Jamaa hawana wanachekesha. Kabla hawajamaliza la Naibu Rais wameanzisha upuuzi mwingine wa kuongeza muda wa RAIS na wabunge kukaa madarakani kutoka 5 kwenda 7. Nani amewaroga?Walijiweka rock down sisi tunaingia shambani ila ajabu pesa Yao inazidi kuimarika dhidi ya dollar ya USA
Tanzania ipi unayoizungumzia?Demokrasia itawachelewesha sana Kenya, hawana uchumi unaohimili demokrasia ya mangaribi. Wanataka kumuondoa MAKAMU wao wa RAIS kihuni TU.
Kuna wezi wengi sana Kenya wanakula mali ya umma bila kuchukuliwa hatua kali kama hizi, why Gashagua?
Rais Ruto aliwaahidi wapiga kura wake kuwa hakutakuwa na serikali ya "nusu mkate" lakini sasa wana serikali ya "robo mkate" (Ruto, Gashagua, Raila, na nchi za magaribi).
Dunia nzima alishikwa na butwaa kumuona Ruto yuko USA anaunga mkono juhudi za Biden kule Ukraine. Aliwashirikisha wapiga kura wake? Alipewa nini?
Watutukuta tz tuko siti za mbele sana kimaendeleo.
Soma Pia: Yanayojiri Bungeni Kenya: Wabunge 281 wapiga kura ya kumuondoa madarakani Gachagua
dUMBERI KUmependeza kaka watu wanasali, kucheza, kuongea na kunywa kikikuyu katika karne hii ya 21. Wakoloni na divide and rule iko kazini. Not yet UHuru buana!!! more has to be done in Kenya. Thousands and thousands of youth Kenyans are working abroad and pay tax for Wazungu development and luxuries.Tanzania ipi unayoizungumzia?
Hata mimi nikipata kazi abroad nahama tz, hii siyo nchi ya kuishidUMBERI KUmependeza kaka watu wanasali, kucheza, kuongea na kunywa kikikuyu katika karne hii ya 21. Wakoloni na divide and rule iko kazini. Not yet UHuru buana!!! more has to be done in Kenya. Thousands and thousands of youth Kenyans are working abroad and pay tax for Wazungu development and luxuries.
bado sana kwa akili za kisisiemu labda warushe jiwe juuDemokrasia itawachelewesha sana Kenya, hawana uchumi unaohimili demokrasia ya mangaribi. Wanataka kumuondoa MAKAMU wao wa RAIS kihuni TU.
Kuna wezi wengi sana Kenya wanakula mali ya umma bila kuchukuliwa hatua kali kama hizi, why Gashagua?
Rais Ruto aliwaahidi wapiga kura wake kuwa hakutakuwa na serikali ya "nusu mkate" lakini sasa wana serikali ya "robo mkate" (Ruto, Gashagua, Raila, na nchi za magaribi).
Dunia nzima alishikwa na butwaa kumuona Ruto yuko USA anaunga mkono juhudi za Biden kule Ukraine. Aliwashirikisha wapiga kura wake? Alipewa nini?
Watutukuta tz tuko siti za mbele sana kimaendeleo.
Soma Pia: Yanayojiri Bungeni Kenya: Wabunge 281 wapiga kura ya kumuondoa madarakani Gachagua
Weee endelea kujamba hapo Lumumba baada ya kula wali maharage ,,umeandika ujinga mtupu ,sisi kuacha mafisadi kuitesa nchi Kwa kukwapua pesa na kuweka mabenk ya nje ya Nchi ,kutokana na kuuwana na watukute tuna satelait? Ukiangalia bajeti ya mwez ya 7 ya Kenya ukalinganisha na tz?Demokrasia itawachelewesha sana Kenya, hawana uchumi unaohimili demokrasia ya mangaribi. Wanataka kumuondoa MAKAMU wao wa RAIS kihuni TU.
