mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Sasa hapo utakuwa unalazimisha fikra zako.
Ila ukweli ndo huo.
Ila ukweli ndo huo.
Haiondoi uhalisia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haiondoi uhalisia
Nimeangalia KTN News usiku wa leo, kweli Kenya wanafanya coverage kubwa sana kwenye msiba wa Rais Magufuli usiku kucha.
Wamebase kwenye negative tu za Rais Magufuli kiasi hakuna jema kabisa.
Kwanza wanaaminisha dunia kuwa Magufuli hajafariki kwa ugonjwa wa moyo ila ni Covid-19. Kwa station kubwa namna hii kuuaminisha dunia kuwa kafariki kwa Corona na sio Moyo kama ilivyoripotiwa na Makamu wa Rais sio jambo la kiungwana kabisa tena kwa media kubwa kama KTN.
Mahojiano yao yame-base kwa wale wakosoaji wa serekali tu na sijaona wenye +ve kuhusu serekali. Wanarudia tu speech za Magufuli ambazo zilikua na utata kama vile ng'ombe wa Kenya waliokamatwa Tanzania, mimba kwa watoto wa kike, upinzani na siasa, matumizi ya njia za uzazi wa mpango, idadi ya viongozi waliofariki kwa kuhisiwa corona.
Ikiangalia unaweza kudhani aliyefariki ni Rais wa Kenya na sio wa Tanzania maana coverage ni kubwa Kenya kuliko Tanzania. Kwa Kenya imekua kama vile furaha kwao maana wamepenyeza sana propaganda zao sana.
Mimi nazungumzia uhalisia wewe unazungumzia ukweli ...kamwe hatuwezi kufananaSasa hapo utakuwa unalazimisha fikra zako.
Ila ukweli ndo huo.
Acha kuitwa muongo we hata kama ungeambiwa mapema watu wangemuombea akapona.hivi kuna mtu ambaye angepona Kwa maombi kama Mwl nyerere mbona mnependa kufanya mizaha MDA mwingine.au hata ungeambiwa angepona kweli jamani.Kila mtu akale aliko peleka mboga!!
Mambo ya kuficha ficha ndo yameleta yote haya!
Watu wangetangaziwa mapema, wangemuombea huenda angepona!
Waliotakiwa kusema ukweli walitudanganya anachapa kazi, waongo wakasema ukweli anaumwa!
Sasa unazani mkweli ni nani!
Tumwamini yupi?
TUJISAHIHISHE TURUDISHE UMOJA
Shukrani sana mkuu!👏👏👏Ndani ya miaka mitano Taifa limepita katika hali ngumu sanaNaona mleta mada ulishakaririshwa unafiki,uzandiki na uongo na Mwendazake. Marehemu hakuwa na jema lolote kwa nchi hii,ukiona kuna jema ujue alilifanya kwa faida zake binafsi. Kuzimu kunamuhusu huyu muuaji.
Mimi nazungumzia uhalisia wewe unazungumzia ukweli ...kamwe hatuwezi kufanana
Ukweli hubadilika kulingana na utashi na mazingira lakini uhalisia hubaki kama ulivyo bila kujali utashi ama mazingira
Nakubaliana nawe. Marais wengine wakiugua hawakuficha ukweli. Kuna uwezekano JPM alikuwepo Kenya kwa matibabu. KTN labda wana sources zao.Kila mtu akale aliko peleka mboga!!
Mambo ya kuficha ficha ndo yameleta yote haya!
Watu wangetangaziwa mapema, wangemuombea huenda angepona!
Waliotakiwa kusema ukweli walitudanganya anachapa kazi, waongo wakasema ukweli anaumwa!
Sasa unazani mkweli ni nani!
Tumwamini yupi?
TUJISAHIHISHE TURUDISHE UMOJA
Serikali ipi hiyo?Serikali inasema kafa kwa ugonjwa wa moyo.
TUISHIE HAPO.
Wawahi kufanya hivyoMuda si mrefu, TCRA watavifungia vyombo vya habari vya Kenya kwasbb siyo Wazalendo.
Wanasema hakukandamiza uhuru wa habari, ila alikuwa hataki waandishi makanjanjaNasngakia tbc hapa yaani Shida. Ni zile ZA kusifia tuuuuuu. Huyu balle na hiyo Boss wa tbc ni habari. Full kusifia
Serikali ipi hiyo?
Ile iliyosema Rais ni Mzima na anachapa kazi kama kawaida, sio mtu wa kwenda Kariakoo?
Wala mamlaka hazistahili lawama. Wao walikuwa wanajaribu kuendana na matakwa ya jiwe. Imagine wangetoa taarifa zake, alaf ikatokea akapona, ingekuwaje?Zilaumu mamlaka zetu kwanza,wakati watanzania wanahoji ni Nini kinaendelea kwa Rais wetu waliamua kukaa kimya na kuvipa nafasi vyombo vya habari vya Kenya kutoa habari.wandishi wetu waliotaka habari za Rais hawakujibiwa na hawakutaka kuandika kuhofia Sheria wakaja fungiwa.kwa hili viongozi wetu taarfa zao haziaminiki.
Unamini amekufa Jana?Wala mamlaka hazistahili lawama. Wao walikuwa wanajaribu kuendana na matakwa ya jiwe. Imagine wangetoa taarifa zake, alaf ikatokea akapona, ingekuwaje?
Nafuatilia jwa karibu ndugu waliokamatwa kutokana na tukio lile kabla, nione jeshi la polisi watawafungulia kesi gani.Hii ni DUNIA YA DOT COM huwezi kuficha tena kitu chochote lkn wapiii watu wabaya sana taifa limeshindwa kumuombea kwa ubaya wao na uongo kila mtu leo kapigwa bumbu wazi lkn ndio UKWELII.