Kenya wamezoa Medali 4 za Dhahabu Olympic na Sisi Tanzania bado tunajitafuta!

Huko Olympic michezo ipo mingi tu lakini Tanzania ilipeleka wanamichezo saba.

Vigezo na mchakato wa kupata wawakilishi bado haupo wazi( hili pia ni tatizo).

Kuna nchi zenye population ndogo tu zinapeleka wanamichezo wengi kutuzidi na wanafanya vizuri.

Cha ajabu tunayo kamati ya Olympic Tanzania sijui kazi yao nini hawa watu!!!
 
Vegezo vipo wazi tatizo watz kuvifikia sasa
 
Huko Olympic michezo ipo mingi tu lakini Tanzania ilipeleka wanamichezo saba.

Vigezo na mchakato wa kupata wawakilishi bado haupo wazi( hili pia ni tatizo).

Kuna nchi zenye population ndogo tu zinapeleka wanamichezo wengi kutuzidi na wanafanya vizuri.

Cha ajabu tunayo kamati ya Olympic Tanzania sijui kazi yao nini hawa watu!!!
Mkuu unalalamikia usichokijua... Huwezi kwenda Olimpiki kama Hun kiwango .... Vigezo vipo WAZI ! Tatizo ni vieango vyetu .... Kama Simbu Ndio tegemeo. Letu kwenye Mbio ndefu ... Amekuwa wa 17 unategemea Nini!?
 
Kenya kwenye riadha wako mbali mno. Nenda Eldoret uone jinsi walivyowekeza mabilioni kwenye riadha. Wana clubs zenye facilities zote kiasi kwamba mwanariadha analelewa kama mwanafunzi wa bweni ili a-focus kwenye riadha tu. Wachezaji wengi toka sehemu mbalimbali za dunia huenda kambini Eldoret kujifua. Tanzania kulikuwa na watu wenye clubs za riadha ila wakaachana nazo na kujiunga kwenye siasa.
 
Lazima kuna shida mahali,usiniambie kama nchi tunashindwa kupeleka wapanda baiskeli,weight lifting hata kurusha mkuki?

Sidhani kama tu wanyonge hivyo.Kuna dada anaitwa Malaika Mihambo ni Mtanzania huyu yeye kaamua kuiwakilisha Ujerumani.

Na last Olympic games aliibuka mshindi wa kwanza kwenye long jump.
 
Kwa maana hiyo serikali inaona hakuna sababu ya kujenga hizo clubs kwani muda wa kuandaa wanariadha wenye vipaji haichukui zaidi ya miaka nne. Kama muda hautoshi ingeshirikiana na jeshi la kujenga taifa ili kuandaa vijana make kule kuna namna nzuri ya kupata mtu mwenye kipaji bila longolongo siyo ujinga huu wa kamati ya Olympic.

Je, Long and High jump inahitaji maandalizi ya muda gani kwa watu wenye vipanji vilivyokwisha tambuliwa?

Ofisi ya Municipal ya Shinyanga ikishirikiana na ofisi ya mkuu wa mkoa wakiambiwa waandae mashindano ya kuendesha baisikeli alafu ikatumwa watu wa kutambua vipaji ni jambo dogo sana alafu wanapewa zana na mbinu...Olympic ijayo medali ni zetu.

Michezo ni ajira, serikali iwajibike...serikali iangalie sehemu gani kuna watu wanaogelea sana na wanapenda mochezo hayo tokea wakiwa wadogo siyo kutuletea watoto wanaoogelea kwenye swimming pool kariakoo ndiyo twende nao Olympic.
School boy wa Bostwana amengenezwa ndiyo maana ameshinda mbiyo za m200. Kama serikali haiwajibiki sehemu wanahitaji lawama.

Yaani kurusha mikuki nayo tunaona sifa kuwa hatuna watu wa kuwapeleka mashindanoni!!
 
Nchi ya below average na substandard.

Hakuna cha maana hata kimoja tumeamua kukomaa nacho kitutoe, ni kujaribu jaribu na kuacha.

Quality ni matokeo ya uwekezaji na consistency.
 
Huko Olympic michezo ipo mingi tu lakini Tanzania ilipeleka wanamichezo saba.

Vigezo na mchakato wa kupata wawakilishi bado haupo wazi( hili pia ni tatizo).

Kuna nchi zenye population ndogo tu zinapeleka wanamichezo wengi kutuzidi na wanafanya vizuri.

Cha ajabu tunayo kamati ya Olympic Tanzania sijui kazi yao nini hawa watu!!!
Kwenye olimpiki hakuna upendeleo wala siasa. Ukifikisha vigezo TOC haiwezi kukuacha. Na hadi ufikishe vigezo tayari nchi nzima inakuwa ishakujua.
 
Lazima kuna shida mahali,usiniambie kama nchi tunashindwa kupeleka wapanda baiskeli,weight lifting hata kurusha mkuki?

Sidhani kama tu wanyonge hivyo.Kuna dada anaitwa Malaika Mihambo ni Mtanzania huyu yeye kaamua kuiwakilisha Ujerumani.

Na last Olympic games aliibuka mshindi wa kwanza kwenye long jump.
Acha siasa za kijinga.
 
naona kipchoge karudi kijijini
FB_IMG_1723351392670.jpg
 
Back
Top Bottom