Kenya wamezoa Medali 4 za Dhahabu Olympic na Sisi Tanzania bado tunajitafuta!

Mnataka kusema sisi mambo yetu Libyerin vyetu? Kisamjo samjo? Kwamba Viongozi walienda kuwaombea medali IOC?
 
Kiukweli nchi Jirani wametisha sana huwezi amini kama Wana mgogoro mkubwa wa kisiasa nchini mwao

Kwako MwanaFA πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mlale Unono
Tatizo kwa akina Lucas watendaji na kila mtu anasubiria upepo wa mkazi wa Ikulu.
 
Kiukweli nchi Jirani wametisha sana huwezi amini kama Wana mgogoro mkubwa wa kisiasa nchini mwao

Kwako MwanaFA πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mlale Unono
asie kubali kushindwa si mshindani,
tumeshindwa bila maandamano wala kugomea matokeo πŸ’

nafurahi tumejaribu kushindana kadiri ya uwezo wetu michezo tuloshiriki, tunashukuru na tunafurahi tumefanya kadiri tulivyojiandaaπŸ’

Mungu Ibariki Tanzania
 
Mama apewe hongera zake.
 
Kiukweli nchi Jirani wametisha sana huwezi amini kama Wana mgogoro mkubwa wa kisiasa nchini mwao

Kwako MwanaFA πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mlale Unono
Bongo media zinajadili kufumaniana
Na kusutana
 
Sisi tena?
Labda siku Chama pendwa kitakapokataliwa kwenye sanduku la kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…