Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Hawa naoo....ngoja tuoneNilikua naangalia aljazeera asubuhi hii nimeona WHO wanaitahadharisha Africa ijiandae na hali mbaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa naoo....ngoja tuoneNilikua naangalia aljazeera asubuhi hii nimeona WHO wanaitahadharisha Africa ijiandae na hali mbaya
Tz Magu anasema case zimefika 12. na mipaka hafungi. Tuna rais kituko kweli
Well said!!Amesema sawa kabisa hajakosea kasema kwa wanaotaka kuja Tz wanajiamin hawana maambikiz waje Ila kwa shart 1 atawekwa Kwenye eneo lililotengwa kwa siku 14 tena kwa gharama zake mwenyew awe mtanzaia awe mtu wa nje badaa ya ya hapo akipimwa akiwa safi ataendelea na abari zake Sasa kakosea wapi hapo mpaka awe Rais wa ovyo ? Ukitumia akili utamuelewa ila kama unatumia panic lazima uachwe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
😂 mbele ya kirusi hakuna cha udokta wala bibi yake dokta. Pia nikipata manake hata kazi itasua sua. Itachukua mwezi au zaidi kunipa clearance. Hivyo ni muhimi kuwa na hofu nzuri na kuchukua tahadhariDk.mzima unahofu na corona??! Ah rafiki😅
Marekani mgonjwa wa kwanza alitambulika january 20, miezi miwili baadaye ni taharuki. Sisi sasa ni kama wiki tokea mgonjwa wa kwanza. Baada ya miezi miwili hali inaweza kuwa mbaya kabisa. Mungu atuepushe, lakini zaidi sisi wenyewe tufanye sehemu zetu kwa umakini kabisa.Nilikua naangalia aljazeera asubuhi hii nimeona WHO wanaitahadharisha Africa ijiandae na hali mbaya
Hakuna sehemu watakayowekwa. Ni mtu tu mwenyewe ndio unatakiwa ujitenge. Kwa bongo hii mtu kweli ataweza kujitenga kwa hiari yake tu kwa siku 14? Je wana mfumo gani wameweka kuhakiki mtu huyo anajitenga na hachangamani na jamii? Ni changamoto kubwa sana hapo. Na kanisa la kenya wameshaambukizana watu kibao. Je tanzania makanisa yatakuwa salama? SidhaniAmesema sawa kabisa hajakosea kasema kwa wanaotaka kuja Tz wanajiamin hawana maambikiz waje Ila kwa shart 1 atawekwa Kwenye eneo lililotengwa kwa siku 14 tena kwa gharama zake mwenyew awe mtanzaia awe mtu wa nje badaa ya ya hapo akipimwa akiwa safi ataendelea na abari zake Sasa kakosea wapi hapo mpaka awe Rais wa ovyo ? Ukitumia akili utamuelewa ila kama unatumia panic lazima uachwe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Naangalia siku zikikaribia nitasoma ramani. Kama hali tanzania inakuwa mbaya zaidi ya ughaibuni nalala mbele. Kama tanzania hali iko sawa zaidi nitabaki. Bado nina kama mwezi na zaidi wa kufanya maamuzi. Asante sana mkuu kwa mchango wako.Siuwasiliane na mabosi wako mkuu
H
Hakuna sehemu watakayowekwa. Ni mtu tu mwenyewe ndio unatakiwa ujitenge. Kwa bongo hii mtu kweli ataweza kujitenga kwa hiari yake tu kwa siku 14? Je wana mfumo gani wameweka kuhakiki mtu huyo anajitenga na hachangamani na jamii? Ni changamoto kubwa sana hapo. Na kanisa la kenya wameshaambukizana watu kibao. Je tanzania makanisa yatakuwa salama? Sidhani
Naangalia siku zikikaribia nitasoma ramani. Kama hali tanzania inakuwa mbaya zaidi ya ughaibuni nalala mbele. Kama tanzania hali iko sawa zaidi nitabaki. Bado nina kama mwezi na zaidi wa kufanya maamuzi. Asante sana mkuu kwa mchango wako.
Kwa sasa shirika la ndege ninalosafiri nalo bado ndege zinaruka. Uko sahihi kabisa lakini. Mambo yanabadilika every day. Umenichekesha sana lakini. Asante mkuu 😂😂Kadri cku zinavyozidi sekta ya usafiri inazid kuminywa Sasa cjui utalala mbele on ur feet[emoji1][emoji1][emoji87][emoji87][emoji40][emoji40]
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi kabisa mkuu. Ni muda tu utaeleza.Marekani mgonjwa wa kwanza alitambulika january 20, miezi miwili baadaye ni taharuki. Sisi sasa ni kama wiki tokea mgonjwa wa kwanza. Baada ya miezi miwili hali inaweza kuwa mbaya kabisa. Mungu atuepushe, lakini zaidi sisi wenyewe tufanye sehemu zetu kwa umakini kabisa.
Nitajie pombe zente 60% ya alcohol au above.
Huu ugonjwa unaenda kuibadilisha kabisa dunia. Kufikia tarehe kama ya leo mwakani, tutakua tunaishi maisha tofauti sana na haya tunayoishi leo.
Sana. No salamu kushikana mikono, no kugusagusa vitu visivyo vyako, no kwenda kujichanganya kwenye nyomi bila mpangilio, no kupandapanda public transport kama sio muhimu saaana, no denda kindezi. Sehemu za Ibada kwenda kwa step. Yaani ni shida maana hujui siku wala saa mzee COVID-19 atastrike tenaHuu ugonjwa unaenda kuibadilisha kabisa dunia. Kufikia tarehe kama ya leo mwakani, tutakua tunaishi maisha tofauti sana na haya tunayoishi leo.
Una kazi? Ajira? Wataelewa ila kama una kibarua sahau!Namanga lakini si mtu unapita tu? Duh! Hii hali aisee ni hataree. Natakiwa kusafiri kwenda ughaibuni mwezi ujao mwishoni na natakiwa kuondokea Jomo Kenyatta international airport. Sijui itakuwaje. Nikifikiria nachoka. Kupitia Zurich Switzerland kisha Los angeles, california nichukue basi na treni hadi nyumbani san diego. Yani lazima tu niupate huu ugonjwa ninavyoona kwa jinsi safari ilivyo ndefu. Kuahirisha safari pia ni ngumu sababu kazini nahitajika. Nafanya mambo ya afya. Duh! Mungu atutangulie Africa isiwe vibaya kama ulaya na USA na Asia.