Kenya wakimaliza kuvurumishana, wataikuta Tanzania imerusha satellite yake anga za juu

Kenya wakimaliza kuvurumishana, wataikuta Tanzania imerusha satellite yake anga za juu

Demokrasia itawachelewesha sana Kenya, hawana uchumi unaohimili demokrasia ya mangaribi. Wanataka kumuondoa MAKAMU wao wa RAIS kihuni TU.

Kuna wezi wengi sana Kenya wanakula mali ya umma bila kuchukuliwa hatua kali kama hizi, why Gashagua?

Watutukuta tz tuko siti za mbele sana kimaendeleo.
Labda satelaiti ya uchawa
 
Tanzania inanyonywa na waarabu mpaka wanafukuza wamasai. Stupid government
Wamasai pale pia sio kwao, wakoloni waliwafurusha kutoka Serengeti, wanafurushwa Tena kwenda Handeni Tanga. Wanyama hawezi kupelekwa msomera Handeni lakini wamasai wanaweza kuhamisha.
 
Wakati mnahangaika na hizi bla bla za kichawa za satellite ya kilingeni, wafanyabiashara wa Kenya wako busy ndani ya Tanzania vijijini wakinunua kahawa na maparachichi na ku-re-export kama produce of Kenya.

Kwingine wanamiliki hata ardhi yenu na kulima mazao ya kuuza nje kupitia kwao. Halafu mnashangaa kwa nini shilingi yao inazidi kuimarika.
 
Acha uongo KQ inamilikiwa na Serikali ya Kenya kwa Asilimia 48, KLM Asilimia 7 na wawekezaji wengine ikiwamo mabenki Asilimia zilizobaki na ndege zote ni Mali yao.
Kaka ingekuwa hivyo wakenya wasingekuwa wakimbizi dunia nzima, wanakimbia hardships nchini kwao. Utawakuta wakenya kwa wingi hata kazi za majumbani huko kwa waarabu.
 
Wakati mnahangaika na hizi bla bla za kichawa za satellite ya kilingeni, wafanyabiashara wa Kenya wako busy ndani ya Tanzania vijijini wakinunua kahawa na maparachichi na ku-re-export kama produce of Kenya.

Kwingine wanamiliki hata ardhi yenu na kulima mazao ya kuuza nje kupitia kwao. Halafu mnashangaa kwa nini shilingi yao inazidi kuimarika.
Shida Iko wapi hapo kaka, ardhi ipo tele hapa, ni mali ya umma. Lima, patia watu ajira, lipa Kodi nenda kauze na wewe.
 
Kama tuna reli ya umeme na barabara za mabasi ya haraka kama nchi za magharibi tutashindwa nn kuwa na satellite yetu? Kenya wanavyo?
Hakuna nchi hata moja Africa imerusha satellite yake, seuze Tanzania? Watu kuota ndoto hamjambo.
 
Demokrasia itawachelewesha sana Kenya, hawana uchumi unaohimili demokrasia ya mangaribi. Wanataka kumuondoa MAKAMU wao wa RAIS kihuni TU.

Kuna wezi wengi sana Kenya wanakula mali ya umma bila kuchukuliwa hatua kali kama hizi, why Gashagua?

Watutukuta tz tuko siti za mbele sana kimaendeleo.
Hizi akili ndio zinazotuchelewesha kupata maendeleo na uhuru wa kweli, pumbaf sana na yule Mwashambwa
 
Demokrasia itawachelewesha sana Kenya, hawana uchumi unaohimili demokrasia ya mangaribi. Wanataka kumuondoa MAKAMU wao wa RAIS kihuni TU.

Kuna wezi wengi sana Kenya wanakula mali ya umma bila kuchukuliwa hatua kali kama hizi, why Gashagua?

Watutukuta tz tuko siti za mbele sana kimaendeleo.
Kwa akili za kina BASHITE ?
 
Unaota Wewe, Kenya wana akili Sio Tanzania
 
Kama tuna reli ya umeme na barabara za mabasi ya haraka kama nchi za magharibi tutashindwa nn kuwa na satellite yetu? Kenya wanavyo?
Unawaza ugoro kabisa,
Hebu toka maporini huko..
Kiufupi TU ni kwamba ili tuwapite Kenya itabidi walale kwa miaka ishirini bila kufanya chochote ..
Tena hapo pengine tutakuwa sawa ila sio kuwapita..

Ogopa sana taifa ambalo wananchi wake wanajielewa..
 
Hakuna nchi hata moja Africa imerusha satellite yake, seuze Tanzania? Watu kuota ndoto hamjambo.
Wakati tunasema tunajenga reli ya umeme watu walibeza , na wakati tunasema tunakwenda kujenga shule za sekondari Kila Kata watu walibeza, tuliposema tunakwenda kujenga kituo cha afya Kila Kata na zahanati Kila Kijiji watu hawakuamini, tuliposema tunapeleka umeme/steamer Kila Kijiji na Kila kitongoji watu walidhani ni ndoto ya mchana. Leo hii yote hayo yapo tz. Wasishangae tukirusha satellites zetu za ulinzi, Hali ya hewa na mambo mengine huko angani.

Kama utavaa miwani nzuri utaona kuwa tatizo kubwa kwenye migogoro huu wa sasa wa Kenya ni RAIS Ruto na Raila Odinga. Ruto aliwaambia na kuwaaminisha wenzake akina gashagua na wananchi kuwa safari hii hakutakuwa na serikali ya "Nusu mkate" lakini kumbe ni uongo, alidanganya wananchi na wenzake. Sasa hivi Kenya Kuna serikali ya robo mkate (Ruto, Gashagua, Raila na USA). Ruto Hakukaa na wenzake wakakubaliana kuwageuka wapiga kura wao. Ruto kama Ruto alionekana kuunga mkono Ukraine, Raila bila kushauriana na wapiga kura Wala wenzake kwenye cabinet.
 
Wamasai pale pia sio kwao, wakoloni waliwafurusha kutoka Serengeti, wanafurushwa Tena kwenda Handeni Tanga. Wanyama hawezi kupelekwa msomera Handeni lakini wamasai wanaweza kuhamisha.

Unapigana na Rais wako aliyerudisha wilaya ya ngorongoro na viji vyake?
 
Kama hujui kitu uliza
Ninachojua Kenya kila kitu sio chao, wakenya ni wakimbizi tu kwenye nchi yao. Wanajenga uchumi kwenye taifa ya ng'ambo, wanachorejesha Kenya kutoka huko wanakonyonywa ni kidogo sana (a peanut). Mwananchi mwenye njaa hana demokrasia; haiwezi hata kama ukimpatia. Kama wewe baba ni maskini usithubuti kumpa mkeo na watoto demokrasia ya kuchagua nini wale, nini wavae na wapi waende; hutaweza kuwatimizia. Pale China hakuna demokrasia kama Kenya, lakini China ni tajiri kuliko Kenya.
 
Labda satelaiti ya uchawa
Wakenya hawajamjua mchawi wao, wacha watifuane kwa kisingizio cha demokrasia. Wana Katiba ambayo kila mtu anagoma aongezwe mshahara, watu 100 wanaweza kushikilia 80% ya ardhi yote yenye rutuba, watu 50 wanaweza kumiliki 70% ya rasilimali zote za nchi. Not yet Uhuru. Marekani imemwamuru Ruto apeleke askari polisi Haiti hata kama hapendi kufanya hivyo, hata kama katiba ya Kenya inakataza kufanya hivyo; NOT YET UHURU.
 
Back
Top Bottom