Kenya wakimaliza kuvurumishana, wataikuta Tanzania imerusha satellite yake anga za juu

Ndio ,🇹🇿 imeshaanza Mpango huo Toka mwaka juzi na mwaka huu mwishoni au mwakani wanairusha hiyo.

Jina hata iitwe SSH ni sawa
Wakiparurana sisi huku tehe tehe tehe!!! Muda wao mwingi wanahangaikia demokrasia. Demokrasia ipi? demokrasia ya kweli ni rudisheni ardhi yetu ili tugawane upya, demokrasia ya kweli ni kila mkenya apate kitu cha kufanya na kujipatia riziki yake hapahapa Kenya badala ya kukimbia huku na huko kwenda kutunza vijizee vya kizungu na kiarabu na kuwaacha wazee/wazazi wetu wakenya hapa wafe wenyewe unattended. Demokrasia gani ya kupokea maagizo ya namna ya kutawala nchi yetu. Wakitangaza lockdown kwao na wewe wanakwambia lockdown na huko. Wakikwambia peleka polisi Haiti unasema YES Sir, wakisema Urusi ni wabaya sana peleka askari Ukraine unasema ndiyo afande!!! NOT yet UHuru.
 
Ujinga tuu wanafanya hao nyang'au
 
Kenya kila kitu ni cha mzungu kwaajili ya mzungu na vitagauchumi vya mzungu, hapo veepe wajemeni!!!!. Kuwa wakenya ni manamba dunia nzima cheap labours wa dunia, hapo napo nadanganya wajemeni? Jamaa yenu aliandika Not yet Uhuru, hapo napo ni uongo!!! Tz tuko comfortable no matter what, matunda, chakula, wanyama na reli ya kisasa kabisa vipo huku. Hivi na ile ligi yenu ya kandanda si inaonyeshwa duniani na mtz, au na hapo nakosea wajemeni? Tuko vizuri nadhani ulikuja zamani sana, sasa hivi kila kijiji kuna steamer. mat*ko we!!!

Inawezekana, jamaa si wanayo military base yao hapo?

Tanzania tunatengeneza satellite sisi wenyeweeeee, sio hiyo ya kulinda basee za jamaa

View: https://www.youtube.com/watch?v=Zt9yn6zUtjM

Uko hovyo sana🤣🤣🤣🤣, siwezi nikakusaidia Wala kubishana na hizi fikra walai, vile ulivyo uko sahihi mkuu, pumua na upumzike tu kwa amani🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ni

Nishalijibu hilo, ni Marekani kwaajili ya ulinzi wake kwenye Kanda hii. Kenya ni koloni la Marekani kwa ushirikiano na Uingereza. Hapo veepee unabisha?? Kenya colony Iko kwenye mipango ya malkia Elizabeth na sasa mwanawe Charles. Kenya na Zimbabwe ndiyo yalikuwa maghala ya chakula ya Uingereza.
Ndugu yangu unapotosha sana, yani bado hutaki kukubali kwamba kenya wamepambana hadi kuwa na sattelite zake binafsi.

Haijalishi pale Kenya kuwa na Base ya Uingereza, Marekani au la ndio iwe kigezo cha kutengenezewa Sattelaite.

Mfano Marekani inaweza ikawa na Base Kenya lakini wakaendelea kulinda kambi zao na kuspy kupitia Sattelite zinazotengenezwa na Shirika lao la Anga la NASA. Kuniambia kwamba eti lazima zitengenezwe ndani ya Kenya ndio zilinde huo ni uongo.

Na ndio maana Marekani hana Base ya Kijeshi ndani ya Urusi, lakini inapotokea Ukraine ameshambulia ndani ya Urusi eneo fulani, basi picha za Sattelite zitatolewa na Marekani kuonesha wapi pamelipuliwa. Na hio si kwasababu wana base ndani ya Urusi, La hasha!! Bali wa Sattelite nyingi mno angani ambazo zinaangaza karibia dunia yote mpaka katika hiyo nchi ya Kenya.

