kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Demokrasia itawachelewesha sana Kenya, hawana uchumi unaohimili demokrasia ya mangaribi. Wanataka kumuondoa MAKAMU wao wa RAIS kihuni TU.
Kuna wezi wengi sana Kenya wanakula mali ya umma bila kuchukuliwa hatua kali kama hizi, why Gashagua?
Rais Ruto aliwaahidi wapiga kura wake kuwa hakutakuwa na serikali ya "nusu mkate" lakini sasa wana serikali ya "robo mkate" (Ruto, Gashagua, Raila, na nchi za magaribi).
Dunia nzima alishikwa na butwaa kumuona Ruto yuko USA anaunga mkono juhudi za Biden kule Ukraine. Aliwashirikisha wapiga kura wake? Alipewa nini?
Watutukuta tz tuko siti za mbele sana kimaendeleo.
Soma Pia: Yanayojiri Bungeni Kenya: Wabunge 281 wapiga kura ya kumuondoa madarakani Gachagua