Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapinga kitu gani?Si Mkenya bali ni kampuni yenye branch Tanzania pia fuatilia uambiwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Redeemer mbona umenyamaza hivyo? Hatutakuona hadi next week sio? HahahaView attachment 578908 Yeah of course parliament is the powerful pillar kama nyenzo muhimu ya representative democracy, Tanzania ndio nchi ya kwanza katika region kuwa na ukumbi wa bunge wa kisasa zaidi View attachment 578898
Na ni kati ya kumbi chache za bunge Africa zilizo katika technology ya kisasa, View attachment 578899
Kenya walipanua ukumbi wao wa bunge baada ya katiba mpya 2010 baada ya kuongeza viti vingi vya wawakilishi jambo lililopelekea ukumbi wa zamani kushindwa kuendelea na jukumu lake la awali, View attachment 578901
Walijenga ukumbi ukakanilika miaka ya juzi juzi (Kwa mamilioni ya dollar kama kawaida yao kapigwa refer SGR) tu lakini ukijaribu kuangalia utajua kuna baadhi ya features zinafanana na ukumbi wa Tanzania kama mpangilio wa rangi za bendera kwenye floor, taa za kwenye floors, sitting plan, design ya viti na rangi zake na mengine mengi. View attachment 578900
Japo bado ukumbi wa Dodoma unasalia kuwa the best in the region.
REDEEMER.
Jengo la bunge la Tanzania lilichorwa (architectural design) na mkenya. Ni moja kati ya vitu vingi nisivyovipenda kuhusu lile jengo.
Inaamana huna taarifa kama kenya ilituma wataalam kuja kuchukua ramani ya bunge la Tanzania wakajenge kwao???? Hii ilikuwa enzi za Kikwete,,, ka gogle hiyo taarifa utaipata,, hadi kwenye Tv walitangazaSio kubishana mkeiii this is a critical factor kufanana kwa hizo features sio coincidence so that's news
Nilishaweka thread ya kuonyesha nani kachoraNa sio bunge tu. Bro, hama nchi bana. Iko too dominated by Kenyans. Ati mpaka TPA?
Karibu kila nyanja muhimu ya nchi yenyu wakenya wapo, wamehusika. Mta-do?
[emoji23][emoji23][emoji23] anaji console the best way he know......Rejection and denial mpaka a feel imeingia sambamba!!
Niko mwanza Leo hii nmekua Msoma na place inaitwa Panda ....everything is Kenyan all the big hotels in mwanza kwanza smhNa sio bunge tu. Bro, hama nchi bana. Iko too dominated by Kenyans. Ati mpaka TPA?
Karibu kila nyanja muhimu ya nchi yenyu wakenya wapo, wamehusika. Mta-do?
maybe im less informed...Niko mwanza Leo hii nmekua Msoma na place inaitwa Panda ....everything is Kenyan all the big hotels in mwanza kwanza smh
The largest cow Owner in Msoma is A Kenyan Of Kuria origin FYI tanzania has more Kurias than Kenya but still [emoji23][emoji23][emoji23].....nimeshangaa na hii ka inchi yao..they keep saying venye walikuja kenya ndio waliona "poverty" but kwa border Tanzanian Farm Labour is cheaper than Kenyan labour .....wakuria side ya Kenya walikataa 300 for 5hrs tukaleta waTZ 200 FOR 150/- per hour [emoji23][emoji23][emoji23] tumeweka mpaka Managers na lunch yao hapo ndani ....i wish i could transport this Tanzanian labour to Nakuru......alafu they dont want to take tanzanian money tumewauliza tutapata forex wapi ndio tuwalipe wakazusha wote "Hapana tupee ilivyo" [emoji23][emoji23][emoji23] my fren people in JF talk too much
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuwache kujidanganya sababu Egypian parliment ,Cameroon ,Zambia ,India ,Peru na zinginezo ziko sitting plan hiyi hiyo na pia bendera zao.Sasa wale pia waliiga mfano wa Tanzania pia?View attachment 578908 Yeah of course parliament is the powerful pillar kama nyenzo muhimu ya representative democracy, Tanzania ndio nchi ya kwanza katika region kuwa na ukumbi wa bunge wa kisasa zaidi View attachment 578898
Na ni kati ya kumbi chache za bunge Africa zilizo katika technology ya kisasa, View attachment 578899
Kenya walipanua ukumbi wao wa bunge baada ya katiba mpya 2010 baada ya kuongeza viti vingi vya wawakilishi jambo lililopelekea ukumbi wa zamani kushindwa kuendelea na jukumu lake la awali, View attachment 578901
Walijenga ukumbi ukakanilika miaka ya juzi juzi (Kwa mamilioni ya dollar kama kawaida yao kapigwa refer SGR) tu lakini ukijaribu kuangalia utajua kuna baadhi ya features zinafanana na ukumbi wa Tanzania kama mpangilio wa rangi za bendera kwenye floor, taa za kwenye floors, sitting plan, design ya viti na rangi zake na mengine mengi. View attachment 578900
Japo bado ukumbi wa Dodoma unasalia kuwa the best in the region.
