Kenya wanafanya propaganda chafu kwenye msiba wa Rais Magufuli

Naona mleta mada ulishakaririshwa unafiki,uzandiki na uongo na Mwendazake. Marehemu hakuwa na jema lolote kwa nchi hii,ukiona kuna jema ujue alilifanya kwa faida zake binafsi. Kuzimu kunamuhusu huyu muuaji.
Wewe ni tokeo la laana toka kwa wazazi wako
 
tuendelee kujenga uchumi wa taifa kama rais wetu alivyo tusii.,Mataifa mageni watakuwa wame fanya figisu hapa haiwezekani rais mwenye sifa za ujasiri afariki kimya kimya, hapa inaokekana kabisa kuna watu wamelipwa kumuondoa rais wetu ..ni hayo tu.
 
Nimeangalia KTN News usiku wa leo, kweli Kenya wanafanya coverage kubwa sana kwenye msiba wa Rais Magufuli usiku kucha.
Wamebase kwenye negative tu za Rais Magufuli kiasi hakuna jema kabisa.

Kwanza wanaaminisha dunia kuwa Magufuli hajafariki kwa ugonjwa wa moyo ila ni Covid-19. Kwa station kubwa namna hii kuuaminisha dunia kuwa kafariki kwa Corona na sio Moyo kama ilivyoripotiwa na Makamu wa Rais sio jambo la kiungwana kabisa tena kwa media kubwa kama KTN.

Mahojiano yao yame-base kwa wale wakosoaji wa serekali tu na sijaona wenye +ve kuhusu serekali. Wanarudia tu speech za Magufuli ambazo zilikua na utata kama vile ng'ombe wa Kenya waliokamatwa Tanzania, mimba kwa watoto wa kike, upinzani na siasa, matumizi ya njia za uzazi wa mpango, idadi ya viongozi waliofariki kwa kuhisiwa corona.

Ikiangalia unaweza kudhani aliyefariki ni Rais wa Kenya na sio wa Tanzania maana coverage ni kubwa Kenya kuliko Tanzania. Kwa Kenya imekua kama vile furaha kwao maana wamepenyeza sana propaganda zao sana.
Si mlisema wakenya wanatamani magufuli awe rais wao na yule proof zwazwa akatunga msamiati magufulification of afrika.
 
Naona mleta mada ulishakaririshwa unafiki,uzandiki na uongo na Mwendazake. Marehemu hakuwa na jema lolote kwa nchi hii,ukiona kuna jema ujue alilifanya kwa faida zake binafsi. Kuzimu kunamuhusu huyu muuaji.
Wanjiru... ....

Kama wewe ni mkenya...hutaweza kuona jema hata moja ....Kenya mlishaanza kufundishwa namna ya kuishi bila kupenyeza mirija Tz..

Hakuna mkamilifu ila mbaya halisi na wema hakosi..

Pamoja na yote... RIP ...Mwamba...!
 
1.Stiggler's project itakamilika
2. Sgr project itakamilika
3. E.t.c.

MNAOKESHA KUOMBA MABAYA HAMTAKAA MFANIKIWE KUYAONA YANATIMIA.
TANZANIA MBELE KWA MBELE AFE KIPA AFE BEKI CHUMA KISHASHIKA MOTO.
 
kidadari Kwa picha kama hii ni ngumu kuwaaminisha watu vinginevyoView attachment 1728534
Mkuu, huku kwenye fani yangu kuna kitu tunaita 'legal reasoning' ambayo mara zote ina premises 3, kwa mfano:

*Wachaga wote ni wabahili
* Tarimo ni mchaga
*Kwahiyo...Tarimo ni mbahili.

Tujikite kwenye picha uliyoiambatanisha kwenye comment yako:

*Wote wanne wanaoonekana kwenye picha hii wamefariki dunia.
*Watatu kutangulia kufariki walifariki kwa Covid.
*Wa mwisho kufariki kati yao amefariki kwa ..... (malizia)

Mara zote ile premise ya tatu ambayo ni ya mwisho inatokana na premises mbili zilizotangulia.

Kwahiyo tusiendelee kudanganyana. Tunafahamu Baba yetu amefariki kwa ugonjwa gani. R.I.P JPM.
 
Ngoja kwanza tuvuke hapa.hayo mengine badae.
usije ukashangaa mabeyo kaingia mtaani.
1.Stiggler's project itakamilika
2. Sgr project itakamilika
3. E.t.c.

MNAOKESHA KUOMBA MABAYA HAMTAKAA MFANIKIWE KUYAONA YANATIMIA.
TANZANIA MBELE KWA MBELE AFE KIPA AFE BEKI CHUMA KISHASHIKA MOTO.
 
