Kenya wana Katiba Nzuri, Tume huru ya uchaguzi, lakini Raila analalamika kuibiwa kura, na bei ziko juu, na tozo zimejaa

Nadhani inabidi kuirejea hii ajenda ya katiba mpya, ni kweli wananchi wanaitaka au ni wanasiasa ndio wanaitaka?

Kenya Wana katiba mpya, lakini bei za bidhaa ziko juu mpaka Leo Erick Omondi kaandamana Bungeni na akapigwa mabomu na kukamatwa. Na sisi wa katiba ya zamani bei ziko juu.

Tozo ziko juu, pale pale sawa na sisi wa katiba ya zamani.

Nadhani mabadiliko ya sheria zilizo chini ya katiba yanatosha. Mama Kaunda tume ya haki jinai, mapendekezo yake yakifanyiwa kazi, hutamuona mtu anasema katiba. Huko kwenye jinai ndiko wananchi wanakutana na mapolisi Kila siku.

Cha kushangaza, huko Kenya kwenye katiba mpya, Erick Omondi kaandamana, kapigwa mabomu, kakamatwa, na katiba mpya ipo inayotoa Uhuru wa kuandamana!

Let's go back to the drawing table. Ni katiba kweli tunataka au Kuna kitu tunataka lakini hatujui ni kitu gani!! Ila Mimi kama nakiona Samia anakifanyia kazi, kwa ambao hawakioni, nitakuja na Uzi kuonyesha kwamba wananchi hawataki makaratasi na vyeo vipya.

Asamaleko!
Katiba mpya ndio itapunguza bei ya chakula? US wana katiba nzuri, mbona Trump hadi leo analalamika? Kwani katiba inazuia mtu kulalamika?
 
Wapo wanaotaka katiba mpya wasio na ndoto kabisa za kuingia madarakani au kushika cheo chochote cha uongozi, na hao ndio wengi.
Katiba mpya ni sasa.
Katiba mpya siyo suluhisho la matatizo yetu ila kuna watu wachache wanadhani inaweza kuwawezesha kuingia madarakani jambo ambalo uhalisia wake ni kiduchu au haupo kabisa.
 
Nadhani inabidi kuirejea hii ajenda ya katiba mpya, ni kweli wananchi wanaitaka au ni wanasiasa ndio wanaitaka?

Kenya Wana katiba mpya, lakini bei za bidhaa ziko juu mpaka Leo Erick Omondi kaandamana Bungeni na akapigwa mabomu na kukamatwa. Na sisi wa katiba ya zamani bei ziko juu.

Tozo ziko juu, pale pale sawa na sisi wa katiba ya zamani.

Nadhani mabadiliko ya sheria zilizo chini ya katiba yanatosha. Mama Kaunda tume ya haki jinai, mapendekezo yake yakifanyiwa kazi, hutamuona mtu anasema katiba. Huko kwenye jinai ndiko wananchi wanakutana na mapolisi Kila siku.

Cha kushangaza, huko Kenya kwenye katiba mpya, Erick Omondi kaandamana, kapigwa mabomu, kakamatwa, na katiba mpya ipo inayotoa Uhuru wa kuandamana!

Let's go back to the drawing table. Ni katiba kweli tunataka au Kuna kitu tunataka lakini hatujui ni kitu gani!! Ila Mimi kama nakiona Samia anakifanyia kazi, kwa ambao hawakioni, nitakuja na Uzi kuonyesha kwamba wananchi hawataki makaratasi na vyeo vipya.

Asamaleko!
Ubongo wako umejaa maji
 
Katiba mpya ndio itapunguza bei ya chakula? US wana katiba nzuri, mbona Trump hadi leo analalamika? Kwani katiba inazuia mtu kulalamika?
Sioni sababu ya watu humu kubishana na wewe manake unaonekana umeamua kulazimisha mawazo yaliyoko akikini mwako yaakubaliwe na kila mtu humu, acha ubishi na ujuaji ujifunze kidgo

Siasa hatuwezi kujitenga nayo kwa kuwa ndio platform ya kuleta / kuingiza Viongozi madarakani, na kiujumla hao Viongozi wanaathari Katika maisha yetu ya kila siku;

Katiba mpya inayoendana na maisha ya jamii ya Sasa ni muhimu kwani, ili utengeneze uongozi ulio Bora Ni lazima uwe na platform huru ya kuwaweka hao Viongozi madarakani, kwa maana ya kuwa watakuwa wamechaguliwa kweli na wananchi na hao ndio wananchi wanawataka.

Sasa kwa Katiba hii ya Sasa iliyorithiwa kutoka kwa wakoloni haiwezi kututoa hapa tulipo ni Katiba inayo favor walioko madarakani baasi, Rais anamamlaka makubwa Sana, yapunguzwe ili awe na uwezo wa kujua kuwa akikosea atawajibishwa ... nisiongee Sana

KATIBA MPYA Ni Sasa na ni Jambo la watanzania wote [emoji1690][emoji1690][emoji1690][emoji1690][emoji1690][emoji1690]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Nadhani inabidi kuirejea hii ajenda ya katiba mpya, ni kweli wananchi wanaitaka au ni wanasiasa ndio wanaitaka?

Kenya Wana katiba mpya, lakini bei za bidhaa ziko juu mpaka Leo Erick Omondi kaandamana Bungeni na akapigwa mabomu na kukamatwa. Na sisi wa katiba ya zamani bei ziko juu.

Tozo ziko juu, pale pale sawa na sisi wa katiba ya zamani.

Nadhani mabadiliko ya sheria zilizo chini ya katiba yanatosha. Mama Kaunda tume ya haki jinai, mapendekezo yake yakifanyiwa kazi, hutamuona mtu anasema katiba. Huko kwenye jinai ndiko wananchi wanakutana na mapolisi Kila siku.

Cha kushangaza, huko Kenya kwenye katiba mpya, Erick Omondi kaandamana, kapigwa mabomu, kakamatwa, na katiba mpya ipo inayotoa Uhuru wa kuandamana!

Let's go back to the drawing table. Ni katiba kweli tunataka au Kuna kitu tunataka lakini hatujui ni kitu gani!! Ila Mimi kama nakiona Samia anakifanyia kazi, kwa ambao hawakioni, nitakuja na Uzi kuonyesha kwamba wananchi hawataki makaratasi na vyeo vipya.

Asamaleko!

Uchaguzi ulikuwa tight Sana, lazima mmoja alalamike. Tofautisha ya Kura laki mbili ndogo Sana.
 
Uchaguzi ulikuwa tight Sana, lazima mmoja alalamike. Tofauti ya Kura laki mbili ndogo Sana.
 
Nchi gani ya kiafrica Ina maendeleo, Hakuna mwafrika anaeweza mletea maendeleo mwafrika mwenzake. Afrika uongozi ni ajira na sio wito.
 
Katiba mpya siyo suluhisho la matatizo yetu ila kuna watu wachache wanadhani inaweza kuwawezesha kuingia madarakani jambo ambalo uhalisia wake ni kiduchu au haupo kabisa.

Katiba Ina mambo mengi sio siasa tu. Mwnasiasa ataongelea vyake, mfanyabisahara, vijana, akina mama, wazee, wataalamu, wajane etc. Acha wanasiasa waongee yakwao na wengine waongee yanayowahusu.
 
Katiba mpya siyo suluhisho la matatizo yetu ila kuna watu wachache wanadhani inaweza kuwawezesha kuingia madarakani jambo ambalo uhalisia wake ni kiduchu au haupo kabisa.
Kikubwa kuwe na fair grounds kwa wote ili anayeshinda ashinde kihakali, nchi zote zenye fair levels kwa wote hauwezi chama kimoja kiki-dominate mfululizo lazima watu wasiporidhishwa na uongozi wao wanachagua kingine at least chama kilichopo madarakani ninakuwa kinafahamu ya kuwa kikiboronga wananchi wana uwezo wa kukitoa.

Lakini katiba mpya si kwa ajili ya uchaguzi peke yake, katiba inagusa kila kitu kinachohusia ustawi wa raia pamoja na nchi kwa ujumla wake.

Ukiangalia maoni ya watu utagundua wale ambao wanaogopa kuwa fair levels zinaweza kukitoa chama tawala madarakani ndiyo wanapinga katiba mpya na wale wanaoona ya kwamba katiba mpya itaweka usawa kwenye eneo hilo la uchaguzi ndiyo wanang'ang'ania katiba mpya yaani wanapambania fair levels kwa wote wakiamini hiyo ndiyo nchia itakayo wapa nafasi ya kuweza kushinda.

All in all katiba mpya si kwenye mambo ya uchaguzi peke yake.
 
Nadhani inabidi kuirejea hii ajenda ya katiba mpya, ni kweli wananchi wanaitaka au ni wanasiasa ndio wanaitaka?

Kenya Wana katiba mpya, lakini bei za bidhaa ziko juu mpaka Leo Erick Omondi kaandamana Bungeni na akapigwa mabomu na kukamatwa. Na sisi wa katiba ya zamani bei ziko juu.

Tozo ziko juu, pale pale sawa na sisi wa katiba ya zamani.

Nadhani mabadiliko ya sheria zilizo chini ya katiba yanatosha. Mama Kaunda tume ya haki jinai, mapendekezo yake yakifanyiwa kazi, hutamuona mtu anasema katiba. Huko kwenye jinai ndiko wananchi wanakutana na mapolisi Kila siku.

Cha kushangaza, huko Kenya kwenye katiba mpya, Erick Omondi kaandamana, kapigwa mabomu, kakamatwa, na katiba mpya ipo inayotoa Uhuru wa kuandamana!

Let's go back to the drawing table. Ni katiba kweli tunataka au Kuna kitu tunataka lakini hatujui ni kitu gani! Ila Mimi kama nakiona Samia anakifanyia kazi, kwa ambao hawakioni, nitakuja na Uzi kuonyesha kwamba wananchi hawataki makaratasi na vyeo vipya.

Asamaleko!
Katiba iliyopo ndio chanzo cha kuwa na machawa kwenye siasa.
Katiba ikiruhusu...
wananchi kumkataa mbunge kwa kuwa na utendaji mbovu
viongozi wa juu kuondolewa kinga ya kushtakiwa wanapotoka madarakani
uchaguzi huru na haki
midahalo ya kitaifa na viongozi tuwaulize maswali
Na mengine mengi
Nakuhakikishia kutakuwa na mabadiriko makubwa sana.
Jiulize wabunge waliokuwa wanatupigia kelele kuwa Hayati JPM aongozewe muda wa kuongoza leo hii ndio hao hao wanasema mwamba aliharibu uchumi, kama sio upungufu wa akili ni nini hiki.
Kiongozi aliyesimamia kukataa chanjo ya UVIKO 19 leo hii ndie huyo huyo anahamasisha chanjo ya UVIKO wote huo ni uchawa.
Katiba ikibadirika kuna mambo mengi sana yataboreshwa.
 
..Raila anaweza kuwa na hoja kuhusu Tume ya Uchaguzi, lakini uchaguzi wa Kenya majority waliridhika kuwa ulikuwa huru na wa wazi.

..Watz tutengeneze katiba mpya bora, na tuunde tume huru. Tukiona kuna mahali pana upungufu tunaweza kuboresha.
Hao majority wewe umewapataje?
 
Nadhani inabidi kuirejea hii ajenda ya katiba mpya, ni kweli wananchi wanaitaka au ni wanasiasa ndio wanaitaka?

Kenya Wana katiba mpya, lakini bei za bidhaa ziko juu mpaka Leo Erick Omondi kaandamana Bungeni na akapigwa mabomu na kukamatwa. Na sisi wa katiba ya zamani bei ziko juu.

Tozo ziko juu, pale pale sawa na sisi wa katiba ya zamani.

Nadhani mabadiliko ya sheria zilizo chini ya katiba yanatosha. Mama Kaunda tume ya haki jinai, mapendekezo yake yakifanyiwa kazi, hutamuona mtu anasema katiba. Huko kwenye jinai ndiko wananchi wanakutana na mapolisi Kila siku.

Cha kushangaza, huko Kenya kwenye katiba mpya, Erick Omondi kaandamana, kapigwa mabomu, kakamatwa, na katiba mpya ipo inayotoa Uhuru wa kuandamana!

Let's go back to the drawing table. Ni katiba kweli tunataka au Kuna kitu tunataka lakini hatujui ni kitu gani! Ila Mimi kama nakiona Samia anakifanyia kazi, kwa ambao hawakioni, nitakuja na Uzi kuonyesha kwamba wananchi hawataki makaratasi na vyeo vipya.

Asamaleko!
Sasa hivi kila nchi watu wanalalamika maisha magumu. Hakuna kwenye unafuu.
 
Hivi unaelewa katiba ni nini?

Unaelewa kama katiba ikiwa nzuri nini faida zake?

Unaelewa katiba ikiwa mbovu nini madhara yake??

Jiulize hayo maswali na ukiyapatia majibu njoo na uzi mwingine.

Na achana na siasa njaa,
Hawezi kujiuliza hayo maana kichwani ni urojo mtupu.
 
Hivi unaelewa katiba ni nini?

Unaelewa kama katiba ikiwa nzuri nini faida zake?

Unaelewa katiba ikiwa mbovu nini madhara yake??

Jiulize hayo maswali na ukiyapatia majibu njoo na uzi mwingine.

Na achana na siasa njaa,
Naona umevurugwa
 
Nadhani inabidi kuirejea hii ajenda ya katiba mpya, ni kweli wananchi wanaitaka au ni wanasiasa ndio wanaitaka?

Kenya Wana katiba mpya, lakini bei za bidhaa ziko juu mpaka Leo Erick Omondi kaandamana Bungeni na akapigwa mabomu na kukamatwa. Na sisi wa katiba ya zamani bei ziko juu.

Tozo ziko juu, pale pale sawa na sisi wa katiba ya zamani.

Nadhani mabadiliko ya sheria zilizo chini ya katiba yanatosha. Mama Kaunda tume ya haki jinai, mapendekezo yake yakifanyiwa kazi, hutamuona mtu anasema katiba. Huko kwenye jinai ndiko wananchi wanakutana na mapolisi Kila siku.

Cha kushangaza, huko Kenya kwenye katiba mpya, Erick Omondi kaandamana, kapigwa mabomu, kakamatwa, na katiba mpya ipo inayotoa Uhuru wa kuandamana!

Let's go back to the drawing table. Ni katiba kweli tunataka au Kuna kitu tunataka lakini hatujui ni kitu gani! Ila Mimi kama nakiona Samia anakifanyia kazi, kwa ambao hawakioni, nitakuja na Uzi kuonyesha kwamba wananchi hawataki makaratasi na vyeo vipya.

Asamaleko!
Kwa hiyo ulikuwa unatakaje?
 
..Raila anaweza kuwa na hoja kuhusu Tume ya Uchaguzi, lakini uchaguzi wa Kenya majority waliridhika kuwa ulikuwa huru na wa wazi.

..Watz tutengeneze katiba mpya bora, na tuunde tume huru. Tukiona kuna mahali pana upungufu tunaweza kuboresha.
Majority wakiridhika hata na ujinga wanakuwa sahihi? Bora PhD ya Tale
 
Back
Top Bottom