Kenya wamezoa Medali 4 za Dhahabu Olympic na Sisi Tanzania bado tunajitafuta!

Mnataka kusema sisi mambo yetu Libyerin vyetu? Kisamjo samjo? Kwamba Viongozi walienda kuwaombea medali IOC?
 
Kiukweli nchi Jirani wametisha sana huwezi amini kama Wana mgogoro mkubwa wa kisiasa nchini mwao

Kwako MwanaFA 😂😂😂

Mlale Unono
Tatizo kwa akina Lucas watendaji na kila mtu anasubiria upepo wa mkazi wa Ikulu.
 
Kiukweli nchi Jirani wametisha sana huwezi amini kama Wana mgogoro mkubwa wa kisiasa nchini mwao

Kwako MwanaFA 😂😂😂

Mlale Unono
asie kubali kushindwa si mshindani,
tumeshindwa bila maandamano wala kugomea matokeo 🐒

nafurahi tumejaribu kushindana kadiri ya uwezo wetu michezo tuloshiriki, tunashukuru na tunafurahi tumefanya kadiri tulivyojiandaa🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Mama apewe hongera zake.
 
Back
Top Bottom