Kenya wanapata madili mengi sana ya kimaendeleo

the main reason why investors set up in Kenya is because it is the largest economy in the region...utakuwa mjinga kiasi gani ukienda kuwekeza Namibia badala ya kuwekeza South Africa au kuwekeza Ghana badala ya Nigeria??? ninavojua mimi ni kuwa Nigeria ina control west africa nzima hivyo ukiwekeza nigeria ina maana ushawekeza ghana, sierra leone na kadhalika..ukiwekeza South Africa, tayari soko la Namibia, Botswana umeshaliteka.....the same thing happens here in East Africa...if you invest in Kenya, you can control the entire East Africa...
Uchumi mkubwa kwa upande upi? GDP Ethiopia wamewazidi.. ukija PPP Tz iko vizuri. Sasa hiyo Largest economy yako ni ipi..
 
angalau hata hungetaja Ethiopia..Ethiopia ni nchi maskini wa kutupwa na serikali ina control kila kitu...Hivi unajua nchi maskini LDC kama Tanzania ni tajiri kuliko Ethiopia? kisha katika mambo ya biashara na uwekezaji kampuni huwa wanaangalia the size of middle class ambao Kenya middles class ni wengi kuliko tz, rwanda na uganda combined...uchumi unaangaliwa GDP (nominal) na GDP per capita ambapo Kenya inaongoza kwa hayo mambo yote...wakati mwingine kubali ukweli sio kupinga tu ujinga
 
angalau hata hungetaja Ethiopia..thiopia ni nchi maskini wa kutupwa na serikali ina control kila kitu...Hivi unajua nchi maskini LDC kama Tanzania ni tajiri kuliko Ethiopia? kisha katika mambo ya biashara na uwekezaji kampuni huwa wanaangalia the size of middle class ambao Kenya middles class ni wengi kuliko tz, rwanda na uganda combined...uchumi unaangaliwa GDP (nominal) na GDP per capita ambapo Kenya inaongoza kwa hayo mambo yote...wakati mwingine kubali ukweli sio kupinga tu ujinga
Hahaa sasa unataka utoke kwenye tundu la nominal!! Ulivyo kuja kujigamba kwamba Kenya ni Largest economy in the region usinge ishia hapo. Ungesema kwamba kwa GDP na PPP Ethiopia na Tz zinatuweza then unge endelea na bla bla zako.. kipimo kinacho tumika zaidi kwenye kujua uchumi mkubwa ni GDP ingawa kina changa moto zake, So ukisema largest cha kwanza tuna angalia ni GDP so Ethiopia ni the largest economy in the region.
 
Kenya is the largest economy in EA period...hakuna cha kubisha hapa...it is the most attractive market for investors in EA period...middle class walio hapa ni zaidi ya walio tz, rwanda na uganda combined...sasa elewa hilo kwanza ndio uje tujadili...
 
Kazi iliyobaki ufipa ni hiyo tu....[emoji324]
Hivi unajitambua kweli wewe? Nafikiri jamiiforums inabidi ibadiki vigezo vya kuwa mwanachama humu labda watu ndio mtaanza kuandika vtu vyenye akil. Watu wanajadili vitu vya maana wewe unaleta ujinga ujinga
 
sasa PPP ya China imeshinda ya USA ila kuna mjinga flani anajaribu kufananisha apples and oranges hapa😀😀😀
 
maumivu yamezidi kweli...😀😀😀
Yaani investment hizo zitutishe sisi TZ. My friend kunakitu hukielewi kuhusu Tanzania.
Tanzania tunawekeza kwenye vitu vinavyonufaisha wanacho direct.
 
kwa hiyo kuewekeza kwa magari hainufaishi direct ama una maanishaje?
 
