Kenya wanajivunia generation Z, Tanzania tunajivunia uchawa!

Kenya wanajivunia generation Z, Tanzania tunajivunia uchawa!

WE CAN'T MOVES IN SAME WAY, WACHA WAO WAENDE NA GENERATION, Z, SISI NA RAIS WETU, TUKAZANIE KUJAKIKISHA TUNA VIWANDA VINGI, KILIMO SAFI, UONGOZI SAFI, TUBORESHE HUDUMA SAFI ZA KIJAMII, INATOSHA, HATUWEZI KUWAIGA WEHU NA MATAHAIRA.
Wanaandamana watu huko nchi zilizoendelea ndio itakuwa Tanzania?
 
WE CAN'T MOVES IN SAME WAY, WACHA WAO WAENDE NA GENERATION, Z, SISI NA RAIS WETU, TUKAZANIE KUJAKIKISHA TUNA VIWANDA VINGI, KILIMO SAFI, UONGOZI SAFI, TUBORESHE HUDUMA SAFI ZA KIJAMII, INATOSHA, HATUWEZI KUWAIGA WEHU NA MATAHAIRA.
Umeandika ujingaujinga!Chawa umeshiba mlenda.
 
Kuandamana kunapande mbili, waandamanaji wanapaza sauti zao kwa mambo maovu/ambayo hawafurahishwi nayo, watawala wasikilize na kuyafanyia kazi...

Kwetu hata uandamane vipi, watawala wamekuwa miungu ya babeli, hawasikii chochote maana wana hati miliki ya kutawala taifa hili milele.
 
""Kuna zuzu mmoja, nyakati hizo za vijiweni, aliwahi kusema, #kunguni ya chadema, sisi hatuna hela wengine wana hela chafu, natamani nchi ivurugike tupigane wee tupeane heshima halafu sote tuanze upya kutafuta maisha" """
# Hizi ndizo akili za baadhi ya wajinga!/kunguni.
 
Nyerere angeitwa mpenda ghasia.Tetea ujinga huku bibi yako anapika kwa kutumia mabua kijijini kwenu.
Nyerere alitutoa kwenye ukoloni, pia zile ndizo zilizokuwa harakati za 60s, kwa bara zima la Afrika, hata Nyerere asingetokea nchi ingepata uhuru kwa vyovyote vile,
#kunguni kuwa na ufahamu japo kidogo!
 
Wangekua na akili kama zako mbona saa hizi ungekua umevaa kamanyola wewe fisi wa kampeni za CCM!
 
WE CAN'T MOVES IN SAME WAY, WACHA WAO WAENDE NA GENERATION, Z, SISI NA RAIS WETU, TUKAZANIE KUJAKIKISHA TUNA VIWANDA VINGI, KILIMO SAFI, UONGOZI SAFI, TUBORESHE HUDUMA SAFI ZA KIJAMII, INATOSHA, HATUWEZI KUWAIGA WEHU NA MATAHAIRA.
Our mistake was ujamaa, kwa namna TZ tunaanza kuukacha ujamaa kwa kujenga Nyerere Dam na kuanza Public Private Partnership model kama kwenye SGR , Bandari na Mwendokasi public transport soon tutaipita kiuchumi Kenya, nchi iliyojaa mataahira na wehu wanaoendeshwa na mihemko na kuiga utandawazi usio na faida Africa, vijana weusi much know wanaoishi kwenye nchi maskini, vijana wanaopambana na effects na wala sio causes.(hapa bongo tumewapita Kenya kiakili).

Shida ya raia wa Kenya ni kuwa much know na kushindwa kuwa na akili ya kudhibiti ufisadi na ukabila (causes) unaokwamisha miradi kukamilika mfano SGR iliyoishia Naivasha kwa ufisadi huku mikopo ikihitaji kulipwa kwa tozo and VAT (effects).

Maandamano ya Gen Z kupinga tozo na kodi ni ujinga uliotukuka, walitakiwa kuandamana kupinga ufisadi, matumizi mabaya ya pesa za umma na ukabila. Basi kijana wa kijaluo kuiba farasi wa polisi imetrend Kenya wamejisifiaaaaa mno kuwa na kijana outlaw mjinga kama yule ambae sasa anauliza namna ya kumfunga breki farasi maana mnyama anaenda tu sasa hivi anaingia nae mpaka wa Somalia!!

Sasa mgogoro utakuwa mkubwa na hauna suluhu maana serikali ya Kenya inadaiwa mikopo na ili kuilipa kukwepa nchi na raia wake kuuzwa China inatakiwa kuweka tozo na kodi ziwe juu na raia hawataki kulipa maana ni viongozi wa kabila moja walioiba na kufaidi mikopo.

