Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Kwa sasa shirika la ndege ninalosafiri nalo bado ndege zinaruka. Uko sahihi kabisa lakini. Mambo yanabadilika every day. Umenichekesha sana lakini. Asante mkuu [emoji23][emoji23]
Kwanini?Nilikua naangalia aljazeera asubuhi hii nimeona WHO wanaitahadharisha Africa ijiandae na hali mbaya
Kwanini?
Nilikua naangalia aljazeera asubuhi hii nimeona WHO wanaitahadharisha Africa ijiandae na hali mbaya
Kabla huo ugonjwa kuenea kwa kasi Afrika nategemea wazungu watakua wamegunduaa dawa, maana tutakufa sana kama kuku.
MK254, asubuhi hii nilikuwa nazungumxa na ndugu yangu huko Ujerumani - anasema yaani watu wana chukua tahadhali kubwa hata majirani hawatembeleani, misikiti na makanisa yamefungwa na masuala ya sherehe starehe na mkusanyiko wa watu zaifi ya wanne vinepigwa marufuku hisipo kuwa wanafamilia ndio wanaruhusiwa kuishi kwenye nyumba moja.
Kinacho nishangaza mimi kwa nini Serikali zetu Africa Mashariki zinapuizia ukweli huu ambao unawrza kuinusuru Africa - Corona si lele mama - tusipo kuwa makini utabiri wa Bill Gates unaweza kuangamiza watu wengi chini ya sub sahara Africa. Gooday MK254.
Breaking news Kenya idadi ya wagonjwa wa coronavirus imeongezeka hadi 25.View attachment 1398126
Mimi najiuliza maswal kilacku cpati majibu ,hv Kuna aliesikia taarifa zozote za korona kuhusu Urusi a.k.a Russia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukaidi mwingi,mfano baada ya bar kufungwa watu wamehamia kweye busaa and changaa dens! Leo hii gavana Mandago alikuwa na kazi ya ziada kuwatimua kwenye machimbo ya pombe haramu. Kazi kwelikweli.
Pamoja na kusikitisha mengine hadi kichekesho.Asubuhi nimepitia sehemu nikakuta bar inafunguliwa mlango walevi waondoke maana wamekesha humo wakinywa kimya kimya, subri labda tukianza kufa kadhaa ndio majitu yatazinduka.
Pamoja na kusikitisha mengine hadi kichekesho.