Kenya wamezoa Medali 4 za Dhahabu Olympic na Sisi Tanzania bado tunajitafuta!

Ndio tatizo linalojafiliw hapa!
 
Mwaka wa ngapi huu mnarudi bila chochote?
 
Tanzania hatujawahi katika history yetu kuwa serious nakuwekeza kwenye riadha na michezo mingine. Tulipowekeza tu kwenye mpira tunaona jirani zetu wako wapi na sisi tupo wapi. Siku Tanzania wakija na program za muda mrefu na kuwekeza serious na uhakika Tanzania tuna uwezo sana tu na jirani watabaki wanatusikiliza kama wanavyosikiliza mziki yetu. Tukiamua chochote kwa dhati basi na uhakika jirani watabaki wanatufuatilia tu.
 
Maandalizi yawe ya uhakika vinginevyo itakuwa haina maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…