Kenya wakimaliza kuvurumishana, wataikuta Tanzania imerusha satellite yake anga za juu

Demokrasia itawachelewesha sana Kenya, hawana uchumi unaohimili demokrasia ya mangaribi. Wanataka kumuondoa MAKAMU wao wa RAIS kihuni TU.

Kuna wezi wengi sana Kenya wanakula mali ya umma bila kuchukuliwa hatua kali kama hizi, why Gashagua?

Watutukuta tz tuko siti za mbele sana kimaendeleo.

CAG wao aliwahi sema KQ haina ndege. Ndege zote ni za kukodi. Lakini cha kushangaza ni kuwa anayelipwa rental fees hajulikani.
😛
 
Nchi gani Afrika kusini mwa jangwa la Sahara ina nafuu kiuchumi? Tatizo letu sio ukosefu wa demokrasia bali neo-colonialism. Kenya inanyonywa na wazungu vibaya sana.

Halafu sasa ndiyo imezidi. Rais wao anapokea maelekezo live ya kuongoza nchi ya Kenya kutoka USA.
 
Kama tuna reli ya umeme na barabara za mabasi ya haraka kama nchi za magharibi tutashindwa nn kuwa na satellite yetu? Kenya wanavyo?

Umeona premium mpya ya Kenya SGR. First Class.
 
Demokrasia itawachelewesha sana Kenya, hawana uchumi unaohimili demokrasia ya mangaribi. Wanataka kumuondoa MAKAMU wao wa RAIS kihuni TU.

Kuna wezi wengi sana Kenya wanakula mali ya umma bila kuchukuliwa hatua kali kama hizi, why Gashagua?

Watutukuta tz tuko siti za mbele sana kimaendeleo.

Kutekana labda. Bongo ni Waziri kwenye kutekana na uchawa
 
Kijana tajiri Afrika Yuko Tanzania, ligi namba 6 kwa ubora Afrika Iko Tanzania, ligi inayoonyeshwa mechi zote Afrika Iko Tanzania, nchi yenye kiasi kikubwa cha gesi Africa ni Tanzania, nchi yenye reli ya umeme Africa ni Tanzania. Nchi yenye Rais mwanamke Africa ni Tanzania pekee. Nchi yenye Rais ambae sio mwizi Africa ni Tanzania.

Punguza uongo.
 
Halafu sasa ndiyo imezidi. Rais wao anapokea maelekezo live ya kuongoza nchi ya Kenya kutoka USA.

Punguza uongo. Kenya Ina institutions sio kama Tanzania. Ndio maana raia waligomea Muswada wa Bajeti na haukupita. Sio Tanzania hakuna hata anayejua Muswada wa Bajeti ukurasa wa kwanza unasemaje.
 
Fuatilia sababu nyingine ya gen z kugoma. Pia safari ya Ruto usa alipewa kazi gani, ambayo mpaka au wakashangaa kwamba huyu mwenzetu kapatwa na nini!!!?
 
Demokrasia itawachelewesha sana Kenya, hawana uchumi unaohimili demokrasia ya mangaribi. Wanataka kumuondoa MAKAMU wao wa RAIS kihuni TU.

Kuna wezi wengi sana Kenya wanakula mali ya umma bila kuchukuliwa hatua kali kama hizi, why Gashagua?

Watutukuta tz tuko siti za mbele sana kimaendeleo.
Tatizo wabongo wamekalia kujidharau na kujiona duni kila kukicha😎😁
 
Wanaotekwa wanajua kosa lao. Mbona wewe hukutekwa?

Bora umejitaja hayawani mkubwa. Polisi wanadai hawajui waliotekwa wewe unakuja na stori za kosa lao linajulikana. Ulaaniwe
 
CAG wao aliwahi sema KQ haina ndege. Ndege zote ni za kukodi. Lakini cha kushangaza ni kuwa anayelipwa rental fees hajulikani.
😛

Acha uongo KQ inamilikiwa na Serikali ya Kenya kwa Asilimia 48, KLM Asilimia 7 na wawekezaji wengine ikiwamo mabenki Asilimia zilizobaki na ndege zote ni Mali yao.
 
CAG wao aliwahi sema KQ haina ndege. Ndege zote ni za kukodi. Lakini cha kushangaza ni kuwa anayelipwa rental fees hajulikani.
😛
KQ wenyewe wako Uingereza.
 
Back
Top Bottom