Niko mwanza Leo hii nmekua Msoma na place inaitwa Panda ....everything is Kenyan all the big hotels in mwanza kwanza smh
The largest cow Owner in Msoma is A Kenyan Of Kuria origin FYI tanzania has more Kurias than Kenya but still [emoji23][emoji23][emoji23].....nimeshangaa na hii ka inchi yao..they keep saying venye walikuja kenya ndio waliona "poverty" but kwa border Tanzanian Farm Labour is cheaper than Kenyan labour .....wakuria side ya Kenya walikataa 300 for 5hrs tukaleta waTZ 200 FOR 150/- per hour [emoji23][emoji23][emoji23] tumeweka mpaka Managers na lunch yao hapo ndani ....i wish i could transport this Tanzanian labour to Nakuru......alafu they dont want to take tanzanian money tumewauliza tutapata forex wapi ndio tuwalipe wakazusha wote "Hapana tupee ilivyo" [emoji23][emoji23][emoji23] my fren people in JF talk too much
Sent using Jamii Forums mobile app
Ati nn? Kuryas in Tanzania r Kenyans? Peleka matako yako Kenya na angalia wasikuskie ulisema hivyo maana watakufanya asasu.Niko mwanza Leo hii nmekua Msoma na place inaitwa Panda ....everything is Kenyan all the big hotels in mwanza kwanza smh
The largest cow Owner in Msoma is A Kenyan Of Kuria origin FYI tanzania has more Kurias than Kenya but still [emoji23][emoji23][emoji23].....nimeshangaa na hii ka inchi yao..they keep saying venye walikuja kenya ndio waliona "poverty" but kwa border Tanzanian Farm Labour is cheaper than Kenyan labour .....wakuria side ya Kenya walikataa 300 for 5hrs tukaleta waTZ 200 FOR 150/- per hour [emoji23][emoji23][emoji23] tumeweka mpaka Managers na lunch yao hapo ndani ....i wish i could transport this Tanzanian labour to Nakuru......alafu they dont want to take tanzanian money tumewauliza tutapata forex wapi ndio tuwalipe wakazusha wote "Hapana tupee ilivyo" [emoji23][emoji23][emoji23] my fren people in JF talk too much
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na huyo jamaa anafikiri wakuria ni wakenya tu hahaha kumbe wakuria ni watanzania tena wengi tu na pia wana hotels na biashara MwanzaHe he heeee sam you talk too much too! Usifikiri Musoma ndio tz inaishia hapo! Hapo ndo umeanza tz!
Halafu nini tatizo khs mkenya kuwa na mifugo mingi? Hv kila siku tukisema tz tukiwafukuza wakenya watoke huku mtalia sana, unafikiri tunatania?
BTW, kesho me pia ntakuwa mwanza kwa masaa machache, ningekuwa na muda ningekutafuta tukamsalim huyo mkenya mwenye mifugo mingi[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Na nyinyi wengi in vibarua wa wasomaliNiko mwanza Leo hii nmekua Msoma na place inaitwa Panda ....everything is Kenyan all the big hotels in mwanza kwanza smh
The largest cow Owner in Msoma is A Kenyan Of Kuria origin FYI tanzania has more Kurias than Kenya but still [emoji23][emoji23][emoji23].....nimeshangaa na hii ka inchi yao..they keep saying venye walikuja kenya ndio waliona "poverty" but kwa border Tanzanian Farm Labour is cheaper than Kenyan labour .....wakuria side ya Kenya walikataa 300 for 5hrs tukaleta waTZ 200 FOR 150/- per hour [emoji23][emoji23][emoji23] tumeweka mpaka Managers na lunch yao hapo ndani ....i wish i could transport this Tanzanian labour to Nakuru......alafu they dont want to take tanzanian money tumewauliza tutapata forex wapi ndio tuwalipe wakazusha wote "Hapana tupee ilivyo" [emoji23][emoji23][emoji23] my fren people in JF talk too much
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio waliigaTuwache kujidanganya sababu Egypian parliment ,Cameroon ,Zambia ,India ,Peru na zinginezo ziko sitting plan hiyi hiyo na pia bendera zao.Sasa wale pia waliiga mfano wa Tanzania pia?