Na ndio maana Marekani na Mossad wana uwezo wa kutoa intelijensia za nchi kama Irani, Lebanon kwa Hezbollah, Yemen kwa Houth na hata Urusi bila ya kuwa na Base yoyote ndani ya hiyo nchi. Hii ni kwa sababu nchi ya Marekani ina Masattelite karibia 5000+ huko juu, hiyo ya Kenya itawasaidia nini, wakati za kwao zitaspy kote mpaka ndani ya Kenya.

Kenya wamekaa na Wataalam wao, wamekuja sattelite mwaka jana 2023 Taifa 1 ila Rocket za kulauch kupeleka huko kwenye anga za juu hawana, ndio wamefanya kama zinavyofanya nchi zingine kuweka Order kwa ndugu Elon Musk na SPACE X yake ili waweze kurudhiwa.

Na siku hiyo zilirushwa Sattelite 60 zilizotoka nchi mbalimbali ambapo ndani yake ilikuwepo moja ya Kenya hiyo ya Taifa 1. Na katika hizo Sattelite 60 utakuta kuna baadhi ya Mataifa yanamiliki sattelite 5, wengine 2 na wengine 10 na N.K.

Hii tabia ya kubeza Maendeleo ya jirani ndio imetufanya na sisi mpaka leo tukose Maendeleo ya msingi likiwemo hili la Sattelite. Hata huyo Mtanzania uliyempost kutoka channel ya SNS ni project yake ambayo haijakamilika na kingine hakinaga akili ya mtu mmoja tu katika kutimiza azma fulani, huo ni uongo.

Wakusanywe Maengineer na wanasayansi na watafiti wa Tz wapewe maabara na fedha waanze zoezi la ujenzi wa Sattelite, lakini sio Mtz mmoja kajaribu kitu na bado hasaidiwi chochote na kitu ambacho hakijakamilika.

Narudia tena katika Sattelite tusishindane na Kenya, kwetu sisi ni kujiaibisha, kama unadhani ni Marekani, sijui Uingereza sijui kwa sababu kuna Base zao, tuletee ushahidi wa kina hapa na si maneno ya siasa tu.

Kwasababu hata sisi Tz tunatawaliwa na Marekani na nchi za Magharibi kwa Ukoloni Mamboleo na ushahidi kuhusu hilo uko mwingi mno, sitaki niongee sana najua unafahamu.

Marekani awe na Base ya kijeshi kwako au asiwe na base ya kijeshi kwako atakutawala tu otherwise uwe Taifa kubwa unaekaribiana nae au udhaminiwe na Taifa kubwa adui yake kama yeye ndio kidogo utapata nafuu lakini pia chamoto utakiona.

Siku hizi technologia ya kutengeneza Sattelite ziko wazi sana na wala sio kitu cha ajabu kama zamani. Nchi yoyote wakiamua wanaziunda tu, labda tushindwe kuzi launch huko juu angani kwa Rocket, hapo ndio utaamua umtafute Marekani, Urusi, China, Japan na N.K. ili akufanyie launching.

Ikumbukwe kuna nchi nyingine ndani ya Africa zina Sattelite sio kenya tu, kwamaana Sattelite unaweza ukaiunda mwenyewe wao wakakusaidia kuitest na kuikagua ili wajiridhishe ufanisi wake au mnaweza kufanya collaboration na nchi yoyote kubwa katka ujenzi wake hiyo sattelites au Mkalipoa tu mkaweka oda kwa shirika la anga la Space X au la Urusi au la China mkatengenezewa na wakawarushia juu na mkapewa access yake na kuiendesha. Kila kitu hapo kina faida na hasara endapo utatengenezewa, au kufanya collaboration au kujenga mwenyewe.

Narudia tena kwa mara ya mwisho, Kenya wameweza tena wameweza sana kwenye Sattelite kwa nguvu yao wenyewe. Wewe ambae unaamini hutawaliwi umeshindwaje kuitengeneza na uko huru?