Hii inaitwa werevu mwingi mbele Giza ndio hasa hulka ya Gen Z ya Kenya
 
Bila shaka watu wote tumeona namna vijana wa Kenya maarufu kama generation Z walivyoitisha mtiti mzito kwa kupiga maandamano mazito mitaani ya kupinga mswada wa bajeti uliolenga kuwakamua zaidi kupitia kodi na tozo mbalimbali. Vijana wale kupitia mitandao ya kijamii pasipo msukumo wa wanasiasa wameweza kuhamasishana na kujipanga vyema, wamepiga kunji zito mtaani pasipo kujali vitisho, risasi, maji ya kuwasha, mabomu ya machozi, virungu vya mamia ya polisi katili wa Kenya waliomwagwa mitaani kuwadhibiti. Hamasa na mtindo wao wa kupiga maandamano umekuwa wa kipekee mnoo kiasi cha kuitisha serikali ya Kenya na kuiamsha dunia.

Huo ndio upande wa vijana wa Kenya, ukija upande wa Tanzania, upande wenye vijana watumiaji wengi zaidi wa mitandao huenda kuliko nchi yoyote ile katika ukanda wa Afrika mashariki na kati, vijana wake wako busy mnoo mitandaoni kusaka connection za ngono na umbeya, kubet, kuchambua soka, kupost picha zao zilizohaririwa, kudanga na kusaka madanga na kubwa kuliko yote kuupigia debe uchawa.

Leo hii hapa Tanzania, vijana machawa ndio kizazi cha dhahabu, machawa wanapewa mpaka mialiko rasmi bungeni na Ikulu. Uchawa umepewa hadhi ya kipekee, vijana wanajivunia uchawa, vijana wanatamani kuwa machawa na serikali inaupigia debe uchawa kama ndio njia bora ya kujiajiri.

Maskini vijana wa Tanzania!
Sisi vijana wetu akina Lucas kutwa kucha kuimba mapambio ya usifu watesi wao .
 
Uliwahi Kusoma Chochote Kuhusu Kuhusu Karl marx Theory of Development? Au uliwahi kusoma Ruling class au Marx Class theory?? Au uliwahi kusoma Marxian Economic?? Au uliwahi kusoma Marx module on Ideology??

Kama Hizi Theory chache (Japo Ziko nyingi) uliwahi kuzisoma then sitaki kuamini unashangaa kuona Tabaka Tawaliwa Likidai haki kutoka Tabaka Tawala..Ambayo ni haki yao kabisa...
Asome wapi huyo chawa?Wao wanaamini kuwa bila ccm hakuna maisha duniani .
 
Bila shaka watu wote tumeona namna vijana wa Kenya maarufu kama generation Z walivyoitisha mtiti mzito kwa kupiga maandamano mazito mitaani ya kupinga mswada wa bajeti uliolenga kuwakamua zaidi kupitia kodi na tozo mbalimbali. Vijana wale kupitia mitandao ya kijamii pasipo msukumo wa wanasiasa wameweza kuhamasishana na kujipanga vyema, wamepiga kunji zito mtaani pasipo kujali vitisho, risasi, maji ya kuwasha, mabomu ya machozi, virungu vya mamia ya polisi katili wa Kenya waliomwagwa mitaani kuwadhibiti. Hamasa na mtindo wao wa kupiga maandamano umekuwa wa kipekee mnoo kiasi cha kuitisha serikali ya Kenya na kuiamsha dunia.

Huo ndio upande wa vijana wa Kenya, ukija upande wa Tanzania, upande wenye vijana watumiaji wengi zaidi wa mitandao huenda kuliko nchi yoyote ile katika ukanda wa Afrika mashariki na kati, vijana wake wako busy mnoo mitandaoni kusaka connection za ngono na umbeya, kubet, kuchambua soka, kupost picha zao zilizohaririwa, kudanga na kusaka madanga na kubwa kuliko yote kuupigia debe uchawa.

Leo hii hapa Tanzania, vijana machawa ndio kizazi cha dhahabu, machawa wanapewa mpaka mialiko rasmi bungeni na Ikulu. Uchawa umepewa hadhi ya kipekee, vijana wanajivunia uchawa, vijana wanatamani kuwa machawa na serikali inaupigia debe uchawa kama ndio njia bora ya kujiajiri.

Maskini vijana wa Tanzania!
Kunatofauti kubwa sana kati ya RAIA wa KENYA na wajinga wa tanzania. Ukilijua hilo utaendelea tu na mambo yako
 
Back
Top Bottom