Wanaandamana watu huko nchi zilizoendelea ndio itakuwa Tanzania?WE CAN'T MOVES IN SAME WAY, WACHA WAO WAENDE NA GENERATION, Z, SISI NA RAIS WETU, TUKAZANIE KUJAKIKISHA TUNA VIWANDA VINGI, KILIMO SAFI, UONGOZI SAFI, TUBORESHE HUDUMA SAFI ZA KIJAMII, INATOSHA, HATUWEZI KUWAIGA WEHU NA MATAHAIRA.
""itambue thamani yako, ujitawale,sisi sio wao""/ times is monez!Wanaandamana watu huko nchi zilizoendelea ndio itakuwa Tanzania?
Duh! Wenyewe wanajisifu.Hahah Chadema Hawakuandamana ila walisaidiwa na Serkali kufufua Chama 😅😅
Ili watangaze chama Chao..
Yale sio maandamano 🤣🤣
Wewe unajielewa kweli?Maiti!inamaana kuandama nayo ni ustaarabu au ni sehemu ya maendeleo? , ufahamu na ufikiri wenu ni.....
Sasa usione kwamba kuandamana ni ujinga au kwa sababu nchi haina maendeleo.""sisi sio wao""/ times is monez!
Umeandika ujingaujinga!Chawa umeshiba mlenda.WE CAN'T MOVES IN SAME WAY, WACHA WAO WAENDE NA GENERATION, Z, SISI NA RAIS WETU, TUKAZANIE KUJAKIKISHA TUNA VIWANDA VINGI, KILIMO SAFI, UONGOZI SAFI, TUBORESHE HUDUMA SAFI ZA KIJAMII, INATOSHA, HATUWEZI KUWAIGA WEHU NA MATAHAIRA.
Kunguni ya chadema naona mngelipenda ghasia kila wakati.Umeandika ujingaujinga!Chawa umeshiba mlenda.
Nyerere angeitwa mpenda ghasia.Tetea ujinga huku bibi yako anapika kwa kutumia mabua kijijini kwenu.Kunguni ya chadema naona mngelipenda ghasia kila wakati.
Nyerere alitutoa kwenye ukoloni, pia zile ndizo zilizokuwa harakati za 60s, kwa bara zima la Afrika, hata Nyerere asingetokea nchi ingepata uhuru kwa vyovyote vile,Nyerere angeitwa mpenda ghasia.Tetea ujinga huku bibi yako anapika kwa kutumia mabua kijijini kwenu.
Wangekua na akili kama zako mbona saa hizi ungekua umevaa kamanyola wewe fisi wa kampeni za CCM!Nyerere alitutoa kwenye ukoloni, pia zile ndizo zilizokuwa harakati za 60s, kwa bara zima la Afrika, hata Nyerere asingetokea nchi ingepata uhuru kwa vyovyote vile,
#kunguni kuwa na ufahamu japo kidogo!
Our mistake was ujamaa, kwa namna TZ tunaanza kuukacha ujamaa kwa kujenga Nyerere Dam na kuanza Public Private Partnership model kama kwenye SGR , Bandari na Mwendokasi public transport soon tutaipita kiuchumi Kenya, nchi iliyojaa mataahira na wehu wanaoendeshwa na mihemko na kuiga utandawazi usio na faida Africa, vijana weusi much know wanaoishi kwenye nchi maskini, vijana wanaopambana na effects na wala sio causes.(hapa bongo tumewapita Kenya kiakili).WE CAN'T MOVES IN SAME WAY, WACHA WAO WAENDE NA GENERATION, Z, SISI NA RAIS WETU, TUKAZANIE KUJAKIKISHA TUNA VIWANDA VINGI, KILIMO SAFI, UONGOZI SAFI, TUBORESHE HUDUMA SAFI ZA KIJAMII, INATOSHA, HATUWEZI KUWAIGA WEHU NA MATAHAIRA.
Wabongo tumelemazwa na falsafa ya ujamaa, wengi wetu tuko idle muda mwingi. And idle mind is the factory of sex.Kwamba watanzania wanapenda ngono kuliko wakenya?
