Ndio tatizo linalojafiliw hapa!Lazima kuna shida mahali,usiniambie kama nchi tunashindwa kupeleka wapanda baiskeli,weight lifting hata kurusha mkuki?
Sidhani kama tu wanyonge hivyo.Kuna dada anaitwa Malaika Mihambo ni Mtanzania huyu yeye kaamua kuiwakilisha Ujerumani.
Na last Olympic games aliibuka mshindi wa kwanza kwenye long jump.