Kenya wanafanya propaganda chafu kwenye msiba wa Rais Magufuli


Anzisha chombo chako cha habari utoe vitu unavyotaka wewe mkuu...yeye alishawai kusema hapangiwi ,je wao ni nani tuwapangaie?
 
Acha kuitwa muongo we hata kama ungeambiwa mapema watu wangemuombea akapona.hivi kuna mtu ambaye angepona Kwa maombi kama Mwl nyerere mbona mnependa kufanya mizaha MDA mwingine.au hata ungeambiwa angepona kweli jamani.
 
Naona mleta mada ulishakaririshwa unafiki,uzandiki na uongo na Mwendazake. Marehemu hakuwa na jema lolote kwa nchi hii,ukiona kuna jema ujue alilifanya kwa faida zake binafsi. Kuzimu kunamuhusu huyu muuaji.
Shukrani sana mkuu!👏👏👏Ndani ya miaka mitano Taifa limepita katika hali ngumu sana
 
Basi acha nifuate ukweli
Mimi nazungumzia uhalisia wewe unazungumzia ukweli ...kamwe hatuwezi kufanana
Ukweli hubadilika kulingana na utashi na mazingira lakini uhalisia hubaki kama ulivyo bila kujali utashi ama mazingira
 
Nasngakia tbc hapa yaani Shida. Ni zile ZA kusifia tuuuuuu. Huyu balle na hiyo Boss wa tbc ni habari. Full kusifia
 
Nakubaliana nawe. Marais wengine wakiugua hawakuficha ukweli. Kuna uwezekano JPM alikuwepo Kenya kwa matibabu. KTN labda wana sources zao.
 
Zilaumu mamlaka zetu kwanza,wakati watanzania wanahoji ni Nini kinaendelea kwa Rais wetu waliamua kukaa kimya na kuvipa nafasi vyombo vya habari vya Kenya kutoa habari.wandishi wetu waliotaka habari za Rais hawakujibiwa na hawakutaka kuandika kuhofia Sheria wakaja fungiwa.kwa hili viongozi wetu taarfa zao haziaminiki.
 
Kenya hali ya Covid ni mbaya sana. Hakuna kitanda kimesalia.
 
Nasngakia tbc hapa yaani Shida. Ni zile ZA kusifia tuuuuuu. Huyu balle na hiyo Boss wa tbc ni habari. Full kusifia
Wanasema hakukandamiza uhuru wa habari, ila alikuwa hataki waandishi makanjanja
 
Wala mamlaka hazistahili lawama. Wao walikuwa wanajaribu kuendana na matakwa ya jiwe. Imagine wangetoa taarifa zake, alaf ikatokea akapona, ingekuwaje?
 
Hii ni DUNIA YA DOT COM huwezi kuficha tena kitu chochote lkn wapiii watu wabaya sana taifa limeshindwa kumuombea kwa ubaya wao na uongo kila mtu leo kapigwa bumbu wazi lkn ndio UKWELII.
Nafuatilia jwa karibu ndugu waliokamatwa kutokana na tukio lile kabla, nione jeshi la polisi watawafungulia kesi gani.
 
Hao ni manyang'au, waache waendelee na unyang'au wao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…