Kenya wanapata madili mengi sana ya kimaendeleo

Kenya wanapata madili mengi sana ya kimaendeleo

kwa hiyo kuewekeza kwa magari hainufaishi direct ama una maanishaje?
Ethiopia wana plants za kutengeneza magari kibao mpaka war tanks wanatengeneza Ethiopia

Tatizo hamjui uchumi, investment itakua inamake sense angalau kama hiyo investment itakua na production line from the scratch means kama ni kutengeneza magari iwe ni production from the iron ore melting is done by Kenyans upto car's body dying

Lakini hapo ni car assembling means fewer assemblymen will be hired not more than 20 workers to the single plant which does not make any difference you are expecting here

Investment itakayowasaidia ni ile ambayo majority of you are engaged in like agriculture sector which employing majority of you

I checked your Volkswagen assembling plant which is doing one unit per month, what a waste
 
Ukiitwa mswahili ina maana kubwa sana

Hivi kesi ya Vietnam imeishia wapi
 
Baada ya Uhuru kupatana na Raila mambo yanakwenda bambam.Huku upinzani ni uhasama!
 
Mbona the usual suspects wanapita kimya humu Mwanzi1 Toyota escudo Annael Naton Jr mulisaaa etc

Kuna vitu vya kubishana na vingine havina maana ya kubishana. Nashangaa sana kuona mnachekelea viwanda vya watu wengine kesho na kesho kutwa mkiliamsha dude jamaa hao wanafunga mizigo wanatimka. Assembly plant sio bidhaa zenu, South Africa Wana assemble BMW na Benz zinapelekwa mpaka Europe, je ni zao? Ungemiambia hizo kampuni wanaleta na R&D kenya kama wanavyofanya Indian Brazil na China kidogo, hapo ngesema mmepata. maana na nyinyi mgeambulia utaalamu kidogo. Wala hamgusii tax holiday walizo pewa hizo kampuni zilizo wekeza kwenye assembly plants, ni kiasi gani cha kodi mna poteza na kwa muda gani.
 
Hahaa sasa unataka utoke kwenye tundu la nominal!! Ulivyo kuja kujigamba kwamba Kenya ni Largest economy in the region usinge ishia hapo. Ungesema kwamba kwa GDP na PPP Ethiopia na Tz zinatuweza then unge endelea na bla bla zako.. kipimo kinacho tumika zaidi kwenye kujua uchumi mkubwa ni GDP ingawa kina changa moto zake, So ukisema largest cha kwanza tuna angalia ni GDP so Ethiopia ni the largest economy in the region.

Tuletee evidence kwamba Tanzania imezidi Kenya GDP PPP.
 
Baada ya Uhuru kupatana na Raila mambo yanakwenda bambam.Huku upinzani ni uhasama!
Nadhani tunatofautiana nao vipaumbele wao vyao ni kupambana na maendeleo sie ni kupambana na watu amabao nao hatutowaweza,hivo maendeleo lzm yafate penye mpambano wa maendeleo,thus wanapata big deals. Wakati sie tunadeal na visivyo na tija Kwa taifa.
 
Maelfu ya Wakenya wanakufa kwa njaa kila leo, hehehe Watanzania mtapata lini uhuru wa kutumia ubongo kufikiria.
tapatalk_1512566140226.jpeg
tapatalk_1512566144886.jpeg
tapatalk_1512566135821.jpeg
tapatalk_1512566131034.jpg
tapatalk_1512566125969.jpeg
 
Back
Top Bottom