Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Bila kumsahau kinara mkuu wao Geza Ulole...
Jombaa, umesahau na ya pipi?Machine ya juice mbona tunazo kibao tu!
Unamaanisha viwonder vya mvinyo? π Vipo jombaa.
Hatujui kuheshimu mikataba@ Acacia[emoji24] [emoji134] [emoji134]Kwa iyo mnataka kila kitu kifanyike Tz tu?
Hao wawekezaj wameona kwa hiya biashara yao Kenya itakua mahari sahih. Full stop
Wengin wakiona Tz ni mahar sahih kwa biashara yao watakuja
Ni hatua nzuri na ni jambo la kupendeza, pongezi kwa GoK kwa kwa kuweka mazingira rafiki kuvutia wawekezaji,
Hata hivyo ingekuwa vema pia haya mambo yaende sambamba na juhudi za makusudi za uwekezaji kwenye Kilimo ili kuokoa maisha ya maelfu ya wakenya wanaokufa kwa njaa kila Leo.
Endeleeni kujidanganya na ujinga wenu wa kivywama badala ya kuangalia tatizo lipo wapi, mnajidanganya na mambo madogo yasiyo na faida kwenye maendeleo.Maelfu ya Wakenya wanakufa kwa njaa kila leo, hehehe Watanzania mtapata lini uhuru wa kutumia ubongo kufikiria.
.....na Da Mange kupanga maandamano ya nyumbu woote taehe 26 !Hapo kwetu
Ni mauaji
Maandamano
Wasiojulikana
Jiwe la msingi kwenye kisima cha maji
TRA Wafunga maduka.....
N.k.
maumivu yamezidi kweli...πππYaani wakenya wanashangaza kweli? Badala ya kiwekeza katika kusaidia wananchi wao, wanendelea kuwa wachuuzi. Hapa TZ Youtong zimetapakaa.
.....maana madaraja yalipitisha mafusadi wakenda kusafishwa na waliowachafua.Tupo kujenga ukuts badala ya daraja.