Kuna wezi wengi sana Kenya wanakula mali ya umma bila kuchukuliwa hatua kali kama hizi, why Gashagua?
Rais Ruto aliwaahidi wapiga kura wake kuwa hakutakuwa na serikali ya "nusu mkate" lakini sasa wana serikali ya "robo mkate" (Ruto, Gashagua, Raila, na nchi za magaribi).
Dunia nzima alishikwa na butwaa kumuona Ruto yuko USA anaunga mkono juhudi za Biden kule Ukraine. Aliwashirikisha wapiga kura wake? Alipewa nini?
Watutukuta tz tuko siti za mbele sana kimaendeleo.
Soma Pia: Yanayojiri Bungeni Kenya: Wabunge 281 wapiga kura ya kumuondoa madarakani Gachagua
Ona hiii kichwa mavi,,hauna habari Kenya Wana SGR muda mrefu ya kutoka Mombasa mpka Nairobi na soon wataunga Kisumu?Kama tuna reli ya umeme na barabara za mabasi ya haraka kama nchi za magharibi tutashindwa nn kuwa na satellite yetu? Kenya wanavyo?
Mmmh ww dogo hauna utindio wa akili kwel? Unaandika nn sasa?Kijana tajiri Afrika Yuko Tanzania, ligi namba 6 kwa ubora Afrika Iko Tanzania, ligi inayoonyeshwa mechi zote Afrika Iko Tanzania, nchi yenye kiasi kikubwa cha gesi Africa ni Tanzania, nchi yenye reli ya umeme Africa ni Tanzania. Nchi yenye Rais mwanamke Africa ni Tanzania pekee. Nchi yenye Rais ambae sio mwizi Africa ni Tanzania.
Hakuna shida. Naww kama unampango wa kuendeleza kuishi tz hakikisha unaujuzi wa kuwa chawa mzuriKama una mpango huo wa kuhama tz hakikisha una ujuzi unaotakiwa na wakoloni na uwe na uwezo wa kuzungumza vizuri kikoloni.
Hupaswi kuwa chawa tz ili uishi. TzHakuna shida. Naww kama unampango wa kuendeleza kuishi tz hakikisha unaujuzi wa kuwa chawa mzuri
Hata hujui unachokisema mburura wewe. Indicators za uchumi mkubwa wa nchi ni zipi? Vijana wa Kenya wanakimbia nchi yao kwenda abroad sawa na wahabeshi na wasomali kukimbia hali mbaya nchini kwao; unemployment, ukame, njaa na siasa mbaya. Wakenya hawana namna zaidi ya kuikimbia nchi yao kwenda kuwa manamba kwenye nchi nyingine hata zile za majumbani kule Uarabuni. Uchumi wa Kenya umeshikiliwa na na watu wachache na wakoloni. Kenya inaongozwa kwa remote control kutoka Uingereza kwa Mfalme. Kenya ni shamba la waingereza.Uchumi wa Kenya upo juu sana ,na kupambana na mafisadi hakuwez kufanya taifa lao lishuke kiuchumi ,Kenya wenzio wanapambana sana na mafisadi ,
Weee endelea kujamba hapo Lumumba baada ya kula wali maharage ,,umeandika ujinga mtupu ,sisi kuacha mafisadi kuitesa nchi Kwa kukwapua pesa na kuweka mabenk ya nje ya Nchi ,kutokana na kuuwana na watukute tuna satelait? Ukiangalia bajeti ya mwez ya 7 ya Kenya ukalinganisha na tz?
Kule Kenya ni kama hivi tuMmmh ww dogo hauna utindio wa akili kwel? Unaandika nn sasa?
Vichwa mavi viko hukuOna hiii kichwa mavi,,hauna habari Kenya Wana SGR muda mrefu ya kutoka Mombasa mpka Nairobi na soon wataunga Kisumu?
Wenye satellites zao hawa hapa, wamekujaTumalize ujenzi wa vyoo kwanza.
Maana kuna mahali tunajenga kwa msaada wa watu wa marekani.