Kenya is the largest economy in EA period...hakuna cha kubisha hapa...it is the most attractive market for investors in EA period...middle class walio hapa ni zaidi ya walio tz, rwanda na uganda combined...sasa elewa hilo kwanza ndio uje tujadili...
Kama kauli yako ingekua ni sheria sawa, ila data zinaonesha Ethiopia is the largest Economy, Tz ime attract more FDI kuliko nchi zote za EA kwa miaka 5 in a row.Tz has the most inclusive economy in Africa, Tz economy is the second fastest growing economy in Africa, Tz Politicaly and security wise iko more stable kuliko nchi zote za E.A, mwekezaji ana angalia vitu vingi mzee ikiwemo hivyo ndiyo maana wana kimbilia Tz siyo Kenya.
 
sawa lakini tuelewane hapa mkuu...Kenya ina attract more investment because of the size of our middle class...tazama data za middle class barani utanielewa.
African-Middle-Class.jpg
 
Let us assume you are fastest growing economy... what does this actually mean? The size of economy is important. For example, The size of US economy in GDD is over 18 trillion dollars. If it grew by 2%, it will add 36 billion dollars. Kenya's gdp is nearly twice that of TZ. If Tanzania grew by 6.5% and Kenya by 4.5% it will take a very long time to catch up. However if the trend continues over let say two decades it will reach there.
 
sawa lakini tuelewane hapa mkuu...Kenya ina attract more investment because of the size of our middle class...tazama data za middle class barani utanielewa.
African-Middle-Class.jpg
Nashukuru kwa kukubali.. hapo ningependa EA yote iwe middle income. Malengo ya Tz ni by 2025 tuwe tayari middle income, hopefully tuta fanikiwa.
 
Mbona iskue miaka mitano kutoka sasa 2025 ni far bana...
 
Hii ni process mkuu, ime anza muda mrefu kama unakumbuka JK alisema yeye ndiyo atakua raisi wa mwisho kuiongoza Tz maskini, kama mambo yakienda vizuri inawezekana before 2025. Ila 2025 ni time frame. ili hilo kufikiwa ilibidi uchumi ukue siyo chini ya 6% ila kwa miaka zaidi ya 15. Sasa ukiangalia takwimu kwa zaidi ya miaka 15 iliyopita uchumi umekua kwa average ya 7% kwa mwaka. Tuzidi kuchapa kazi mkuu
 
kwa hiyo kuewekeza kwa magari hainufaishi direct ama una maanishaje?
Investment za namna hiyo manufaa makubwa ni kwa nchi za nje.
Nadhani wanauchumi wa nchi yenu wamewekeza zaidi kati sifa na siyo kuwanufaisha wananchi.
Kwanza Umefikiri malighafi za viwanda hivyo mnavyodhani kufanya investment mtazipata wapi?
Kenya haina malighafi.

Hivi unafikiri kwanini watu wa ulaya na marekani walienda kuwekeza china!!? Ni kwa sababu ya malighafi zipo za kutosha.
Zaidi sana serikali yenu ya Kenya ipo na mawazo ya kizamani "exploitation". Watu wameshatoka katika dunia hiyo.
Watu wanafanya investment kutoka na vitu walivyonavyo.
Ningewaona watu wa maana sana pale mgejisifia kwa kuanzisha viwanda vya mirungi, Chang'aa na aina ambayo inanufaisha direct wananchi.
Hebu fikiria kwa Tanzania.
1. Kuna viwanda vikubwa vya Cement
2. Viwanda vikubwa vya chuma (Kwa sababu chuma inapatikana TZ)
3. Viwanda vikubwa vya "ceramic industries"
4. Bomba la mafuta toka uganda kwenda Hoima
5. pharmaceutical industry
6. Minerals smelting
7. Viwanda vya nguo
8. Viwanda vya nafaka
9. Viwanda vya ngozi
10. Viwanda vya matunda

Na viwanda vya aina nyingi tu vinanufaisha direct wananchi na afya zao.
 
Aliyekwambia hivyo havipo Kenya ndiye nani?
 
sasa PPP ya China imeshinda ya USA ila kuna mjinga flani anajaribu kufananisha apples and oranges hapa😀😀😀
Hata GDP ya Qatar imeshinda ya USA karibu mara 20 au hilo hulijui?
 
Back
Top Bottom