Kenya: Wakati NASA wakiwa mahakamani, Kenyatta ajiliwaza mbugani

Kenya: Wakati NASA wakiwa mahakamani, Kenyatta ajiliwaza mbugani

Hao tembo kweli wa msituni au wa kufugwa
Huwezi kumsogelea tembo wa porini namna hii utakuwa hujipendi

hawa tembo wakufugwa hapo amboseli, yatima waliowapoteza wazazi katika mauji haramu ya vichaa.....wanaouza meno ya tembo!!!!
 
Inavyoelekea NASA wataangukia pua! Walikuwa wanategemea mfumo wa kompyuta wa tume ya uchaguzi itakuwa na taarifa tofauti na form 34A! Haikuwa hivyo! Huku bongo tunasema hiyo ni kwishney! Yaani shughuli imeishia hapo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kudos mr president and frst lady
Yaani hii ni ishara Uhuru yuko imara kama hawa tembo and he's relaxed cuz he's very secure in an unforgiving environment where carnivorous beasts (read political opponents)would love to grab his juicy meat a.k.a the presidency .Hapa mimi naona alitumwa na Mungu tu ,there's a lot of meaningful symbolism in this wildlife park visit.
 
hao tembo vp mbona kawasogelea sana au tembo wa kuchora
Wanyama wa porini hata wa kufugwa huwana hawana noma kama hutopiga kelele na fujo za hapa na pale yaani hata kama awe ni simba kasoro baadhi ya wanyama kama chui lakini wengine ni kuchukua tahadhari tu maana wanyama hawana dhamana sometimes hasa kama kuna mtu aiwahi kumfanyia fujo ndo akikuona anakufanyia figisu (rejea mnyama kama mbwa umpige mfano alafu kesho yake upite kwao...tegegemea kubwekewa kila siku
 
Back
Top Bottom