Nawasilisha.
 
Mbona Kenya walisharushaga Sattelite kitambo tu, na nadhani wanazo kama tatu hivi. Nenda google utazipata hizi taarifa.
Kama washarushaga basi walifanya hivyo prematurely. Wana mambo mengi very basic unsettled.
 
Mlifanya hiyo prematurely. Kama ukabila unakushinda kuuangusha kwanini ufikirie satellite? Kama mnasubiri mtu awe DP ndiyo mgundue kuwa ana makampuni 22 yeye peke yake satellite angani ya nini?. Tanzania sasa wanahitaji satellites nyingi angani kwakuwa haya mambo basic reli, umeme, barabara, shule, hospitali, chakula na maji na nishati ya kupikia majumbani karibu tunamalizana nayo soon. Tunahitaji satellites sasa zitakazorahisisha mawasiliano na mifumo yetu kusomana yote nchi nzima, kuangalia reli yetu ya kisasa kabisa inavyofanyakazi kila siku 24/7, kulinda bwawa letu kubwa sana la kufua umeme na madaraja makubwa kama pale Kigamboni na Busisi yapate ulinzi wa kisasa sana pamoja na mbuga zetu.
 
Demokrasia itawachelewesha sana Kenya, hawana uchumi unaohimili demokrasia ya mangaribi. Wanataka kumuondoa MAKAMU wao wa RAIS kihuni TU.

Kuna wezi wengi sana Kenya wanakula mali ya umma bila kuchukuliwa hatua kali kama hizi, why Gashagua?

Rais Ruto aliwaahidi wapiga kura wake kuwa hakutakuwa na serikali ya "nusu mkate" lakini sasa wana serikali ya "robo mkate" (Ruto, Gashagua, Raila, na nchi za magaribi).

Dunia nzima alishikwa na butwaa kumuona Ruto yuko USA anaunga mkono juhudi za Biden kule Ukraine. Aliwashirikisha wapiga kura wake? Alipewa nini?

Watutukuta tz tuko siti za mbele sana kimaendeleo.

Soma Pia: Yanayojiri Bungeni Kenya: Wabunge 281 wapiga kura ya kumuondoa madarakani Gachagua
sio rahisi kihivyo. na wakenya wakimaliza kuvurumishana wataikuta Tz imeporwa mali nyingi sana na kupelekwa uarabuni huku wakipewa mauwa ya SGR aliyoanzisha jiwe ati ndio mafanikio makubwa.
 
IMG_0379.jpeg
 
Kama washarushaga basi walifanya hivyo prematurely. Wana mambo mengi very basic unsettled.
Sasa hapa tupo pamoja kwamba umekubali kuwa Kenya ni wa kwanza kurusha sattelite yao kama sisi Tz tulivyokuwa wa kwanza kuwa na SGR na Kenya bado hawana.

Ninashukuru kwa kulitambua hilo na ndio maana hata hizi Google Map ambazo tuna request bolt pia zinatumia sattelite za Marekani duniani ikiwemo Tanzania,, sasa America wakiamua kutuspy na Sattelite zao si uwezo wanao tena bila hata ya kuwa na Base hapa.

Kuhusu Prematurely Technology inategemea ni muda gani, maana hata hizi sattelite pia zikikaa huko juu kwa miaka kadhaa huwa zinakwisha ubora na kufa kwahiyo itaundwa nyingine kwenda kufanya recovery

Technology yoyote ambayo kwa sasa wewe ndio unaiona super baada ya miaka kadhaa mbele inakuwa kongwe na isiyo na ufanisi kwakuwa watu wa wakati huo wa Mbele huko wanakuwa wameiboresha sana.

Hata ingetokea wasingerusha hiyo Sattelite bado tu nchi kama Kenya kutoka Africa zingekuwa na mapungufu mengi katika Miradi ya kuwanufaisha wananchi wake. Kumbuka This is Africa bro, ikiwemo na Tz hatujasettle mambo pia.
 