Nimeangalia KTN News usiku wa leo, kweli Kenya wanafanya coverage kubwa sana kwenye msiba wa Rais Magufuli usiku kucha.
Wamebase kwenye negative tu za Rais Magufuli kiasi hakuna jema kabisa.

Kwanza wanaaminisha dunia kuwa Magufuli hajafariki kwa ugonjwa wa moyo ila ni Covid-19. Kwa station kubwa namna hii kuuaminisha dunia kuwa kafariki kwa Corona na sio Moyo kama ilivyoripotiwa na Makamu wa Rais sio jambo la kiungwana kabisa tena kwa media kubwa kama KTN.

Mahojiano yao yame-base kwa wale wakosoaji wa serekali tu na sijaona wenye +ve kuhusu serekali. Wanarudia tu speech za Magufuli ambazo zilikua na utata kama vile ng'ombe wa Kenya waliokamatwa Tanzania, mimba kwa watoto wa kike, upinzani na siasa, matumizi ya njia za uzazi wa mpango, idadi ya viongozi waliofariki kwa kuhisiwa corona.

Ikiangalia unaweza kudhani aliyefariki ni Rais wa Kenya na sio wa Tanzania maana coverage ni kubwa Kenya kuliko Tanzania. Kwa Kenya imekua kama vile furaha kwao maana wamepenyeza sana propaganda zao sana.
Wana haki maana hawa wa kwetu walikalia news hizo mpaka walipoumbuliwa na kifo..... wataanzaje kutangaza kifo ilhali walikaa kimya juu ya ugonjwa?!!
Wakenya wanacheza na fursa...... mara ngapi tumewashutumu kuhusu wao kujigamba na kufanyia kazi majigambo hayo kuwa Mlima Kilimanjaro uko kwao? Tanzania imefanya nini kimataifa kukanusha hilo?.....
 
Kila mtu akale aliko peleka mboga!!
Mambo ya kuficha ficha ndo yameleta yote haya!
Watu wangetangaziwa mapema, wangemuombea huenda angepona!

Waliotakiwa kusema ukweli walitudanganya anachapa kazi, waongo wakasema ukweli anaumwa!
Sasa unazani mkweli ni nani!
Tumwamini yupi?
TUJISAHIHISHE TURUDISHE UMOJA
Wewe unajadili kuhusu kudanganywa,mleta mada yeye ana hoja nyingine,duuuh binadamu!!!
 
Ngoja kwanza tuvuke hapa.hayo mengine badae.
usije ukashangaa mabeyo kaingia mtaani.
Kuna uzi mmoja @hol
Ngoja kwanza tuvuke hapa.hayo mengine badae.
usije ukashangaa mabeyo kaingia mtaani.
Kuna uzi mmoja bwana Holy Man aliweka bayana kwamba huweza pewa TPDF yote wala TISS yote wala POLICE FORCE yote.
NCHI IKO MIKONO SALAMA na kimya kilichopita ilikua ni katika mikakati ya kufanya proper power staging
 
Watanzania acheni ujuha, yaani mumekaa mnafuatilia media za Kenya, ina maana za kwenu zipo kimya au nini sababu za kuhangaika utumie media za majirani zako kufuatilia yanayoendelea ndani ya nchi yako, unless kama wewe ni Mtanzania unayeishi Kenya, haingii aikilini.
Huu ni muda wa kutafakari wapi mlitegukia, nini cha kurekebisha.
 
Nimeangalia KTN News usiku wa leo, kweli Kenya wanafanya coverage kubwa sana kwenye msiba wa Rais Magufuli usiku kucha.
Wamebase kwenye negative tu za Rais Magufuli kiasi hakuna jema kabisa.

Kwanza wanaaminisha dunia kuwa Magufuli hajafariki kwa ugonjwa wa moyo ila ni Covid-19. Kwa station kubwa namna hii kuuaminisha dunia kuwa kafariki kwa Corona na sio Moyo kama ilivyoripotiwa na Makamu wa Rais sio jambo la kiungwana kabisa tena kwa media kubwa kama KTN.

Mahojiano yao yame-base kwa wale wakosoaji wa serekali tu na sijaona wenye +ve kuhusu serekali. Wanarudia tu speech za Magufuli ambazo zilikua na utata kama vile ng'ombe wa Kenya waliokamatwa Tanzania, mimba kwa watoto wa kike, upinzani na siasa, matumizi ya njia za uzazi wa mpango, idadi ya viongozi waliofariki kwa kuhisiwa corona.

Ikiangalia unaweza kudhani aliyefariki ni Rais wa Kenya na sio wa Tanzania maana coverage ni kubwa Kenya kuliko Tanzania. Kwa Kenya imekua kama vile furaha kwao maana wamepenyeza sana propaganda zao sana.
Hawa pimbi sijui tuwafanyaje tu
 
Back
Top Bottom