Kenya wanapata madili mengi sana ya kimaendeleo

Kenya wanapata madili mengi sana ya kimaendeleo

Sisi huku tuko bize kufungua viwanda vya vyerehani tutakutana huko huko juu kwa juu
 
Machine ya juice mbona tunazo kibao tu!
Jombaa, umesahau na ya pipi?
tapatalk_1485009502701-jpeg.462300
😀😀😀
 
Ni hatua nzuri na ni jambo la kupendeza, pongezi kwa GoK kwa kwa kuweka mazingira rafiki kuvutia wawekezaji,
Hata hivyo ingekuwa vema pia haya mambo yaende sambamba na juhudi za makusudi za uwekezaji kwenye Kilimo ili kuokoa maisha ya maelfu ya wakenya wanaokufa kwa njaa kila Leo.
 
Source: Kenyan Wallstreet [emoji28], Very reliable blog
 
Kwa iyo mnataka kila kitu kifanyike Tz tu?
Hao wawekezaj wameona kwa hiya biashara yao Kenya itakua mahari sahih. Full stop
Wengin wakiona Tz ni mahar sahih kwa biashara yao watakuja
Hatujui kuheshimu mikataba@ Acacia[emoji24] [emoji134] [emoji134]
 
Ni hatua nzuri na ni jambo la kupendeza, pongezi kwa GoK kwa kwa kuweka mazingira rafiki kuvutia wawekezaji,
Hata hivyo ingekuwa vema pia haya mambo yaende sambamba na juhudi za makusudi za uwekezaji kwenye Kilimo ili kuokoa maisha ya maelfu ya wakenya wanaokufa kwa njaa kila Leo.

Maelfu ya Wakenya wanakufa kwa njaa kila leo, hehehe Watanzania mtapata lini uhuru wa kutumia ubongo kufikiria.
 
Tanzania tuna ukiritimba na siasa nyingi kwenye sector ya biashara, pia gharama za uzalishaji ziko juu sana. Mfano rahisi tu kampuni ya mafuta ya korie ina kiwanda pia Malawi, hapa tz ndio ya Lita 5 ni tsh 34000 wakati Malawi ni sawa na tsh 24000 ya tz.Mawese ghafi yanapita dar port kwenda Malawi na mengine yanatumika hapa tz,how come sisi wenye bandari cost of production iko juu?Bei ya bidhaa bei juu?
 
Maelfu ya Wakenya wanakufa kwa njaa kila leo, hehehe Watanzania mtapata lini uhuru wa kutumia ubongo kufikiria.
Endeleeni kujidanganya na ujinga wenu wa kivywama badala ya kuangalia tatizo lipo wapi, mnajidanganya na mambo madogo yasiyo na faida kwenye maendeleo.
 
Hongereni Wakenya. Nadhan waziri Mwijage atajifunza kitu hapa by the way kwenye viwanda tumeanza vizuri.

Tukumbuke Kenya ni brand kubwa ukanda huu toka kitambo na hayo makampuni makubwa ya ulaya na Marekani yana ofisi Kenya toka kitambo so Kenya wanauzoefu wa kuhost big multinationals toka kitambo.

Nasi tutafika tu. Tusimkatishe tamaa Magufuli.
 
the main reason why investors set up in Kenya is because it is the largest economy in the region...utakuwa mjinga kiasi gani ukienda kuwekeza Namibia badala ya kuwekeza South Africa au kuwekeza Ghana badala ya Nigeria??? ninavojua mimi ni kuwa Nigeria ina control west africa nzima hivyo ukiwekeza nigeria ina maana ushawekeza ghana, sierra leone na kadhalika..ukiwekeza South Africa, tayari soko la Namibia, Botswana umeshaliteka.....the same thing happens here in East Africa...if you invest in Kenya, you can control the entire East Africa...
 
Yaani wakenya wanashangaza kweli? Badala ya kiwekeza katika kusaidia wananchi wao, wanendelea kuwa wachuuzi. Hapa TZ Youtong zimetapakaa.
 
Yaani wakenya wanashangaza kweli? Badala ya kiwekeza katika kusaidia wananchi wao, wanendelea kuwa wachuuzi. Hapa TZ Youtong zimetapakaa.
maumivu yamezidi kweli...😀😀😀
 
Naona wakenya wamebadili IDs na kujifanya watanzania na wanafarijiana

JF raha sana
 
Back
Top Bottom