Sisi vijana wetu akina Lucas kutwa kucha kuimba mapambio ya usifu watesi wao .Bila shaka watu wote tumeona namna vijana wa Kenya maarufu kama generation Z walivyoitisha mtiti mzito kwa kupiga maandamano mazito mitaani ya kupinga mswada wa bajeti uliolenga kuwakamua zaidi kupitia kodi na tozo mbalimbali. Vijana wale kupitia mitandao ya kijamii pasipo msukumo wa wanasiasa wameweza kuhamasishana na kujipanga vyema, wamepiga kunji zito mtaani pasipo kujali vitisho, risasi, maji ya kuwasha, mabomu ya machozi, virungu vya mamia ya polisi katili wa Kenya waliomwagwa mitaani kuwadhibiti. Hamasa na mtindo wao wa kupiga maandamano umekuwa wa kipekee mnoo kiasi cha kuitisha serikali ya Kenya na kuiamsha dunia.
Huo ndio upande wa vijana wa Kenya, ukija upande wa Tanzania, upande wenye vijana watumiaji wengi zaidi wa mitandao huenda kuliko nchi yoyote ile katika ukanda wa Afrika mashariki na kati, vijana wake wako busy mnoo mitandaoni kusaka connection za ngono na umbeya, kubet, kuchambua soka, kupost picha zao zilizohaririwa, kudanga na kusaka madanga na kubwa kuliko yote kuupigia debe uchawa.
Leo hii hapa Tanzania, vijana machawa ndio kizazi cha dhahabu, machawa wanapewa mpaka mialiko rasmi bungeni na Ikulu. Uchawa umepewa hadhi ya kipekee, vijana wanajivunia uchawa, vijana wanatamani kuwa machawa na serikali inaupigia debe uchawa kama ndio njia bora ya kujiajiri.
Maskini vijana wa Tanzania!
Asome wapi huyo chawa?Wao wanaamini kuwa bila ccm hakuna maisha duniani .Uliwahi Kusoma Chochote Kuhusu Kuhusu Karl marx Theory of Development? Au uliwahi kusoma Ruling class au Marx Class theory?? Au uliwahi kusoma Marxian Economic?? Au uliwahi kusoma Marx module on Ideology??
Kama Hizi Theory chache (Japo Ziko nyingi) uliwahi kuzisoma then sitaki kuamini unashangaa kuona Tabaka Tawaliwa Likidai haki kutoka Tabaka Tawala..Ambayo ni haki yao kabisa...
Adi ww pia hujitambuiiWatanzania tatizo letu hatujitambua,na hii itatugharimu miaka na miaka
Kunatofauti kubwa sana kati ya RAIA wa KENYA na wajinga wa tanzania. Ukilijua hilo utaendelea tu na mambo yakoBila shaka watu wote tumeona namna vijana wa Kenya maarufu kama generation Z walivyoitisha mtiti mzito kwa kupiga maandamano mazito mitaani ya kupinga mswada wa bajeti uliolenga kuwakamua zaidi kupitia kodi na tozo mbalimbali. Vijana wale kupitia mitandao ya kijamii pasipo msukumo wa wanasiasa wameweza kuhamasishana na kujipanga vyema, wamepiga kunji zito mtaani pasipo kujali vitisho, risasi, maji ya kuwasha, mabomu ya machozi, virungu vya mamia ya polisi katili wa Kenya waliomwagwa mitaani kuwadhibiti. Hamasa na mtindo wao wa kupiga maandamano umekuwa wa kipekee mnoo kiasi cha kuitisha serikali ya Kenya na kuiamsha dunia.
Huo ndio upande wa vijana wa Kenya, ukija upande wa Tanzania, upande wenye vijana watumiaji wengi zaidi wa mitandao huenda kuliko nchi yoyote ile katika ukanda wa Afrika mashariki na kati, vijana wake wako busy mnoo mitandaoni kusaka connection za ngono na umbeya, kubet, kuchambua soka, kupost picha zao zilizohaririwa, kudanga na kusaka madanga na kubwa kuliko yote kuupigia debe uchawa.
Leo hii hapa Tanzania, vijana machawa ndio kizazi cha dhahabu, machawa wanapewa mpaka mialiko rasmi bungeni na Ikulu. Uchawa umepewa hadhi ya kipekee, vijana wanajivunia uchawa, vijana wanatamani kuwa machawa na serikali inaupigia debe uchawa kama ndio njia bora ya kujiajiri.
Maskini vijana wa Tanzania!