Vegezo vipo wazi tatizo watz kuvifikia sasaHuko Olympic michezo ipo mingi tu lakini Tanzania ilipeleka wanamichezo saba.
Vigezo na mchakato wa kupata wawakilishi bado haupo wazi( hili pia ni tatizo).
Kuna nchi zenye population ndogo tu zinapeleka wanamichezo wengi kutuzidi na wanafanya vizuri.
Cha ajabu tunayo kamati ya Olympic Tanzania sijui kazi yao nini hawa watu!!!
Mkuu unalalamikia usichokijua... Huwezi kwenda Olimpiki kama Hun kiwango .... Vigezo vipo WAZI ! Tatizo ni vieango vyetu .... Kama Simbu Ndio tegemeo. Letu kwenye Mbio ndefu ... Amekuwa wa 17 unategemea Nini!?Huko Olympic michezo ipo mingi tu lakini Tanzania ilipeleka wanamichezo saba.
Vigezo na mchakato wa kupata wawakilishi bado haupo wazi( hili pia ni tatizo).
Kuna nchi zenye population ndogo tu zinapeleka wanamichezo wengi kutuzidi na wanafanya vizuri.
Cha ajabu tunayo kamati ya Olympic Tanzania sijui kazi yao nini hawa watu!!!
Sisi tunawaza kutekana, kutishana ili tushinde chaguzi. Ujinga mtupu, tuna laaana.Kiukweli nchi Jirani wametisha sana huwezi amini kama Wana mgogoro mkubwa wa kisiasa nchini mwao
Kwako MwanaFA πππ
Mlale Unono
Lazima kuna shida mahali,usiniambie kama nchi tunashindwa kupeleka wapanda baiskeli,weight lifting hata kurusha mkuki?Mkuu unalalamikia usichokijua... Huwezi kwenda Olimpiki kama Hun kiwango .... Vigezo vipo WAZI ! Tatizo ni vieango vyetu .... Kama Simbu Ndio tegemeo. Letu kwenye Mbio ndefu ... Amekuwa wa 17 unategemea Nini!?
Kwa maana hiyo serikali inaona hakuna sababu ya kujenga hizo clubs kwani muda wa kuandaa wanariadha wenye vipaji haichukui zaidi ya miaka nne. Kama muda hautoshi ingeshirikiana na jeshi la kujenga taifa ili kuandaa vijana make kule kuna namna nzuri ya kupata mtu mwenye kipaji bila longolongo siyo ujinga huu wa kamati ya Olympic.Kenya kwenye riadha wako mbali mno. Nenda Eldoret uone jinsi walivyowekeza mabilioni kwenye riadha. Wana clubs zenye facilities zote kiasi kwamba mwanariadha analelewa kama mwanafunzi wa bweni ili a-focus kwenye riadha tu. Wachezaji wengi toka sehemu mbalimbali za dunia huenda kambini Eldoret kujifua. Tanzania kulikuwa na watu wenye clubs za riadha ila wakaachana nazo na kujiunga kwenye siasa.
Napo hawatashinda maana hawana welediHiki kinchi kitakuja kupata medali endapo Olimpinki kutaanzishwa mashindano ya UCHAWA, KUDANGA na KUBETI
Yapo. Kipindi kinarushwa Star tv ya MwanzaWaweke na madhindano ya 'kunsifia mama' waone namna timu ya 'goli la mkono' inavyotoka na nedali zisizohesabika.
Mpira wenyewe wa miguu umegeuzwa majukwaa ya wanasiasaNchi ya mabonanza Kila kiongozi kakimbilia mpira wa miguu
ππππππChawa Kwenye mambo km haya hawezi kuwepo,mambo Yao wao n Yale ya Wana Moro wabubujikwa machozi Kwa pozi hili la mamaπ€ͺπ€ͺ
Kwenye olimpiki hakuna upendeleo wala siasa. Ukifikisha vigezo TOC haiwezi kukuacha. Na hadi ufikishe vigezo tayari nchi nzima inakuwa ishakujua.Huko Olympic michezo ipo mingi tu lakini Tanzania ilipeleka wanamichezo saba.
Vigezo na mchakato wa kupata wawakilishi bado haupo wazi( hili pia ni tatizo).
Kuna nchi zenye population ndogo tu zinapeleka wanamichezo wengi kutuzidi na wanafanya vizuri.
Cha ajabu tunayo kamati ya Olympic Tanzania sijui kazi yao nini hawa watu!!!
Acha siasa za kijinga.Lazima kuna shida mahali,usiniambie kama nchi tunashindwa kupeleka wapanda baiskeli,weight lifting hata kurusha mkuki?
Sidhani kama tu wanyonge hivyo.Kuna dada anaitwa Malaika Mihambo ni Mtanzania huyu yeye kaamua kuiwakilisha Ujerumani.
Na last Olympic games aliibuka mshindi wa kwanza kwenye long jump.
Kaone kapumbavu wewe !! siasa iko wapi hapo!?Acha siasa za kijinga.