Kenya wakimaliza kuvurumishana, wataikuta Tanzania imerusha satellite yake anga za juu

Aliyetuambia Morocco ni Africa ametudanganya, hata Morocco wanajua hilo.
Ndo ulivyodanganywa kuwa nchi yenye treni ya umeme Africa ni Tanzania pekee?
Morocco umewahi kufika?, Nigeria je? , South Africa je? Algeria ?, Tunisia?

Hizo zote zina treni za umeme kabla hata Tz hamjaota ndoto ya kuwa nayo
 
Demokrasia itawachelewesha sana Kenya, hawana uchumi unaohimili demokrasia ya mangaribi. Wanataka kumuondoa MAKAMU wao wa RAIS kihuni TU.

Kuna wezi wengi sana Kenya wanakula mali ya umma bila kuchukuliwa hatua kali kama hizi, why Gashagua?

Watutukuta tz tuko siti za mbele sana kimaendeleo.
Mh, siyo kwamba watakuta wote tumeshatekana na kupotezwa kabisa!
 
Daladala zao na boda zinabumbwa Kenya tena zote za umeme
Sisi tuulizane una bet nini leo ukija fungua macho miaka 10 imepita
🛰 📡 😆 😂 😆 😂 ya mchongo
Wenzetu wamefungua macho zamani usingesema ya sisi kuwapita maana ni aibu
 
Demokrasia itawachelewesha sana Kenya, hawana uchumi unaohimili demokrasia ya mangaribi. Wanataka kumuondoa MAKAMU wao wa RAIS kihuni TU.

Kuna wezi wengi sana Kenya wanakula mali ya umma bila kuchukuliwa hatua kali kama hizi, why Gashagua?

Watutukuta tz tuko siti za mbele sana kimaendeleo.
Hakuna kitu mtaishida Kenya 🇰🇪 mkuu. Imagine leo exchange rate ya KSH na TZS ni ngapi
 
Chakademuz wanakuelewa lakini?
 
Aliyetuambia Morocco ni Africa ametudanganya, hata Morocco wanajua hilo.
Hata mimi ni miongoni mwa watu wanaoiombea Kenya mabaya na tumeshaanza kuwazidi baadhi ya mambo flan flan ila wa Tz tuna overhype sana mambo ya kijinga kijinga
 
Vitu vilivyojaa kwenye vichwa vya wa Tz
1. Diamond ana mahusiano na mwanamke gani
2. Kucomment umbea kwenye page za mange kimambi hadi mtoto wakiume aandika "Da mange"
3. Kumuita Maulidi kitenge ni usalama wa Taifa kisa anaweka Airpods maskioni.
4. Kuhamasishana maandamano kila mtu anasema yuko tayari kufa ila siku ya maandamano hatokei hata mmoja.
5. Kuwaza ngono 24/7
Unavyowatuhumu watanzania wewe umefanya nini la maana hapa Tanzania
 
Demokrasia itawachelewesha sana Kenya, hawana uchumi unaohimili demokrasia ya mangaribi. Wanataka kumuondoa MAKAMU wao wa RAIS kihuni TU.

Kuna wezi wengi sana Kenya wanakula mali ya umma bila kuchukuliwa hatua kali kama hizi, why Gashagua?

Watutukuta tz tuko siti za mbele sana kimaendeleo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂🤣🤣🤣😂 Hizo ni ndoto.
 
Hakuna kitu mtaishida Kenya 🇰🇪 mkuu. Imagine leo exchange rate ya KSH na TZS ni ngapi
Kwahiyo exchange rate kubwa ndo nn? Exchange rate ndogo inavutia watalii na wawekezaji wengi sana.
 
Demokrasia itawachelewesha sana Kenya, hawana uchumi unaohimili demokrasia ya mangaribi. Wanataka kumuondoa MAKAMU wao wa RAIS kihuni TU.

Kuna wezi wengi sana Kenya wanakula mali ya umma bila kuchukuliwa hatua kali kama hizi, why Gashagua?

Watutukuta tz tuko siti za mbele sana kimaendeleo.
Tanzania ipi
 
Aisee unachekesha sanaaa
 
Watatukuta hapa hapa tunajadili draw za CAF
 
Back
Top Bottom