Mlifanya hiyo prematurely. Kama ukabila unakushinda kuuangusha kwanini ufikirie satellite? Kama mnasubiri mtu awe DP ndiyo mgundue kuwa ana makampuni 22 yeye peke yake satellite angani ya nini?. Tanzania sasa wanahitaji satellites nyingi angani kwakuwa haya mambo basic reli, umeme, barabara, shule, hospitali, chakula na maji na nishati ya kupikia majumbani karibu tunamalizana nayo soon. Tunahitaji satellites sasa zitakazorahisisha mawasiliano na mifumo yetu kusomana yote nchi nzima, kuangalia reli yetu ya kisasa kabisa inavyofanyakazi kila siku 24/7, kulinda bwawa letu kubwa sana la kufua umeme na madaraja makubwa kama pale Kigamboni na Busisi yapate ulinzi wa kisasa sana pamoja na mbuga zetu.
Swala la ukabila Kenya nitawatetea kidogo, ni lazima litakuwa lina uzito kwasababu kule Makabila Makubwa Makuu ni Mawili tu ambayo ni Wakikuyu na Wajaluo. Asilimia chache mno iliyobaki ndio makabila Mengine ambao wako wachache sana.

Sasa hao Mafahari wawili wa Kikabila Kenya ni ngumu sana kuwaweka katika zizi moja, hususani katika kipindi cha uchaguzi na kuchukua Nyadhifa Serikalini busara lazima itumike. Wewe hujiulizi kwanini Kenya kuna Ukabila na hamna Udini? Nadhani jibu unalo, japo zama za hivi karibuni tangu mgogoro wao wa mwaka 2007 katika uchaguzi, Kenya ukabila umepubgua kwa kiasi kikubwa sana.

Tanzania kuukuta ukabila ni ngumu sana sababu tuna Makabila zaidi ya 120, kwa huyo kuucontrol ukabila ni rahisi sana.

Swala la kuwa na Sattelite ni muhimu katika nchi yoyote duniani haijalishi ni Maskini yani bado haijasettle mambo yake au ni tajiri, Lazima kuwe na Sattelite za kijeshi kwa ajili ya kuimarisha usalama zaidi na Sattelite za kawaida. Inasikitisha hata utabiri wa hali ya hewa lazima tuwaajiri mabwana wakubwa ndio watuambie hali za hewa zinaendaje nchini kwa siku ya kesho.

Kuhusu Mambo ya Maendeleo inategemea na Definition ya kila mtu atakavyolitafsiri neno Maendeleo au Development. Kwa hayo uliyoyaorodhesha kwako wewe ni Maendeleo ila kwa Mwingine anaona sio Maendeleo atakuwa na angle yake ya kutafsiri Maendeleo.

Kama kuna lundo la Watu wanaishi kwa chini ya Dola moja au wanakula mlo mmoja kwa siku na hawana uwezo wa kulipia treni ya Umeme, anaishi kwenye giza au solar ya bei rahisi ya kuwasha taa moja tu, hawezi kumtembelea ndugu kwa nauli kuwa juu. Mtu kama huyo au watu hao watakwambia kuwa na hivyo vitu sio Maendeleo.

Mi nadhani Taifa kama Tz tungekuwa na Teknolojia mbalimbali na viwanda vingi hapo ndio tungesema tuna Maendeleo kwasababu tungezalisha ajira nyingi mno karibia asilimia 90. Hivyo raia wangekuwa na uhakika wa kupata fedha.

We huoni hapo unavyochati kwenye Wi-Fi au bando lako la data ni technology ambayo unapewa Mbs ambazo hata huzioni kwa macho na watu wanaingiza Mabilioni ya fedha kiurahisi tu ambayo yanasaidia Raia wao. Mjini ni akili wenzetu Watu weupe
wana Maarifa sana.

