na mawazo ya nini kitufanye sisi spesheli.
 
Huu ugonjwa unaenda kuibadilisha kabisa dunia. Kufikia tarehe kama ya leo mwakani, tutakua tunaishi maisha tofauti sana na haya tunayoishi leo.

Tunaweza kuwa tayari Corona keshatupeleka akhera tukiwa wakati huo tumesha Rest in Peace.
 
Huu ugonjwa unaenda kuibadilisha kabisa dunia. Kufikia tarehe kama ya leo mwakani, tutakua tunaishi maisha tofauti sana na haya tunayoishi leo.
Sana. No salamu kushikana mikono, no kugusagusa vitu visivyo vyako, no kwenda kujichanganya kwenye nyomi bila mpangilio, no kupandapanda public transport kama sio muhimu saaana, no denda kindezi. Sehemu za Ibada kwenda kwa step. Yaani ni shida maana hujui siku wala saa mzee COVID-19 atastrike tena
 
Namanga lakini si mtu unapita tu? Duh! Hii hali aisee ni hataree. Natakiwa kusafiri kwenda ughaibuni mwezi ujao mwishoni na natakiwa kuondokea Jomo Kenyatta international airport. Sijui itakuwaje. Nikifikiria nachoka. Kupitia Zurich Switzerland kisha Los angeles, california nichukue basi na treni hadi nyumbani san diego. Yani lazima tu niupate huu ugonjwa ninavyoona kwa jinsi safari ilivyo ndefu. Kuahirisha safari pia ni ngumu sababu kazini nahitajika. Nafanya mambo ya afya. Duh! Mungu atutangulie Africa isiwe vibaya kama ulaya na USA na Asia.
Una kazi? Ajira? Wataelewa ila kama una kibarua sahau!
 
Yule mtu anayejidai kunyemelea jimbo langu, sijui kama hii Corona itamsahau. Yaani, naombea!
 
DocJayGroup,
Africa kwa sasa yaani ukienda border tu kwanza mkwara utakaoupata watakuambia kwa quarantine border kwa siku 14 kabla hata ya hiyo Safari yako
Umechelewa sana Mkuu

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom