Kenya wanafanya propaganda chafu kwenye msiba wa Rais Magufuli

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
8,647
Reaction score
9,604
Nimeangalia KTN News usiku wa leo, kweli Kenya wanafanya coverage kubwa sana kwenye msiba wa Rais Magufuli usiku kucha.
Wamebase kwenye negative tu za Rais Magufuli kiasi hakuna jema kabisa.

Kwanza wanaaminisha dunia kuwa Magufuli hajafariki kwa ugonjwa wa moyo ila ni Covid-19. Kwa station kubwa namna hii kuuaminisha dunia kuwa kafariki kwa Corona na sio Moyo kama ilivyoripotiwa na Makamu wa Rais sio jambo la kiungwana kabisa tena kwa media kubwa kama KTN.

Mahojiano yao yame-base kwa wale wakosoaji wa serekali tu na sijaona wenye +ve kuhusu serekali. Wanarudia tu speech za Magufuli ambazo zilikua na utata kama vile ng'ombe wa Kenya waliokamatwa Tanzania, mimba kwa watoto wa kike, upinzani na siasa, matumizi ya njia za uzazi wa mpango, idadi ya viongozi waliofariki kwa kuhisiwa corona.

Ikiangalia unaweza kudhani aliyefariki ni Rais wa Kenya na sio wa Tanzania maana coverage ni kubwa Kenya kuliko Tanzania. Kwa Kenya imekua kama vile furaha kwao maana wamepenyeza sana propaganda zao sana.
 
Kila mtu akale aliko peleka mboga!!
Mambo ya kuficha ficha ndo yameleta yote haya!
Watu wangetangaziwa mapema, wangemuombea huenda angepona!

Waliotakiwa kusema ukweli walitudanganya anachapa kazi, waongo wakasema ukweli anaumwa!
Sasa unazani mkweli ni nani!
Tumwamini yupi?
TUJISAHIHISHE TURUDISHE UMOJA
 
Acha upuuzi amefariki kwa corona.

Over.

Kwani katibu mkuu kiongozi si walisema ni moyo, ila primary couse ni corona
Nimeangalia KTN News usiku wa leo, kweli Kenya wanafanya coverage kubwa sana kwenye msiba wa Rais Magufuli usiku kucha.
Wamebase kwenye negative tu za Rais Magufuli kiasi hakuna jema kabisa.

Kwanza wanaaminisha dunia kuwa Magufuli hajafariki kwa ugonjwa wa moyo ila ni Covid 19. Kwa station kubwa namna hii kuuaminisha dunia kuwa kafariki kwa Corona na sio Moyo kama ilivyoripotiwa na Makamu wa Rais sio jambo la kiungwana kabisa tena kwa media kubwa kama KTN.

Mahojiano yao yame-base kwa wale wakosoaji wa serekali tu na sijaona wenye +ve kuhusu serekali. Wanarudia tu speech za Magufuli ambazo zilikua na utata kama vile ng'ombe wa Kenya waliokamatwa Tanzania, mimba kwa watoto wa kike, upinzani na siasa, matumizi ya njia za uzazi wa mpango, idadi ya viongozi waliofariki kwa kuhisiwa corona.

Ikiangalia unaweza kudhani aliyefariki ni Rais wa Kenya na sio wa Tanzania maana coverage ni kubwa Kenya kuliko Tanzania. Kwa Kenya imekua kama vile furaha kwao maana wamepenyeza sana propaganda zao sana.
 
Nimeangalia KTN News usiku wa leo, kweli Kenya wanafanya coverage kubwa sana kwenye msiba wa Rais Magufuli usiku kucha.
Wamebase kwenye negative tu za Rais Magufuli kiasi hakuna jema kabisa.

Kwanza wanaaminisha dunia kuwa Magufuli hajafariki kwa ugonjwa wa moyo ila ni Covid 19. Kwa station kubwa namna hii kuuaminisha dunia kuwa kafariki kwa Corona na sio Moyo kama ilivyoripotiwa na Makamu wa Rais sio jambo la kiungwana kabisa tena kwa media kubwa kama KTN.

Mahojiano yao yame-base kwa wale wakosoaji wa serekali tu na sijaona wenye +ve kuhusu serekali. Wanarudia tu speech za Magufuli ambazo zilikua na utata kama vile ng'ombe wa Kenya waliokamatwa Tanzania, mimba kwa watoto wa kike, upinzani na siasa, matumizi ya njia za uzazi wa mpango, idadi ya viongozi waliofariki kwa kuhisiwa corona.