Huo ni mfano Mdogo tu, ila sijakubishia tafsiri yako ya Maendeleo, haya tuendeleze Mjadala.
 
Kenya kila kitu ni cha mzungu kwaajili ya mzungu na vitagauchumi vya mzungu, hapo veepe wajemeni!!!!. Kuwa wakenya ni manamba dunia nzima cheap labours wa dunia, hapo napo nadanganya wajemeni? Jamaa yenu aliandika Not yet Uhuru, hapo napo ni uongo!!! Tz tuko comfortable no matter what, matunda, chakula, wanyama na reli ya kisasa kabisa vipo huku. Hivi na ile ligi yenu ya kandanda si inaonyeshwa duniani na mtz, au na hapo nakosea wajemeni? Tuko vizuri nadhani ulikuja zamani sana, sasa hivi kila kijiji kuna steamer. mat*ko we!!!

Inawezekana, jamaa si wanayo military base yao hapo?

Tanzania tunatengeneza satellite sisi wenyeweeeee, sio hiyo ya kulinda basee za jamaa

View: https://www.youtube.com/watch?v=Zt9yn6zUtjM

Unasema Kenya inatawaliwa na mzungu, alafu unasema Kandanda ya Kenya inarushwa duniani na Mtz. Huyo Mtz. ni Mwarabu. Hivi huoni unafiki kwa statement yako?
 
Vitu vilivyojaa kwenye vichwa vya wa Tz
1. Diamond ana mahusiano na mwanamke gani
2. Kucomment umbea kwenye page za mange kimambi hadi mtoto wakiume aandika "Da mange"
3. Kumuita Maulidi kitenge ni usalama wa Taifa kisa anaweka Airpods maskioni.
4. Kuhamasishana maandamano kila mtu anasema yuko tayari kufa ila siku ya maandamano hatokei hata mmoja.
5. Kuwaza ngono 24/7

6. Kishabikia Simba na Yanga ambako hakuna faida yoyote kwenye maendeleo ya Taifa hili
 
Kumbe wee jamaa ndivyo ulivyo duuuh 🙆‍♂️🤦‍♀️
Nilikuwa nakuaminiaga kiwa uko na average understanding ya mambo kumbe bure kabisa!
Kumbe ni chawa ?!
Kazi kwa kweli.
 
Unasema Kenya inatawaliwa na mzungu, alafu unasema Kandanda ya Kenya inarushwa duniani na Mtz. Huyo Mtz. ni Mwarabu. Hivi huoni unafiki kwa statement yako?
Hatuna mtanzania mwarabu sisi, tuna watanzania wenye asili ya Asia, asili ya uingereza, nk. Ni watanzania kabisa wa kuzaliwa. Tanzania hakuna ubaguzi wa rangi, makabila, ddini wala jinsia kama huko.
 
Sasa mbona akiwa Mtanzania mnasema Mtanzania wa Asili ya Asia, akiwa Mkenya mnasema Mzungu ama Muhindi? Huoni wewe ndiye Mbaguzi?
 
Huko sisi tuloshaapita kitaaambo. Tunawacheka tu.

View attachment 3121424
some of these did it for just one thing only, security purposes. Nakumbuka wakoloni walitukataza Tanzania tusiwe na radars za kuiona nchi yetu yote. Tulikuwa tunatumia radars walizoweka Kenya hata katika kuongoza ndege zetu kwenye viwanja vya ndege vikuu. Hii ilikuwa inawasaidia kuingia kwetu bila kuonekana hadi pale magufuli alipokataa kuendelea na upunzi ule waliotumia kuwinda wanyama wetu kule Selous bila sisi wenyewe kujua. Leo hii tuna uwezo wa kuiona nchi yetu yoooote kwa rada zetu.

Kenya bado sana, msikilize huyu jamaa

View: https://www.youtube.com/watch?v=NrEXQfi-d8M
 
Back
Top Bottom