Kenya waliiga architectural features za Tanzania parliament

hvi humo mjengoni kila mtu ana seat yake ambayo anakaa kila sku au mbunge anajiamulia tu pakukaa kwamba Leo nitakaa hapa na kesho pale?
 
Redeemer mbona umenyamaza hivyo? Hatutakuona hadi next week sio? Hahaha
 
REDEEMER.
Jengo la bunge la Tanzania lilichorwa (architectural design) na mkenya. Ni moja kati ya vitu vingi nisivyovipenda kuhusu lile jengo.


Na sio bunge tu. Bro, hama nchi bana. Iko too dominated by Kenyans. Ati mpaka TPA?

Karibu kila nyanja muhimu ya nchi yenyu wakenya wapo, wamehusika. Mta-do?
 
Sio kubishana mkeiii this is a critical factor kufanana kwa hizo features sio coincidence so that's news
Inaamana huna taarifa kama kenya ilituma wataalam kuja kuchukua ramani ya bunge la Tanzania wakajenge kwao???? Hii ilikuwa enzi za Kikwete,,, ka gogle hiyo taarifa utaipata,, hadi kwenye Tv walitangaza
 
Na sio bunge tu. Bro, hama nchi bana. Iko too dominated by Kenyans. Ati mpaka TPA?

Karibu kila nyanja muhimu ya nchi yenyu wakenya wapo, wamehusika. Mta-do?
Niko mwanza Leo hii nmekua Msoma na place inaitwa Panda ....everything is Kenyan all the big hotels in mwanza kwanza smh


The largest cow Owner in Msoma is A Kenyan Of Kuria origin FYI tanzania has more Kurias than Kenya but still [emoji23][emoji23][emoji23].....nimeshangaa na hii ka inchi yao..they keep saying venye walikuja kenya ndio waliona "poverty" but kwa border Tanzanian Farm Labour is cheaper than Kenyan labour .....wakuria side ya Kenya walikataa 300 for 5hrs tukaleta waTZ 200 FOR 150/- per hour [emoji23][emoji23][emoji23] tumeweka mpaka Managers na lunch yao hapo ndani ....i wish i could transport this Tanzanian labour to Nakuru......alafu they dont want to take tanzanian money tumewauliza tutapata forex wapi ndio tuwalipe wakazusha wote "Hapana tupee ilivyo" [emoji23][emoji23][emoji23] my fren people in JF talk too much

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafuu waige na ubora pia. maana hawa majirani hawajambo kwa kujenga majengo mabovu. zaidi ya 50% ya majengo ni unfit for human habitation.
 
maybe im less informed...
hizo hotel kubwa mwanza zinazomilikiwa na wakenya ni zipi ????......

malaika ,gold crest ,jb ,tilapia, ryans ba Y ,masama nene au hii rock city inayojengwa ......

kuna sekta ipi mwanza imeshikwa na wakenya ????.....

ingekuwa ni wahindi na watu wa lake zone of TZ isingekuwa ni habari... hebu nijuze zaidi
 
Tuwache kujidanganya sababu Egypian parliment ,Cameroon ,Zambia ,India ,Peru na zinginezo ziko sitting plan hiyi hiyo na pia bendera zao.Sasa wale pia waliiga mfano wa Tanzania pia?
 

He he heeee sam you talk too much too! Usifikiri Musoma ndio tz inaishia hapo! Hapo ndo umeanza tz!

Halafu nini tatizo khs mkenya kuwa na mifugo mingi? Hv kila siku tukisema tz tukiwafukuza wakenya watoke huku mtalia sana, unafikiri tunatania?


BTW, kesho me pia ntakuwa mwanza kwa masaa machache, ningekuwa na muda ningekutafuta tukamsalim huyo mkenya mwenye mifugo mingi[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Ati nn? Kuryas in Tanzania r Kenyans? Peleka matako yako Kenya na angalia wasikuskie ulisema hivyo maana watakufanya asasu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na huyo jamaa anafikiri wakuria ni wakenya tu hahaha kumbe wakuria ni watanzania tena wengi tu na pia wana hotels na biashara Mwanza

(wabunge Ester Bulaya, John Heche, Julius Mtatiro, Mayor wa Dar, Ester Matiko, Marwa na viongozi dozens waliopo serikalini ni wakenya hahaha)

Sasa amefika Mwanza anauliza hii hotel ni ya nani akijibiwa ni ya mkurya anapigia mstari ni ya mkenya

Kama ikiwa ndio hivyo basi na kwenye familia yangu wapo wakenya wengi sana.
 
Na nyinyi wengi in vibarua wa wasomali

Msifikiri. Kuwa mwawezajitegemea 100%



dhuluma na uhasidi ndio chanzo cha umasikini
 
Tuwache kujidanganya sababu Egypian parliment ,Cameroon ,Zambia ,India ,Peru na zinginezo ziko sitting plan hiyi hiyo na pia bendera zao.Sasa wale pia waliiga mfano wa Tanzania pia?
Ndio waliiga



dhuluma na uhasidi ndio chanzo cha umasikini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…