Ikiangalia unaweza kudhani aliyefariki ni Rais wa Kenya na sio wa Tanzania maana coverage ni kubwa Kenya kuliko Tanzania. Kwa Kenya imekua kama vile furaha kwao maana wamepenyeza sana propaganda zao sana.
Naona unaendeleza kasumba ya kuupinga ukweli,acha hizo mwamba damu nyingi zinamlilia na muda si mrefu utaona nchi inanuru na amani na wananchi wakiishi kama alivyowafundisha mwalimu nyerere
 
Nimeangalia KTN News usiku wa leo, kweli Kenya wanafanya coverage kubwa sana kwenye msiba wa Rais Magufuli usiku kucha.
Wamebase kwenye negative tu za Rais Magufuli kiasi hakuna jema kabisa.

Kwanza wanaaminisha dunia kuwa Magufuli hajafariki kwa ugonjwa wa moyo ila ni Covid 19. Kwa station kubwa namna hii kuuaminisha dunia kuwa kafariki kwa Corona na sio Moyo kama ilivyoripotiwa na Makamu wa Rais sio jambo la kiungwana kabisa tena kwa media kubwa kama KTN.

Mahojiano yao yame-base kwa wale wakosoaji wa serekali tu na sijaona wenye +ve kuhusu serekali. Wanarudia tu speech za Magufuli ambazo zilikua na utata kama vile ng'ombe wa Kenya waliokamatwa Tanzania, mimba kwa watoto wa kike, upinzani na siasa, matumizi ya njia za uzazi wa mpango, idadi ya viongozi waliofariki kwa kuhisiwa corona.

Ikiangalia unaweza kudhani aliyefariki ni Rais wa Kenya na sio wa Tanzania maana coverage ni kubwa Kenya kuliko Tanzania. Kwa Kenya imekua kama vile furaha kwao maana wamepenyeza sana propaganda zao sana.
kidadari Kwa picha kama hii ni ngumu kuwaaminisha watu vinginevyo
IMG-20210318-WA0004.jpg
 
TV 47 wapumbavu sana.
Wameandika "BE WARNED THIRD COVID"
 
Nimeangalia KTN News usiku wa leo, kweli Kenya wanafanya coverage kubwa sana kwenye msiba wa Rais Magufuli usiku kucha.
Wamebase kwenye negative tu za Rais Magufuli kiasi hakuna jema kabisa.

Kwanza wanaaminisha dunia kuwa Magufuli hajafariki kwa ugonjwa wa moyo ila ni Covid 19. Kwa station kubwa namna hii kuuaminisha dunia kuwa kafariki kwa Corona na sio Moyo kama ilivyoripotiwa na Makamu wa Rais sio jambo la kiungwana kabisa tena kwa media kubwa kama KTN.

Mahojiano yao yame-base kwa wale wakosoaji wa serekali tu na sijaona wenye +ve kuhusu serekali. Wanarudia tu speech za Magufuli ambazo zilikua na utata kama vile ng'ombe wa Kenya waliokamatwa Tanzania, mimba kwa watoto wa kike, upinzani na siasa, matumizi ya njia za uzazi wa mpango, idadi ya viongozi waliofariki kwa kuhisiwa corona.

Ikiangalia unaweza kudhani aliyefariki ni Rais wa Kenya na sio wa Tanzania maana coverage ni kubwa Kenya kuliko Tanzania. Kwa Kenya imekua kama vile furaha kwao maana wamepenyeza sana propaganda zao sana.
Nimemsikiliza salim kikeke nae yuko very negative. Ni mitazamo yao ila kwa kenya kuna fursa wanaiona wanadhani THE AWAKENING GIANT WILL GO BACK TO SLEEP...
 
Ebu tulia uandike vzr.
Ni kweli hata mimi nimeshindwa kuendelea kutazama.Maana interview nzima wanazungumza ubaya mtupu. Kwanza wao wanasema direct 100% kuwa Magufuli amekufa kwa Covid-19. Kitu ambacho ni kinyume na taarifa iliyotolewa na mama Samia. Ukiwaangalia hata usoni unaona jinsi wanavyochekelea kifo cha Rais wetu
 
Back
Top Bottom